Chadema: JK vunja Baraza la Mawaziri

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Boniface Meena

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Baraza la Mawaziri kwa maelezo kwamba limeshindwa kumshauri hivyo kusababisha hali ngumu ya maisha na kuyumba kwa uchumi wa nchi huku, migogoro ikiendelea kushamiri.Tamko hilo la Chadema linakuja kipindi ambacho tayari madaktari wametoa siku tatu kwa Serikali wakitaka kung'olewa kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hadji Mponda na naibu wake, Dk Lucy Nkya kutokana na kushindwa kusimamia sekta ya afya nchini.

Akisoma maazimio ya kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho iliyoketi juzi jijini Arusha, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama hicho, John Mnyika, alisema Chadema pia kinamtaka Rais Kikwete kufumua maeneo mengine ya Serikali yake kwa kuwa mfumo wake ni mbovu usiokidhi haja ya kutekelezwa kwa majukumu yake.

Mnyika akisoma maazimio hayo jijini Dar es Salaam jana alisema, "Kamati Kuu haijaridhishwa na jinsi Serikali inavyoshughulikia suala la uchumi na hali tete ya kisiasa ikiwa ni pamoja na migogoro mbalimbali na hiyo inatokana na uwezo mdogo wa mawaziri wa JK."

Alisema CC ya Chadema haijaridhishwa na jinsi Serikali ya Rais Kikwete inavyoshughulikia mambo mbalimbali nchini na hilo linatokana na mkuu huyo wa nchi kukosa washauri wazuri katika baraza lake la mawaziri.

Mnyika ambaye pia ni mbunge wa Ubungo alisisitiza, "Rais aanze na baraza lake la mawaziri kwa kulivunja kisha aende kwenye ngazi mbalimbali ambazo ameteua viongozi wabovu, awaondoe."

Alisisitiza, "Na hii inatokana na katiba tuliyonayo kumpa nafasi ya kuchagua watu kadri anavyotaka."

Mnyika alifafanua kwamba ili kupunguza makali na machungu kwa wananchi yanayosababishwa na uongozi huo mbovu, ni lazima Rais aanzie kwenye chombo chake kinachomshauri ili aweze kurekebisha mfumo mbovu uliopo.

"CC imezungumzia suala la migogoro inayotokea nchini na kuona kuwa Serikali inashindwa kushughulikia vyanzo vya migogoro hiyo. Hivyo ni lazima ishughulikie vyanzo vya migogoro na kuacha masihara kwenye hilo,"alisema Mnyika.

Mnyika alisema kutokana na hali ya uchumi na siasa kuwa tete CC imeamua kuwa Baraza Kuu la Chadema litakalokaa Aprili mwaka huu lijadili hali hiyo na kutoa mapendekezo kwa Serikali jinsi ya kurekebisha mambo kama Rais hatalivunja baraza hilo ambalo limekuwa mzigo kwa nchi.

Kuhusu Katiba
Akizungumzia msimamo wa CC kuhusu utoaji wa maoni ya marekebisho ya Katiba, Mnyika alisema wametambua kuwa marekebisho yaliyofanyika kwenye mkutano wa Bunge wa ulioisha Februari 10 mwaka huu kama ni ya awali hivyo CC inataka Serikali kuendelea na awamu ya pili ya mchakato huo.

"Taarifa kuhusu suala la katiba CC inatambua kuwa marekebisho yaliyofanyika kwenye mkutano wa Bunge ni ya awali hivyo inataka Serikali kuendelea na awamu ya pili na marekebisho yake kufanyika Bunge lijalo la Aprili mwaka huu,"alisema Mnyika.

Alisema CC imeamua kuwa Chadema itaendelea kutoa elimu ya marekebisho ya katiba kwenye mikutano yake, ili kuwafungua wananchi waweze kutoa maoni kikamilifu katika mchakato wa kupata Katiba mpya.

Mnyika alisema kutokana na wito wa Rais Kikwete kutaka majina kutoka kwa vyama ya watu watakaoingia katika tume ya mchakato wa katiba, Chadema imekaribisha maombi na mapendekezo ya watakaotaka kuingia kwenye tume hiyo.

