Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
Embu niambie kesi ipi wewe uliifuatilia ukaielewa,unipe facts,issue,decision,reasoning na sheria ilotumika..
Nakwambia Tundu Lissu atawacost nyie.
Ustaarab ni hulka ya mtu,haufundishwi darasani wala hakuna chuo cha sheria kinafundisha ustaarab..
Unaweza kucritique reasoning za majaji sawa lakini sio kutoa baseless accusations which end up being personal attacks..
Naona una bifu na Tundu Lisu. Hata jina lako umefanya kukopy na kupaste kutoka kwake ukajiita Mtundu Kisu. Kwa kweli jamaa atawasumbua sana. Nakubaliana na kauli ya JK ... Heri Slaa kuingia ikulu kuliko Tundu lisu kuwa mbunge. Na sasa ni Mbunge .........