CHADEMA kumshitaki Mkumbo mahakamani

Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?

...kama imekukera tafuta limao..
 
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.
Je watoto wa Chacha Wangwe mbona wamtupwa kule
Je watoto na familia na Mwangosi mbona imetelekezwa? ?
Je mbona familia na dr Mvungi imetelekezwa? ?
Je mbona wapo wahanga wengi wa siasa ambao wametangulia mbele ya haki kwa ajili ya kutetea ukawa na chadema mbona wametelekezwa? ??
Kwa nini iwe kwa Mawazo? ??? Na kuamua kuwalazimisha wabunge, wengine ni wapyaaa hata hawataki biashara ya kupelekeshana kama hiyo? ?
kati ya ulio wataja niyupi mwenye kadi ya chedema? Pia
Hao wabunge wapya wangeenda gombea ccm au act wasiko pelekeshana
 
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.
Je watoto wa Chacha Wangwe mbona wamtupwa kule
Je watoto na familia na Mwangosi mbona imetelekezwa? ?
Je mbona familia na dr Mvungi imetelekezwa? ?
Je mbona wapo wahanga wengi wa siasa ambao wametangulia mbele ya haki kwa ajili ya kutetea ukawa na chadema mbona wametelekezwa? ??
Kwa nini iwe kwa Mawazo? ??? Na kuamua kuwalazimisha wabunge, wengine ni wapyaaa hata hawataki biashara ya kupelekeshana kama hiyo? ?

Kwan wew n mbunge wa Ukawa???umeemjuaje????mwanaume hebu acha umbeaaaaa wahuni ni nyie mnaoua makamanda wetu
 
wameambiwa wabunge wa ukawa na hawajabisha ww kinachokusumbiua nn tuache tutachanga tu nyie ccm endeleeni kutuua tu Ila moto unawasubiri mtalia kma wanavyolia saivi kwa jinsi magufuli anavyowanyooosha
 
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?

Ha ha ha Kigezo cha Chadema na Lowassa (God help him) kudai fidia ni kumpa flag Magufuli kwa kubana matumizi ya serikali (a.k.a kutumbua majipu)
😩😅😆😆😆
Yaani hata ubunifu na weledi wa kawaida umeisha !!!
Ama kweli; common sense is not common to everyone.
 
Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?

Sifa za kipumbavu
 
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?

Masaburiiii @work
 
Mjinga daima hupenda kusifiwa lazima aseme kwa watu ili aonekane.

Kwa hyo anachofanya magufuli na kusifiwa na watu na yye yuko kwenye kundi ulilo litaja? Mwaka huu hakuna kujipendekeza rudi simiyu uwasaidie ndg zako bado wanachota maji wamegonoka
 
Mpumbavu nyumbu wewe, kudai fidia eti sababu kumweka Lowassa Mwanza ni gharama kubwa ni upuuzi uliopitiliza. Nyumbu weee

Hahahahaaaaaaaaaa, utakufa bure kwa hasira. Huyo ndo raisi wetu, kama we hutaki huyo Rpc aliesababisha usumbufu na gharama kwa raisi alipe hizo gharama.UTAISOMA NAMBA. Na nyumbu ni wewe ulieshindwa kuelewa alichokofanya huyo rpc kama ni kosa au sio kosa. Uko nyuma yake muda wote. Stuka jombaaa.
 
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?
huyu mbowe akili yake pesa tu ndio maana hatosheki na kuuza chadema. sasa anataka kugeuza kila kitu dili hadi vifo vya makamanda wa cdm.
 
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?

Hata ulichokiandika hakieleweki nyani weww
 
Mkuu ni vizuri kuelewa ni kwa nini wanaweza kupeleka hayo madai. Ukweli ni kwamba RPC wa Mwanza kavunja sheria na ni maamuzi yake ya kipuuzi ndiyo yaliyosababisha hao jamaa kuingia gharama. Gharama hizo ni kulazimika kukaa Mwanza kwa Kipindi zaidi ya makusudio. Gharama zingine ni zile za kuendesha kesi. Kwa hiyo suala la kutafuta haki siyo suala la kupiga pesa.

Less judicator. Kesi imeshaamuliwa mahakamani. Walichochemka mawakili wa CHADEMA ni kutojumuisha ombi la kulipwa gharama na kuendesha kesi na usumbufu uliojitokeza.
 
Mleta uzi ni mpumbavu sana kwanza kashindwa kuzuia mihemko yake ya kisiasa na kuleta andiko la kipumbavu kama hili.

Kaka tangu mjue neno UPUMBAVU naona mnalizuzulikia hata kama halina maana yoyote . Naona we ndo pumbavu na lofa huna maana
 
Kulikuwa na ulazima Mhe. Rais kusema atamlipia mgonjwa Muhimbili kupitia mshahara wake? Mbona kawaida sana mkuu?

mkuu pombe akisema sawa ila mh mbowe akisema majizi mafisi yanaona taabu yaan nachukia ccm kuliko kifo
 
Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?

Bora kasema wabunge wa ukawa je angesema ametoa za kwake si ungejinyonga wwe.Muulize magufuli alikuwa na sababu gani ya kutangaza anatoa hela mgonjwa atibiwe?
 
Back
Top Bottom