Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima

It is so unfortunate that Tundu Lisu is an advocate of the high court,and courts subordinate thereto.He also happens to be his party‘s whip in the parliamnet.I though he should know better. If anything,hitting below the belt like that just works against him.it will all be coming back to him(and chadema for that matter!)......[/QUOTE]

You sound as if you have attended a few high level classrooms. But you write as if you didnt pass any

1. A judgement is biased because it is "obviously" biased, not because Chadema says so, but because based on facts and evidence supplied it is so. Arusha and Ukonga are cases in point, overwhelming water tight evidence yet judgement against. Ability to asses evidence and facts is no longer a privilege of judges alone

2. Tundu Lissu stated the truth and supported with indisputable evidence. Hakutukana majaji kama unavyotafsiri. Ni jinai kuogopa kujadili tatizo kwa hofu ya kisasi, in fact it is unChadema! And I was happy that some of the judges in question have been put to test, they are presiding over a case involving their very same critics, test of their qualification and morality.
 
Mleta MADA, naona umeshupalia Mh. Lisu kwa kueleza mapungufu ya baadhi ya Majaji! Nashindwa kukuelewa unataka msomi wa Sheria afanye nini anapogundua upungufu ndani ya wahusika wa fani hiyo! Je unataka anyamaze kimya wakati kuna maeneo ameyaona kuwa na mapungufu? Je kuna dhambi gani kusema baadhi ya Majaji hawana sifa na kuifanya Serikali iangalie madai hayo kwa nia njema ya kurekebisha!?

Naomba uache kututia woga uliotufikisha hapa tulipo! Wa-tz hatukuwa na ujasiri wa kufunua madudu yanayofanywa na Viongozi wetu hadi mashujaa walipojitolea kupitia CDM hivi sasa watu wanathubutu hata kujadili MAJAJI katika JF!

Usiturejeshe gizani, acha watanzania wasifie pale wanapoona panastahili kusifiwa na wakosoe pale inapostahili!

Wewe mwenyewe ni shahidi wa yale yaliyojiri AR Mjini, sasa leo unaleta mbele ya Great Thinkers maneno mbufu mbofu namna hii!!! Tafakari na kisha chukua hatua.....
 
Arusha Kilaza ni mmoja kutoka zenj hivyo Masati na Madam Kimaro wataonyesha weledi wao na kwa taarifa yako kila chenye mwanzo kina mwisho kama ni kuingilia mhimili wa Mahakama nako vile vile kuna mwishowe!
 
Embu niambie kesi ipi wewe uliifuatilia ukaielewa,unipe facts,issue,decision,reasoning na sheria ilotumika..

Nakwambia Tundu Lissu atawacost nyie.
Ustaarab ni hulka ya mtu,haufundishwi darasani wala hakuna chuo cha sheria kinafundisha ustaarab..

Unaweza kucritique reasoning za majaji sawa lakini sio kutoa baseless accusations which end up being personal attacks..

Sasa nimekuelewa, samahani nilitumia akili yangu kwenye post yangu iliyotangulia kukujibu. Uoga + Unafiki + Kujipendekeza + Kufumbia tatizo macho + Ubinafsi = Ustaarabu.

Ok, bye!
 
chadema wanajisumbua buleeeee....................uchaguzi hata ukirudiwa ccmmmm itashinda tena
watanzania wameichokaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kuendeleza ukabila na kunyanyasa wanachi kwa kujipendelea viti maluuuum full undugu

njaa mbaya , hivi kutumwa na nape hujisikii vibaya?mwenzako anajicream na carlight we una pmba wakati ndo zao madeal gani naye?hivi unaweza kujitokeza kifua mbele useme ccm itashinda, mbona imeshindwa kuwatteta wakulima wakati ndo zao muhimi wa uchumi wa igunga?leo bei ya zao la pamba imetelemka kutoka T.shs.1000 maka tshs 600/=, je ccm itasema nini kwenye hilo?ccm waliahidi kuchimba visima vya maji igunga mbona mpka leohakuna lolote?acha kutumika kijinga kuwa na fikra za kukomboa wanyonge na si masilahi binafsi ya mchumia tumbo.pia ujue siasa za wakati wa rostam aziz za kuwadaganya , zimepitwa na wakati, leo hii wanaigunga ni wa wameshajua hila za ccm.unapeleka maji ya magari, uchaguzi ukiisha hakuna maji tena.
 
