Nimeshitushwa na habari kwamba chadema kimefutwa rasmi, naomba wenye taarifa zaidi atupe hapa.
Source Gazeti la kasi mpya la leo
Heeeeeheeee, Happy Fool Day !!!!!!!!!!
Nami nasikitika kukuambia kutokana na Taarifa mbalimbali Rais aliitisha kikao na Msajili wa Vyama vingi na bwana John Tendwa walikubaliana kukifuta rasmi hicho Chama ambacho kimemtesa sana Kikwete na CCM na yeye mwenyewe.Leo Aprili mosi ni siku ya Wajinga!
Hv nawe haujui leo ni 1/04/2011? Ni cku yenyewe kw wale wasio na kumbukumbu kama wewe.Jf watu sio wajinga kila mmoja ana akili timamu,chadema hakija futwa wala hakifutwi kwasababu zanzibar kutakuwa na by election katika wadi ya mwanyanya shehia ya sharif msa tarehe 17 april 2011,kampeni zitaanza tarehe 4 hadi 16 april na vyama vitavyoshriki ni cuf,ccm na chadema.kama kimefutwa mbona kinashriki ktk uchaguzi mdogo?hapa hapana wajinga wana jf tunataka serious issue.
Hv nawe haujui leo ni 1/04/2011? Ni cku yenyewe kw wale wasio na kumbukumbu kama wewe.
Nimeshitushwa na habari kwamba chadema kimefutwa rasmi, naomba wenye taarifa zaidi atupe hapa.
Source Gazeti la kasi mpya la leo