CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
Wana jamvi naomba mnisaidie. Nilijiunga na huduma ya tigotime bila kujua sasa nataka kujitoa nifanyeje?
 
Wadau, mimi niko ughaibuni na nimeona Clip ya kijasusi ikimhusisha Rwakatare ambaye inasemekana ni Afisa usalama wa chama kimoja cha siasa, bila shaka kama ilivyosemwa ni CHADEMA. Nimefanya uchambuzi wangu kama ifuatavyo: Mazingira ya Tukio: Hivi kweli ikiwa Rwakatare alikusudia kupanga njama kubwa kama hizo kwa maslahi ya chama chake, iweje akapangie kwenye mgahawa wa mamantilie ambapo wateja wanapishana wakinywa na kula, huku wahudumu wakiwa bize kuhudumia na hata mmoja wa wateja aliyekuja mgahawani wapo kusalimiana na hawa wapanga njama, huku wao wakiendelea kupanga njama hizo bila hofu. Inaingia akilini kweli hii??? ''Strange''. 2. Kamera ilipokuwa: Kwa wale waliosoma topic ya photography kwenye Geography wanaweza kuona jicho la kamera iliyochukua matukio hayo ilipokuwa. Kifupi ilichukuliwa ground photo na kamera ilikuwa mbele yake hivyo alikuwa akiiona. Sasa unawezaje kupanga njama kama hizo huku ukijua unarekodiwa??? Kama ilikuwa imewekwa mahala bila yeye kujua, basi coverage yake isingekuwa ndogo kisi kile kama passport size. Pia ingewa-cover na hao washirika wengine walao kwa kiasi kidogo, lakin picha ingekuwa pengine oblique na sio kama ilivyo sasa. 3: Watekelezaji/Washirika wa njama hii: Inawezekanaje ukampa mtu kazi ya kutekeleza njama kubwa kama hii, afu awe haijui kazi yenyewe. Inaonekana mara zote, anayeitwa Rwakatare akiwafundisha na kutoa maelekezo namna ya kufanya hiyo kazi, na wanaofundishwa wanaonyesha kutoijua kabisaaaaa hiyo kazi. Inawezekana kweli??? Pia anawafundisha nadharia ambazo ktk akili ya kawaida haziingii akilini, mfano ku-spray dawa kwenye gari pale litakapokuwa limefunguliwa vioo. Hiyo dawa itakuwa na mechanism gani ya kubaki kwenye gari hadi mhusika atakapokuja bila kutokea hapohapo kwenye uwazi ilipoingilia. 4. Mifano ya Mwangosi na Ulimboka: Rwakatare ametoa mifano ya Ulimboka na Rwakatare kwamba, hakuna haja ya kumfanya huyo jamaa kama walivyofanywa hawa kwani watu wata-sympathize. Mifano hii haihusiani na mipango anayojifanya kuipanga sasaivi kwani nani asiyejua kuwa Mwangosi alipigwa risasi adharani na polis. Nani asiyejua Mwangosi alikuwa mfuasi mkubwa wa CHADEMA. Nani asiyejua Ulimboka alikuwa akiungwa mkono na CHADEMA siku zote. Nani asiyejua Kubenea na hao wengine waliotajwa walikuwa na misimamo ambayo ilishabihiana sana na ile ya CHADEMA hivyo kuwa kitu kimoja hata kama hawakuwa wanachama. 5. Mannerism ya Rwakatare: Katika hii clip, jinsi Rwakatare anavyo-behave anaonyesha dhahiri anafanya maigizo na kwamba anarekodiwa. Hajakaa kidili hata kidogo. Anaopanga nao njama wanauliza maswali ya kiuandishi na sio maswali ya kufanikisha njama. Mfano wanamuuliza, ,,kwa hiyo huyu jamaa wa mwanachi katumwa na CCM'' swali kama hili halikuwa na nafasi ktk mipango kama hii. MY TAKE: CHADEMA wanapaswa ku-clear hili hadharani ikiwa kweli hawahusiki. Pili, Rwakatare anapaswa kusimamishwa haraka iwezekenavyo. Tatu, CHADEMA wanapaswa kutoa taarifa polisi na kuisaidia polis ktk upelelezi ikiwa kweli hawahusiki.
 