Hata kama mahakama imetoa haki leo hiyo haiondoi ukweli uliomo mioyoni mwa watz wengi kuwa kwasasa serikali inayumbisha sana mahakama, kesi ya Godbless lema ndio iliyopunguza imani ya watu kwa mahakama zetu
 
Hukumu ya leo kuhusu matokeo ya uchaguzi Igunga imeibua vitu kadhaa kwa vyama vya siasa,hasa chadema kujifunza.

Wamekuwa wepesi sana siku zote kulalamika mahakama haitendi haki na kuwa mhimili huu wa haki unaingiliwa sana. Lakini leo wamekuwa wepesi kusema haki imetendeka-kisa wameshinda kesi.

Je,haki inatendeka tu wakishinda chadema?Na uhuru wa mahakama unakuwa umeingiliwa pale tu ccm ikishinda kesi ya uchaguzi kama kule Arusha?

Nadhani let us give the devil his due(his being a devil notwithstanding!)
Tujifunze kutokuwa wepesi kuropoka,kulaumu,kukejeli,kutunga uongo na kutukanana/kuchafuana kusiko na msingi wala tija.

Nyongeza:
Tena hili la Tundu Lisu kuwaita majaji vilaza litawacost..mnajua kitu kinaitwa ‘judicial hunch‘? Ni ile hali ya jaji kuskiliza kesi na kuamua not on the basis of the facts and evidence tendered but on prior information,feelings,or opinions he holds regrding the matter..wakati mwingine tunasema jaji kawa ‘prejudiced‘.

Mfano,mshawatukana majaji sana kupitia Tundu Lisu,mtashangaa Godbless Lema akishinda rufaa yake Court of Appeal,ambayo haohao majaji mlowaita vilaza wanapreside?
It is so unfortunate that Tundu Lisu is an advocate of the high court,and courts subordinate thereto.He also happens to be his party‘s whip in the parliamnet.I though he should know better. If anything,hitting below the belt like that just works against him.it will all be coming back to him(and chadema for that matter!)
Kwa mtazamo wako finyu kama huu unataka kututia hofu kwamba majaji wanatkiwa kuabudiwa hata kama wana udhaifu hawapaswi kukosolewa! haya sio mawazo ya kisomi hata kidogo na hata hao majaji hawaamini katika mtazamo finyu kama huu. Sheria ziko wazi kwamba kama hukuridhika na hukumu iliyotolewa na mahakama husika unatakiwa kukata rufaa kwenye mahakama ya juu zaidi na sio kubaki unawaabudu mahakimu au majaji wasio tenda haki, wewe jamaa vipi? Pokea hukumu ya Igunga au sivyo mjomba wako Kafumu akate rufaaa, alaa......chezea Profesa Safari weye!
 
Chadema kila mtu uwa anajifanya Jaji ndio tatizo.
Haa!! Mkuu Ritz upo?Nipelekee salamu zangu za dhati kwa mchumi daraja la kwanza a.k.a/alias Mwigulu Lameck Mchemba ......Chezea profesa Safari weye!
 
Yani katika hoja yooote ulichoambulia ni ‘tupa yote?'..you could be a layman in law,but you couldn‘t afford even a simple syllogysm?
Haya tumekupata wewe "Lerned brother" lakini pumba ulizomwaga kwenye hii thread yako zina ku-"disqualify" kuwa "Lerned Brother". Lakini sio kosa lako, ni majukumu uliyopewa ya kuitetea na kuilinda "corrupt system" ndio yanayo kkuponza, hutofautiani sana na jaji werema ambaye huporomosha matusi na kejeri bungeni lakini mwisho wa siku yeye ndio huonekana hajui kitu.
 
Wewe ile sio mahakama kama mahakama,yule ni jaji ambae MUNGU mwenyewe kamushukia,na ana roho ya kumjua mungu amekataaa rushwa na kutoogopa vitisho vya magamba....hivi sasa mungu mwenyewe ana shuka kuhukumu sio majaji wa ccm
 
CHADEMA uwa inapinga hukumu kwa hoja na ni kweli kuna hukumu zinaibeba CCM mbona hukumu za majimbo mengine mengi CDM imeshindwa hawajalalamika basi ujue ile ya ARUSHA na SEGEREA kuna hoja muhimu za kisheria hazikuzingatiwa na MAJAJI na hili ni wazi ni kwa influence ya CCM.
 
Ushauri murua...wenye masikio ya kusikilia na wasikie!

