mkuu hapo umechemsha, huwezi kuongeza mshahara kima cha chni tu wengine ukawaacha, elimu , na uzoefu pia utakuwa hauna tija katika kupanga mishahara. kwa mfano kwa sas mtu mwenye degree mshahara wake unaanzia 340,000/= mpaka 404000/=. huoni kwamba ukiongeza kima cha chini peke yake mfanyakzi wa darasa la saba na yule mwenye degree watalingana kimslahi, so elimu haina dili kwa muona wako.....huyu hawa gasia ni kilaza kama bosi wake,hiyo bajeti ya mshahara ni ya ccm. walisema wanalipa t.3 wakasema kwa vile ukilipa laki tatu ni asilimia mia mbili ya laki na tano wanayolipa kwa hiyo wakazidisha hiyo laki 3*asilimia 200=9000000000.akili ya kimagamba.cdm walisema unaongeza kima cha chini tu. wao wakaongeza mpaka mtu anayelipwa milioni 3 akawa na milioni 9.akili ya kuambiwa changanya na zako.