"Kama Serikali ilivyotamgaza kuanza kwa tume hiyo kila chama kimetakiwa kuwa na wawakilishi watatu, Chadema inakaribisha maombi na mapendekezo na mwisho wa kupokea maombi hayo ni Machi 11 mwaka huu ili tuweze kufanya utaratibu,"alisema Mnyika.

Source: Mwananchi
 
Hata akivunja atamweka nani ili hali wote ndani ya CCM ni makokoto tuu,Kimsingi tulipo ccm haiwezi kutupeleka mbele tena
 
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ni ya lazima kutokana na hali halisi ilivyo serikalini. Hawa jamaa wa Afya waondolewe,wagonjwa waondoke,walioshindwa kazi kama akina Kombani waondolewe.

Kama kati ya wabunge wa chama chake anaona hakuna wanaofaa kuwa mawaziri,bado anazo nafasi 7 za kuteua toka nje wakawa wabunge akawateua kuwa mawaziri wakachapa kazi! Lazima atambue alihaidi ahadi nyingi wakati anagombea Urais 2010 na nyingi hazijatimizwa!

Mimi naona kigugumizi cha JK kufanya mabadiliko ya mawaziri amekua anajaribu kusogeza muda mpaka yule mama wa UN akirudi nchini!
 
boniface meena

chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimemtaka rais jakaya kikwete kulivunja baraza la mawaziri kwa maelezo kwamba limeshindwa kumshauri hivyo kusababisha hali ngumu ya maisha na kuyumba kwa uchumi wa nchi huku, migogoro ikiendelea kushamiri.tamko hilo la chadema linakuja kipindi ambacho tayari madaktari wametoa siku tatu kwa serikali wakitaka kung'olewa kwa waziri wa afya na ustawi wa jamii, dk hadji mponda na naibu wake, dk lucy nkya kutokana na kushindwa kusimamia sekta ya afya nchini.

Akisoma maazimio ya kikao cha kamati kuu (cc) ya chama hicho iliyoketi juzi jijini arusha, mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho, john mnyika, alisema chadema pia kinamtaka rais kikwete kufumua maeneo mengine ya serikali yake kwa kuwa mfumo wake ni mbovu usiokidhi haja ya kutekelezwa kwa majukumu yake.

Mnyika akisoma maazimio hayo jijini dar es salaam jana alisema, "kamati kuu haijaridhishwa na jinsi serikali inavyoshughulikia suala la uchumi na hali tete ya kisiasa ikiwa ni pamoja na migogoro mbalimbali na hiyo inatokana na uwezo mdogo wa mawaziri wa jk."

alisema cc ya chadema haijaridhishwa na jinsi serikali ya rais kikwete inavyoshughulikia mambo mbalimbali nchini na hilo linatokana na mkuu huyo wa nchi kukosa washauri wazuri katika baraza lake la mawaziri.

Mnyika ambaye pia ni mbunge wa ubungo alisisitiza, "rais aanze na baraza lake la mawaziri kwa kulivunja kisha aende kwenye ngazi mbalimbali ambazo ameteua viongozi wabovu, awaondoe."

alisisitiza, "na hii inatokana na katiba tuliyonayo kumpa nafasi ya kuchagua watu kadri anavyotaka."

mnyika alifafanua kwamba ili kupunguza makali na machungu kwa wananchi yanayosababishwa na uongozi huo mbovu, ni lazima rais aanzie kwenye chombo chake kinachomshauri ili aweze kurekebisha mfumo mbovu uliopo.

"cc imezungumzia suala la migogoro inayotokea nchini na kuona kuwa serikali inashindwa kushughulikia vyanzo vya migogoro hiyo. Hivyo ni lazima ishughulikie vyanzo vya migogoro na kuacha masihara kwenye hilo,"alisema mnyika.

Mnyika alisema kutokana na hali ya uchumi na siasa kuwa tete cc imeamua kuwa baraza kuu la chadema litakalokaa aprili mwaka huu lijadili hali hiyo na kutoa mapendekezo kwa serikali jinsi ya kurekebisha mambo kama rais hatalivunja baraza hilo ambalo limekuwa mzigo kwa nchi.