Bora umegundua. A bitter truth is far better than a pleasant lie..
Watu wameshanibrand mimi kama ccm,wengine wanatukana,lakini hawaelewi nia yangu.
Mine is a caution..let us not be sentimental.Let us be sane.
Kulaumu tukishindwa,na kupongeza tukishinda sisi?Ni double standards!
 
chadema wanajisumbua buleeeee....................uchaguzi hata ukirudiwa ccmmmm itashinda tena
watanzania wameichokaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kuendeleza ukabila na kunyanyasa wanachi kwa kujipendelea viti maluuuum full undugu....

Anajidhania amesimama aangalie asianguke.
 
Embu niambie kesi ipi wewe uliifuatilia ukaielewa,unipe facts,issue,decision,reasoning na sheria ilotumika..

Nakwambia Tundu Lissu atawacost nyie.
Ustaarab ni hulka ya mtu,haufundishwi darasani wala hakuna chuo cha sheria kinafundisha ustaarab..

Unaweza kucritique reasoning za majaji sawa lakini sio kutoa baseless accusations which end up being personal attacks..

Baseless? Unataka kutuambia kuwa hata nyaraka toka ofisi ya jaji mkuu nazo ni baseless???
 
chadema wanajisumbua buleeeee....................uchaguzi hata ukirudiwa ccmmmm itashinda tena
watanzania wameichokaaaaaa chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kuendeleza ukabila na kunyanyasa wanachi kwa kujipendelea viti maluuuum full undugu
hustahili kuwepo humu JF naamini Jf wanajuta sana kukupa nafasi kama hii, jaribu kujenga hoja taratibu na kusimamia hoja yako usiwe kama debe tupu ambalo linapiga kelele kutokana na upepo!!
 
Embu niambie kesi ipi wewe uliifuatilia ukaielewa,unipe facts,issue,decision,reasoning na sheria ilotumika..

Nakwambia Tundu Lissu atawacost nyie.
Ustaarab ni hulka ya mtu,haufundishwi darasani wala hakuna chuo cha sheria kinafundisha ustaarab..

Unaweza kucritique reasoning za majaji sawa lakini sio kutoa baseless accusations which end up being personal attacks..

What I can't seem to understand is why you're so upset about that statement made by Tundu Lisu. So much so that I can safely assume that even your nick name expresses anti Tundu Lisu sentiments
 
Hukumu ya leo kuhusu matokeo ya uchaguzi Igunga imeibua vitu kadhaa kwa vyama vya siasa,hasa chadema kujifunza.

Wamekuwa wepesi sana siku zote kulalamika mahakama haitendi haki na kuwa mhimili huu wa haki unaingiliwa sana. Lakini leo wamekuwa wepesi kusema haki imetendeka-kisa wameshinda kesi.

Je,haki inatendeka tu wakishinda chadema?Na uhuru wa mahakama unakuwa umeingiliwa pale tu ccm ikishinda kesi ya uchaguzi kama kule Arusha?

Nadhani let us give the devil his due(his being a devil notwithstanding!)
Tujifunze kutokuwa wepesi kuropoka,kulaumu,kukejeli,kutunga uongo na kutukanana/kuchafuana kusiko na msingi wala tija.

Nyongeza:
Tena hili la Tundu Lisu kuwaita majaji vilaza litawacost..mnajua kitu kinaitwa ‘judicial hunch‘? Ni ile hali ya jaji kuskiliza kesi na kuamua not on the basis of the facts and evidence tendered but on prior information,feelings,or opinions he holds regrding the matter..wakati mwingine tunasema jaji kawa ‘prejudiced‘.

Mfano,mshawatukana majaji sana kupitia Tundu Lisu,mtashangaa Godbless Lema akishinda rufaa yake Court of Appeal,ambayo haohao majaji mlowaita vilaza wanapreside?
It is so unfortunate that Tundu Lisu is an advocate of the high court,and courts subordinate thereto.He also happens to be his party‘s whip in the parliamnet.I though he should know better. If anything,hitting below the belt like that just works against him.it will all be coming back to him(and chadema for that matter!)

Ukisoma vizuri maelezo ya Tundu Lisu utagundua anachofanya nikuyaweka wazi yanayosemwa ndani ya mhimili wa mahakama! Katika muhimili huo wanayalalamikia hayo. Tundu lisu alichofanya ni kuyasema kwa uwazi zaidi. Akikuambia ni wangapi waliompigia simu kumpongeza na hata kum-sms utashangaa. Mnaodhani 'kawatukana majaji' hamjui yanayojiri mahakamani au hamtaki kuukubali ukweli.
Naanza kuamini mashaka makubwa kwa CDM kutendewa haki ni itakapokutana na jaji 'vodafasta' na si vinginevyo!
 
Back
Top Bottom