Mahaba ni upofu kwakweli leo naamini!! Ililetwa clip kama hii tena ya youtube pia na nikipande tu pia cha maelezo yake kama hiki ikimuonyesha Bwana Ilunga akiporomosha mawazo yake, watu maneno yakawatoka kweli lakini hakuna hata mmoja aliyesema kuwa clip ile imechezewa/edited. Lakini leo yamewakuta chama chetu pendwa kila mtu anajipa utaalamu wa IT.

Kwa mwenye mapenzi mema na Tanzania lazima ashtushwe na video hii, lakini tusubiri taarifa rasmi kutoka CDM kama wataona umuhimu wa kufanya hivyo then ndiyo tupate picha kamili.
 
hii ngoma nzito sana kwa chadema sasa sijui nayo wataandamana na huyo jamaa anaeitikia hapo na kujibu maswali ya mchora mchoro wa utekaji nyara lwakatare ni jamaa mmoja hivi wa chadema anafahamika na hizo ndizo kazi zake jamaa huyo bwana L kama herufi yake ya mwanzo ya jina lake ilivyo aliwahi somea upadre ila ukamshinda akaacha naye hana pakukwepea katika hili maana kwa wanaomjua vizuri kama mimi hawatosita kumtambua kwamba ni YEYE{KIJANA L]
Hongera dada unafaa kabisa kuwa wakwanza kuisaidia polisi ili kutegua kitendawili hiki.
 
yatakushuka tu. Jipe muda mkuu. Hatutegemei kupata ukomboz kwa njia rahis. Hizi ni changamoto tu km za kadi 2, kukopa mil120 na nyingne nying tunazisubiria but mwisho wa siku ni ukomboz wa hii nchi.

viva cdm

Hata la wabunge wa CDM kuwaandikia sms za kutishia kumuua Mwigulu Nchemba sijui nalo limeishia wapi,maana walitaka kuwasadikisha wananchi kwamba Mnyika na kina Mdee wamemwandikia sms ya kumtishia kumuua baada ya kuwabana sana bungeni.
Anyway hili nalo litabainika tu ukweli wake ulipo,ila badi nina mashaka makubwa kama hali inaweza kuwa rahisi kiasi hicho kwa mtu kupanga mikakati mizito kwa njia na mazingira mepesi namna hiyo.sipati picha kama Lwakatare anaweza akawa mwepesi kiasi hicho,na ukifuatilia maelezo naona yana elements za Mwigulu na yanapita mle mle,anyway ngoja tusubiri.
 
Wadau, mimi niko ughaibuni na nimeona Clip ya kijasusi ikimhusisha Rwakatare ambaye inasemekana ni Afisa usalama wa chama kimoja cha siasa, bila shaka kama ilivyosemwa ni CHADEMA. Nimefanya uchambuzi wangu kama ifuatavyo: Mazingira ya Tukio: Hivi kweli ikiwa Rwakatare alikusudia kupanga njama kubwa kama hizo kwa maslahi ya chama chake, iweje akapangie kwenye mgahawa wa mamantilie ambapo wateja wanapishana wakinywa na kula, huku wahudumu wakiwa bize kuhudumia na hata mmoja wa wateja aliyekuja mgahawani wapo kusalimiana na hawa wapanga njama, huku wao wakiendelea kupanga njama hizo bila hofu. Inaingia akilini kweli hii??? ''Strange''. 2. Kamera ilipokuwa: Kwa wale waliosoma topic ya photography kwenye Geography wanaweza kuona jicho la kamera iliyochukua matukio hayo ilipokuwa. Kifupi ilichukuliwa ground photo na kamera ilikuwa mbele yake hivyo alikuwa akiiona. Sasa unawezaje kupanga njama kama hizo huku ukijua unarekodiwa??? Kama ilikuwa imewekwa mahala bila yeye kujua, basi coverage yake isingekuwa ndogo kisi kile kama passport size. Pia ingewa-cover na hao washirika wengine walao kwa kiasi kidogo, lakin picha ingekuwa pengine oblique na sio kama ilivyo sasa. 3: Watekelezaji/Washirika wa njama hii: Inawezekanaje ukampa mtu kazi ya kutekeleza njama kubwa kama hii, afu awe haijui kazi yenyewe. Inaonekana mara zote, anayeitwa Rwakatare akiwafundisha na kutoa maelekezo namna ya kufanya hiyo kazi, na wanaofundishwa wanaonyesha kutoijua kabisaaaaa hiyo kazi. Inawezekana kweli??? Pia anawafundisha nadharia ambazo ktk akili ya kawaida haziingii akilini, mfano ku-spray dawa kwenye gari pale litakapokuwa limefunguliwa vioo. Hiyo dawa itakuwa na mechanism gani ya kubaki kwenye gari hadi mhusika atakapokuja bila kutokea hapohapo kwenye uwazi ilipoingilia. 4. Mifano ya Mwangosi na Ulimboka: Rwakatare ametoa mifano ya Ulimboka na Rwakatare kwamba, hakuna haja ya kumfanya huyo jamaa kama walivyofanywa hawa kwani watu wata-sympathize. Mifano hii haihusiani na mipango anayojifanya kuipanga sasaivi kwani nani asiyejua kuwa Mwangosi alipigwa risasi adharani na polis. Nani asiyejua Mwangosi alikuwa mfuasi mkubwa wa CHADEMA. Nani asiyejua Ulimboka alikuwa akiungwa mkono na CHADEMA siku zote. Nani asiyejua Kubenea na hao wengine waliotajwa walikuwa na misimamo ambayo ilishabihiana sana na ile ya CHADEMA hivyo kuwa kitu kimoja hata kama hawakuwa wanachama. 5. Mannerism ya Rwakatare: Katika hii clip, jinsi Rwakatare anavyo-behave anaonyesha dhahiri anafanya maigizo na kwamba anarekodiwa. Hajakaa kidili hata kidogo. Anaopanga nao njama wanauliza maswali ya kiuandishi na sio maswali ya kufanikisha njama. Mfano wanamuuliza, ,,kwa hiyo huyu jamaa wa mwanachi katumwa na CCM'' swali kama hili halikuwa na nafasi ktk mipango kama hii. MY TAKE: CHADEMA wanapaswa ku-clear hili hadharani ikiwa kweli hawahusiki. Pili, Rwakatare anapaswa kusimamishwa haraka iwezekenavyo. Tatu, CHADEMA wanapaswa kutoa taarifa polisi na kuisaidia polis ktk upelelezi ikiwa kweli hawahusiki.
 
Sasa kwann anataka kuwaaminisha watanzania kuwa yupo sure kuwa flan na flan ndo wafanya tukio na ni kama vile anawasubiri warudi toka safari ndipo awatight. Sio kauli za kisiasa sehemu inayohitaji professionalism?? Na kwanini anaongea mengi km chiriku badala ya kutenda mengi kama nyuki??Matukio yanayogubibwa na sarakasi nyingi hapa nchini tunauzoefu kuwa yanaishiaga hewani tu. Tujipe muda tuone hii movie.
Tatizo sio Kova bali ni Watendaji wetu walio wengi wanapenda kufanya mambo kwa kujipendekeza kwa watawala!! Hawa, wanazani kufanya mambo in favor of government ndio sahihi coz' utaifurahisha!! Hawa wanazani ku-cover mambo ya serikali ndio sahihi ili wasionekane maadui wa serikali! Trust me, kuna mengine wala hawaagizwi kuyafanya, bali wanayafanya tu ili waonekane wanailinda serikali!!
 
dynamics zipi mjinga wewe!!!!!the major task of any serious government is to hold inflation at a favourable rate, iwe ni mafuta yamepanda, ukame or whatever..a tactical govt knows how to fix the economic models! ndio maana serikali yako hata mambo madogo tu ya usimamizi wa sheria yamewashinda, wanalalama tu!they deserve to be out!!!!

Haya sasa, wauaji ni nyie, waporomosha matusi ni nyie. Kaazi kweli kweli.

Hayo matusi yamekujaje badala ya kujadili hoja?

Werevu wako utajulikana, sio kwa kutukana wengine bali kwa kutoa hoja zinazodhihirsha werevu wako.

Matusi ni ishara ya kuishiwa hoja!

Katika ilani ya chama chako CDM ya uchaguzi ya mwaka 2010, hakuna hata sehemu moja ambapo wanazungumzia mbinu watakazotumia kutatua mfumuko wa bei. Kama ni tatizo kubwa kiasi hichi=o ina maana hata tukibadilisha uongozi CDM hawataweza kutatua tatizo hilo kwa vile:

1) Mfumuko wa bei si miongoni mwa vipao mbele vya CDM

2) Wanajua kupanda kwa gharama za maisha kunasababishwa na ufisadi tu, hawajui sababu nyingine (dynamics)

Hata kama CCM deserve to be out lakini sio kuwa replaced na much know kama nyie ambao kutwa mnawaza vurugu na matusi.

We need more serious leaders than you.
 
Vyama vyote huwa vina dark side when it comes overcoming dark obstructions from the opponents. Lakini tofauti ni nanma vinavyohakikisha vinatoka clean. Hapa inadhihirisha kuwa cdm bado ina wanasiasa wachanga sana. Hivi kweli mkurugenzi wa usalama wa chama anaweza kuwa mzembe hivi? Anajiongelea tu bila kuwa na idea ya kurekodiwa! Video hii ni halisi si ya kutengenezwa hata kidogo. Labda querry itakuwa kwenye maudhui-alikuwa anazungumzia nani?? Hapa chadema inatawagharimu kutokana na uzembe wa mtu mmoja sio siri. Na watanzania watataka maelezo. Maskini tanzania itabaki kuwa ya kidumu kilekile tu hata kama kinatunyonya kwa kuwa genge la wezi na kuuza kila kitu!

Mkuu umeanza vizuri post yako na nikaku-support lakin umeniacha nyuma ulipo kanusha kuwa video hiyo si ya kutengeneza,sas nisaidie kitu je mwenzangu una utalaamu na mambo ya kutengeneza video?maana technologia imekua sana siku hizi,anyway nisaidie kwa hilo tu mkuu then nitatakuunga mkona completely,maana hata mimi najiuliza kwa nafasi ya Lwakatare anaweza kuwa mwepesi kiasi hicho?na kama ndivyo usalama wa chama uko wapi?
 
tatizo wewe ni katika wale wanopenda kuona kile wanachoamini na si kuamini kile wanachokiona,wenye macho wanaiona hiyo video,you cant cover up kitu kilichowazi kwenye mitandao and every thing,chadema has to come clear kwenye hili,mambo ya kuisingizia serikali kwa uovu wa wenu yamefikia mwisho,mungu ana mambo yake ona mnavyodharirika sasa,kumbe hata chacha wangwe yalimkuta yatokanayo na vikao kama hivi vya mikakati ya lwakatare!shame on you guys
Wakati Chacha Wangwe anauawa kama mkakati wa CCM kuisambaratisha CHADEMA Rwakatare alikuwa bado ni mwanachama wa CUF sasa alikuwa akiengineer mipango ya mauaji ya CDM akingali CUF? tatizo CCM mna akili ndogo kuliko ya kuku! Mtajitahidi kusukumia tuhuma zenu CHADEMA lakini kwa vile CHADEMA ina baraka za mungu na haina mipango miovu yoyote mwisho ni hatia yenu kuthibitika ICC. Hakuna anayeweza kuthibitisha pasipo kuacha shaka kuwa kuna muunganiko wa maneno ya Rwakatare yanayopanga mkakati ovu wa kiCCM. mwenye akili yeyote atagundua ni vitu vya kuunga unga ili kuhamisha attention ya suala la Kibanda
 
Maswali ninayojiuliza ni haya ,

1. Hivi ni kwanini Lwakatare ameamua kujirekodi na kuweka hiyo santuri yake hadharani ? Kwani ukisikiliza pale mwanzo utasikia mtu akitamka Mic na akisema hapo sawa , naye anaitika sawa maana yake ni kuwa walikuwa wanaset....

Naungana nawewe kwamba video hii ni ya kutengenezwa kwani director anaonekana kujisahau kukata kipande cha maelekezo kabla ya start haswa pale anaposema "....MIC" halaf actor akarespond kujua kama tayari mtambo umesetiwa aanze kutiririka. Na sasa nakubaliana na kauli ya kwamba CCM wameweka mbinu "NGUMU KUTAFSIRI" ili kuihujumu CHADEMA chini ya usimamizi wa January Makamba

Majibu yote yapo hapo, kweli wamemumbuka, duh! Njia ya muongo ni fupi sana, haiwezekani uwe kachero alafu muende kufanya kama bongo movie.

NGOJA ni ISHUSHE kabla hawaja weka NYINGINE, Bada ya kwenda ku EDIT haya MAKOSA yao.
 
