Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Kwa kuwa mustakabali wa nchi yetu ni wa miaka mingi ijayo bila kujali chama gani kitatawala miaka hiyo...
Na kwa kuwa serikali hii dhaifu ilifumbia macho suala la mpaka na Malawi ili kuacha huu upepo upite hadi 2015 awamu ya nne iishe...
Na kwa kuwa rais wetu ameonekana anachekacheka mbele ya rais wa Malawi badala ya kuwa serious, achilia mbali udhaifu wa wanaume kwa wanawake...
Na kwa kuwa rais amesema nchi haitaingia vitani na malawi, no matter what, yaani hata malawi wakipora nchi...
Kwa kuwa Membe na serikali hawajui mpaka halisi na Malawi akaliambia bunge kuwa ni 7E to 11E...
Na kwa kuwa ccm imekuwa madarakani miaka 50 bila kutafuta suluhisho la kudumu la mpaka wetu na Malawi...
Na kwa kuwa historia inaonyesha serikali ya CCM ni dhaifu katika majadiliano ya mikataba ya kimataifa, mfano Richmond, Dowans na mikataba yote ya madili, hivyo ni dhahili hawatakuwa na hoja za kuishawishi Malawi kuwa ziwa na pasupasu kati yetu na wao...
Na kwa kuwa viongozi wengi wa ccm ni wapenda rushwa na kuna hadi wabunge wa ccm wanachunguzwa kwa rushwa na wenye kesi mahakamani, hivyo kuwepo uwezekano wa wao kupewa rushwa na Malawi wauze ziwa Nyasa...
Na kwa kuwa tarehe ya Mazungumzo iliwekwa makusudi siku ya sikukuu na hivyo kuwepo uwezekano wa wajumbe wetu kwenda kwenye mazungumzo wakiwa wamelewa au wana hangover, kama alivyowabaini spika Ndugai kuwa kuna wabunge wa CCM wanaingia bungeni wamelewa au wamepiga cha Arusha, kudhihirisha hii ni tabia ndani ya serikali ya ccm...
Napendekeza CDM wakiongozwa na Antipace Tundu Lissu waongoze mazungumzo na Malawi ili haki yetu ya kumiliki maji ya ziwa nyasa isiibiwe mchana kweupe. Haya ni maoni yangu na haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni, sasa tujadili.