Kuhusu katiba
akizungumzia msimamo wa cc kuhusu utoaji wa maoni ya marekebisho ya katiba, mnyika alisema wametambua kuwa marekebisho yaliyofanyika kwenye mkutano wa bunge wa ulioisha februari 10 mwaka huu kama ni ya awali hivyo cc inataka serikali kuendelea na awamu ya pili ya mchakato huo.

"taarifa kuhusu suala la katiba cc inatambua kuwa marekebisho yaliyofanyika kwenye mkutano wa bunge ni ya awali hivyo inataka serikali kuendelea na awamu ya pili na marekebisho yake kufanyika bunge lijalo la aprili mwaka huu,"alisema mnyika.

Alisema cc imeamua kuwa chadema itaendelea kutoa elimu ya marekebisho ya katiba kwenye mikutano yake, ili kuwafungua wananchi waweze kutoa maoni kikamilifu katika mchakato wa kupata katiba mpya.

Mnyika alisema kutokana na wito wa rais kikwete kutaka majina kutoka kwa vyama ya watu watakaoingia katika tume ya mchakato wa katiba, chadema imekaribisha maombi na mapendekezo ya watakaotaka kuingia kwenye tume hiyo.

"kama serikali ilivyotamgaza kuanza kwa tume hiyo kila chama kimetakiwa kuwa na wawakilishi watatu, chadema inakaribisha maombi na mapendekezo na mwisho wa kupokea maombi hayo ni machi 11 mwaka huu ili tuweze kufanya utaratibu,"alisema mnyika.

source: Mwananchi

baraza la kikwete ni bora mara mia tano kulinganisha na baraza la mbowe na sekretarieti yake.
 
Hata akivunja atamweka nani ili hali wote ndani ya CCM ni makokoto tuu,Kimsingi tulipo ccm haiwezi kutupeleka mbele tena[/QUOTE

labda awaweke kina John Mrema na Benson Kigaila ndo wangefaa zaidi sababu wao ni political and life failure
 
Akivunja watasema lilikuwa pendekezo la chadema tumeona majigambo haya kwenye suala la katiba kila kambi inasema tulianzisha sisi.

Jk awe makini kukubali pendekezo hili vinginevyo ataambiwa ni la chadema.
 
Mabadiliko ya baraza la mawaziri hayakwepeki kutokana na hali tete ya kisiasa na kiuchumi inayolikabiri taifa
 
Boniface Meena

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Baraza la Mawaziri kwa maelezo kwamba limeshindwa kumshauri hivyo kusababisha hali ngumu ya maisha na kuyumba kwa uchumi wa nchi huku, migogoro ikiendelea kushamiri.Tamko hilo la Chadema linakuja kipindi ambacho tayari madaktari wametoa siku tatu kwa Serikali wakitaka kung'olewa kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hadji Mponda na naibu wake, Dk Lucy Nkya kutokana na kushindwa kusimamia sekta ya afya nchini.

Akisoma maazimio ya kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho iliyoketi juzi jijini Arusha, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama hicho, John Mnyika, alisema Chadema pia kinamtaka Rais Kikwete kufumua maeneo mengine ya Serikali yake kwa kuwa mfumo wake ni mbovu usiokidhi haja ya kutekelezwa kwa majukumu yake.

Mnyika akisoma maazimio hayo jijini Dar es Salaam jana alisema, "Kamati Kuu haijaridhishwa na jinsi Serikali inavyoshughulikia suala la uchumi na hali tete ya kisiasa ikiwa ni pamoja na migogoro mbalimbali na hiyo inatokana na uwezo mdogo wa mawaziri wa JK."

Alisema CC ya Chadema haijaridhishwa na jinsi Serikali ya Rais Kikwete inavyoshughulikia mambo mbalimbali nchini na hilo linatokana na mkuu huyo wa nchi kukosa washauri wazuri katika baraza lake la mawaziri.

Mnyika ambaye pia ni mbunge wa Ubungo alisisitiza, "Rais aanze na baraza lake la mawaziri kwa kulivunja kisha aende kwenye ngazi mbalimbali ambazo ameteua viongozi wabovu, awaondoe."

Alisisitiza, "Na hii inatokana na katiba tuliyonayo kumpa nafasi ya kuchagua watu kadri anavyotaka."

Mnyika alifafanua kwamba ili kupunguza makali na machungu kwa wananchi yanayosababishwa na uongozi huo mbovu, ni lazima Rais aanzie kwenye chombo chake kinachomshauri ili aweze kurekebisha mfumo mbovu uliopo.

