Chadema Karatu- kufanya mikutano ya Jumamosi na Jumapili

Apr 26, 2012
15
9
Makamanda wa Chadema ninawaarifu kuwa chama katika Wilaya ya Karatu watafanya Mikutano Mikubwa katika Tarafa ya Endabassh, Karatu na Eyasi.
Mikutano hiyo itahudhuriwa na Mhe. Israel Natse Mbunge Mwenyeji Jimbo la Karatu, Mhe. Zito Zuberi Kabwe na Tundu Lissu. Pamoja na Wabunge wa Viti Maalum Mbunge Rose Sukum na Paulina Gekul

MAKAMBA JUU Hoyeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naamini ni kuendeleza M4C. Je, wewe Mzee wa Karatu (Greatawu), sijui nimesoma kwa jicho la kengeza! Je, Mheshimiwa Sisilia Daniel Paresso (Viti Maalum) atahudhuria?
 
Dah I wish i could be there kushuhudia jinsi makamanda wavokoleza moto uliowashwa since 1995.

Peoplessssssssss.................................................... Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom