CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano,lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

Wandugu wanajamvi

Hivi hawa chadema mbona nakuwa siwaelewi sasa,
Kila kukicha hapa utakuta thread za mara chadema wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu

Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?
Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.

Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya chadema mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?

Ni jukumu letu kuwaosha chadema ili kuwatoa pepo mchafu aitwaye chadema
389068_410127635751480_1348691388_n.jpg

JITAMBUE

Kwani mkuu ufahamu kuwa shughuli kubwa ya maendeleo ya CHADEMA ni MAANDAMANO.

Wewe waache waendelee na hiyo tabia maana hawajui kuwa wanatengeneza jamii ya watu wanaoandamana ili kuwasilisha madai yao, ni tabia mbaya sana hii.

Wamekata tamaa...

Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya
Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali

mawazo ya kimaendeleo huwezi kuyapata cdm mwenye hayo mawazo ni zito ila nafasi yaa mawazo yake kutumika haipo.

Kwa hiyo MNAMPIGANIA ZITTO, LIPUMBA na sisiem mnamtaka nani?.. Akigombea ZITTO CDM 2015 mtageuka mashabiki wa CDM... Ila sasa mnalipa fadhila kwa baba R1.
 
Maandamano haya ni unvestment kubwa kwa kizazi kijacho. Inalipa! Si unajua hata wachina watajenga bandari Bagamoyo na kuiendesha kwa miaka 50? Watawarudishia watukuu wenu ikiwa imeshachakaa! Anyway maandamano haya yanatengeneza future ya watoto hao!
 
Wandugu wanajamvi

Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu

Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?

Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.

Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya CHADEMA mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?

Ni jukumu letu kuwaosha CHADEMA ili kuwatoa pepo mchafu aitwaye CHADEMA
389068_410127635751480_1348691388_n.jpg

JITAMBUE

.what a fool eh...acha upumbav..jitambue kwanza wewe ndo uulize wengine...kikwazo kikubwa kwa watanzania kusonga mbele ni watu mtindio kama wewe....chadema unaowakejeli hawana dola na waliopewa dhamana ya kusimamia na kuongoza maendeleo ya tz ni ccm...hili we hulijui kwa kuwa una mtindio wa ubongo...utakuwa na haki ya kuja humu kuwatukana chadema na viongoz wao endapo watakuwa na dola na wakashindwa kuongoza...go and think..idiot!
 
Hapo ndipo uwezo wako ulipofikia we mdada? Watu wa kalenga wana akili ...... We lazima utakuwa anna makinda, au una akili kama ya kwake iliyozoea kushinikizwa

Sasa, hilo ni tusi, Kalenga katoa maoni, wewe Mungi unatusi uwezo wake wa kufikiri...sisi wenye akili tunakuona kuwa huna hoja, laiti ungepewa nafasi wewe ya kuwa Mbunge ungekuwa kama Lema!! Poleni CDM
 
Fuatilia historia ya ukombozi, siku zote ni maandamano,kubambikizwa kesi, kufuatiliwa na dora nk, kwa kuwa akili yako ni ndogo uwezi jua.

Ukombozi? anakombolewa nani? Hizo ni akili za kizushi...Tangu Lema amekuwa Mbunge ni lini amekaa na wenzake au peke yake akaja na wazo au mawazo ya kuwaendeleza wananchi wake zaidi ya fujo kila kukicha, aibu hata kwa waliomchagua na wale wanaomshabilikia
 
Sasa, hilo ni tusi, Kalenga katoa maoni, wewe Mungi unatusi uwezo wake wa kufikiri...sisi wenye akili tunakuona kuwa huna hoja, laiti ungepewa nafasi wewe ya kuwa Mbunge ungekuwa kama Lema!! Poleni CDM

Kwa upumbavu wenu magamba, kama kusema "DHAMBI KUMBWA NA MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA" ni tusi, na hilo lazima itakuwa tusi kubwa!
 
Kazi klweli kweli .
Mleta uzi umenifurahisha sana. Sasa mbona hata chama tawala kinalia kila siku je nacho tukiogeshe na kukitoa pepo wa ufisadi au unashauri tufanye nini. Binafsi nasubiri hiyo 2015 tujichagulie viongozi wanaotufaa kamwe sitaangalia chama bali nitakachotazama je anafaaaaaa.
 
.what a fool eh...acha upumbav..jitambue kwanza wewe ndo uulize wengine...kikwazo kikubwa kwa watanzania kusonga mbele ni watu mtindio kama wewe....chadema unaowakejeli hawana dola na waliopewa dhamana ya kusimamia na kuongoza maendeleo ya tz ni ccm...hili we hulijui kwa kuwa una mtindio wa ubongo...utakuwa na haki ya kuja humu kuwatukana chadema na viongoz wao endapo watakuwa na dola na wakashindwa kuongoza...go and think..idiot!
Aisee kazi kweli kweli
 
Kwani nani alikueleza kuwa Nelson Mandela alikaa tu na kusubiri kuung'oa utawala wa wazungu na kuwa rais ? South africa wameandamana, nini hapa TZA. Jela miaka 27, nini hii yenu magamba.
IMEKULA KWENU...
 
ASIFU WA LUKOSI
1.
Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2
2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk.
3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa.
4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara.
5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua.
6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge.
7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua.
8 Kashfa aliyoitoa kwa mbunge Lema kuhusu kubaka huko London,kwa taarifa za uhakika yule dada ni muathirika wa VVU na alikuwa ni mpenzi wake LUKOSI kwa muda.
Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua naomba kutoa hoja
 
Noted with Thanks Kajege Endelea kutuabarisha pale atakapoendelea kurusha miguu!
 
Back
Top Bottom