"CC imezungumzia suala la migogoro inayotokea nchini na kuona kuwa Serikali inashindwa kushughulikia vyanzo vya migogoro hiyo. Hivyo ni lazima ishughulikie vyanzo vya migogoro na kuacha masihara kwenye hilo,"alisema Mnyika.

Mnyika alisema kutokana na hali ya uchumi na siasa kuwa tete CC imeamua kuwa Baraza Kuu la Chadema litakalokaa Aprili mwaka huu lijadili hali hiyo na kutoa mapendekezo kwa Serikali jinsi ya kurekebisha mambo kama Rais hatalivunja baraza hilo ambalo limekuwa mzigo kwa nchi.

Kuhusu Katiba
Akizungumzia msimamo wa CC kuhusu utoaji wa maoni ya marekebisho ya Katiba, Mnyika alisema wametambua kuwa marekebisho yaliyofanyika kwenye mkutano wa Bunge wa ulioisha Februari 10 mwaka huu kama ni ya awali hivyo CC inataka Serikali kuendelea na awamu ya pili ya mchakato huo.

"Taarifa kuhusu suala la katiba CC inatambua kuwa marekebisho yaliyofanyika kwenye mkutano wa Bunge ni ya awali hivyo inataka Serikali kuendelea na awamu ya pili na marekebisho yake kufanyika Bunge lijalo la Aprili mwaka huu,"alisema Mnyika.

Alisema CC imeamua kuwa Chadema itaendelea kutoa elimu ya marekebisho ya katiba kwenye mikutano yake, ili kuwafungua wananchi waweze kutoa maoni kikamilifu katika mchakato wa kupata Katiba mpya.

Mnyika alisema kutokana na wito wa Rais Kikwete kutaka majina kutoka kwa vyama ya watu watakaoingia katika tume ya mchakato wa katiba, Chadema imekaribisha maombi na mapendekezo ya watakaotaka kuingia kwenye tume hiyo.

"Kama Serikali ilivyotamgaza kuanza kwa tume hiyo kila chama kimetakiwa kuwa na wawakilishi watatu, Chadema inakaribisha maombi na mapendekezo na mwisho wa kupokea maombi hayo ni Machi 11 mwaka huu ili tuweze kufanya utaratibu,"alisema Mnyika.

Source: Mwananchi

Chadema hii ya mbowe kiraza inapata wapi uhalali wa kuwahoji viraza wenzao?
mbona chadema wao ndio walitakiwa waivunje sekretarieti yao kabla hii ya JK?
 
Chadema hii ya mbowe kiraza inapata wapi uhalali wa kuwahoji viraza wenzao?
mbona chadema wao ndio walitakiwa waivunje sekretarieti yao kabla hii ya JK?

Subiri pumzi itoke mbona unahema kwa shida?????
 
Hivi bazara la mawaziri lina uhusiano na mtu anayechagua kazi ya kufanya na hivyo maisha kumuwia magumu?
 
Akivunja watasema lilikuwa pendekezo la chadema tumeona majigambo haya kwenye suala la katiba kila kambi inasema tulianzisha sisi.

Jk awe makini kukubali pendekezo hili vinginevyo ataambiwa ni la chadema.

Ndio maana JK amewapuuza tena, amegundua yale makelele ya bungeni ni shinikizo la CHADEMA. Nchi haiongozwi kwa mashinikizo.

habarindiyohiyo
 
Ndio maana JK amewapuuza tena, amegundua yale makelele ya bungeni ni shinikizo la CHADEMA. Nchi haiongozwi kwa mashinikizo.

habarindiyohiyo

Chadema wameshaiweka serikali ya kikwete kwenye kona!
inacheza nyimbo za chadema, ccm iliwataka mawaziri wajiuzulu, wamegoma! kwa kuwa ulazima wa kuwawajibisha upo palepale! chadema wamemwelekeza jk nini cha kufanya. kitakachofuata ni jk kufuata maelekezo ya cdm. hata jk kesha ona wabunge wa ccm ni mababu jinga!
 
kipanya_07-_03_-_2012_20120307_1624138827.jpg
 
Back
Top Bottom