Chadema kama mnataka kushinda ubunge Arumeru mtumieni John Shibuda

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wakuu JF

Ni ushahuri ninautoa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Kama kweli mna dhamira ya dhati ya kushinda ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Mtumueni John Shibuda, kuwa mkuu wa kampeni.

Ni mtu makini mwenye huwezo wa kujenga hoja za kuwavuta wapiga kura. Kama mtamuweka pembeni na huu uchaguzi basi mtakuwa mmefanya makosa makubwa.
 
Yeye mwenye kigeugeu,akipelekwa huko si ndo ataharibu kabisa!sijui wakubwa watasema,binafsi nahisi kuonekana kwake Arumeru ndo uharibifu utakapoanza,maana anaka'element za kimagamba.
 
Shibuda tena,kwangu mimi huyu ni tapeli tu wa kisiasa.Ni bora kukosa mtu kabisa.Mambo ya kijinga aliyoyafanya dhidi ya CDM umeyasahau mara hii?Kwanza CDM kama wangekuwa chama makini walipashwa kuwa wameshamfukuza. Si ajabu hata hivyo wanakula sahani moja.
Wakuu JF

Ni ushahuri ninautoa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Kama kweli mna dhamira ya dhati ya kushinda ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Mtumueni John Shibuda, kuwa mkuu wa kampeni.

Ni mtu makini mwenye huwezo wa kujenga hoja za kuwavuta wapiga kura. Kama mtamuweka pembeni na huu uchaguzi basi mtakuwa mmefanya makosa makubwa.
 
Marando alisema,shibuda si chadema bali ni mbunge wa chadema.
Shibuda ni pandikizi la magamba anaweza akafika mahali akajisahau na kujikuta amevaa gwanda la kijani huku akiikampenia Chadema. Hafai kuwa kampeni meneja wa Chama makini.
 
Mimi huwa napenda sana ile Mipasho yake! Labda Chadema wakimpeleka kule wamfanye kama tumbuizo la Taarabu katika kampeni ni burudisho tosha kabisa.
 
Yeye mwenye kigeugeu,akipelekwa huko si ndo ataharibu kabisa!sijui wakubwa watasema,binafsi nahisi kuonekana kwake Arumeru ndo uharibifu utakapoanza,maana anaka'element za kimagamba.

Mnaweza kuwapeleka wahuni Arumeru ndiyo wakawakosesha ushindi watu wa Arumeru ni wastaarabu sana.
 
Mimi Kirilo original nasema akija shibuda pandikizi, mlaku, ndumilakuwili, aaakh kura yangu na ya wengineo tulio na uchungu wa kuwatimua magamba huku Meru jamani Chadema hamna bahati.
 
Kwani yule si ni ccm? Sina hakika kama ni vibaya ccm wakimtumia kwa uwazi tofauti na sasa.
 
Huo ushauri wa kumpeleka Shibuda Meru wape CCM maana Shibuda ni mamluki ndani ya CDM.
 
Mimi huwa napenda sana ile Mipasho yake! Labda Chadema wakimpeleka kule wamfanye kama tumbuizo la Taarabu katika kampeni ni burudisho tosha kabisa.

Mipasho ipi ya kipuuzi ya kusema Chadema chama cha walokole? Unawaza kwa style ya meya wa dar? Meru hatutaki kumsikia shibuda yeye sawa na wasira alivommalizaga mrema miaka hiyo, sasa hapa mgombani hatutaki magovinda, chadema msituuwe kwa presha
 
Bora wana chadema Arumeru tusiwakilishwe kuliko kuwakilishwa na huyo shibuda................................................................
:alien::alien:
 
Back
Top Bottom