Tatizo sio Kova bali ni Watendaji wetu walio wengi wanapenda kufanya mambo kwa kujipendekeza kwa watawala!! Hawa, wanazani kufanya mambo in favor of government ndio sahihi coz' utaifurahisha!! Hawa wanazani ku-cover mambo ya serikali ndio sahihi ili wasionekane maadui wa serikali! Trust me, kuna mengine wala hawaagizwi kuyafanya, bali wanayafanya tu ili waonekane wanailinda serikali!!
Yaani wanatafuta misifa! Sa jibaba kama hili kufanya anayoyafanya haon anaifedhehesha familia yake??Dah! njaa bana!!
 
Unaweza kueleza kama mtaalamu wa IT umegundua nini.?
Kwanza Mazingira ya hii picha kwa jinsi yalivyo utaelewa kabisa kwamba ni ya siku nyingi sana na pili anagalia sura ya Lwakatale aliyonayo kwa sasa na fananisha na hiyo ya Video utaelewa tofauti. Hapa kwenye Server yangu nimetafuta picha nyingi hadi za wiki hii na sura ilioko kwenye video hapo juu ni ya Lwakatale ya Mwaka 1999.Kwa hiyo wanabodi msichangie upuuzi wa magamba.Net inasumbua ila ikikaa sawa naweka sura zake toka mwaka 1995 hadi sasa.
 
Hujawa makini katika kuiangalia hiyo video. 1. hiyo video inaanza kwa kuonyesha meza halafu inamfuata Lwakatale alipokaa na kumuweka sawa. Camera ya simu iliyowekwa kwenye mfuko wa shati isingeweza kufanya hayo. Pili hiyo video haiwezi kuwa imechukuliwa na mtu anayezuga kutuma message, kwa kwua asingeweza kutuma msg kwa dk kumi na saba. na zaidi ya yote, ingekuwa mara kwa mara inatoka nje ya Lwakatare na ni dhahiri ingewarekodi na wengine waliopo karibu. Lakini hiyo video ipo straight kwa Lwakatare bila kukwepesha. Kama una utaalamu wa kusoma video, unaweza kuelewa hiyo video imechakuliwaje? na sitaki sana kuamini kama hiyo ni camera ya simu kwa kuwa quality ya video kwa mwanga uliokuwepo haiendani na camera ya less than 10 pixel.

Big up mkuu, wakajipange upya utapeli wao tumeungamua hatudanganyiki
 
Binafsi sikutegemea km hii thread ingefika mbali kiasi hiki.

Kwa kutambua uwepo wa wazalendo wa ukwel wa hii nchi na mashabiki wa kisiasa km walojazana kwenye hii thread, ni hakika Lwakatare angekuwa mikonon mwa vyombo husika toka jana.

Ni rai yangu kwamba, mtoa thread na wengineo mliouona na kukemea vikali uovu wa cdm/ lwakatare, mupeleke huo ushahidi sehemu husika kuliko kuonyesha mapungufu yenu kiakil hapa jamvini. Sisi sio polisi wakuu.

Hampambani na cdm bali na Mungu.

Na katika hili, nakuhakikishieni, hakuna ukomboz watanzania tunaoutarajia kutoka nje ya cdm.

Mind you; Mnatakiwa kuomba Mungu cdm isije saliti wa-tz coz nje ya hapo tz haitokuwa salama tena, kwangu, kwako na hao mashabiki wengne wa kisiasa. Kila raia atatafuta ukomboz wake binafsi na kwa njia anayoijua

CDM hatutegemei kupata mteremko kupata ukombozi, hizi ni baadhi ya changamoto nyingi tulizojipanga kukabiliana nazo.

Long live cdm
 
NARUDIA KUSEMA KWAMBA MUVI HII IMETENGENEZWA.

Ushahidi wa kimakosa katka uandaaji wa muvi hii unanithibitishia kwamba, waandaaji walipanga kujirekodi.

1. Mpiga picha anaanza kwa kumtaarifu Lwakatare kitu kuhusu "...Mic..." then Lwakatale anauliza "...mmh..." kisha anasema "...hapo sawa..." Halaf Lwakatare anaanza kuhutubia. Hii sio incidence ya kiintelejensia maana camera iliyotumika inaonekana kuanza kaz pale tu Lwakatale anapoanza kuongelea njama, Na hapo ndipo natambua lengo la mpiga picha kusema "MIC", alimaanisha "akiishika kwa chini ataziba mic kwa hiyo aiweke juu ya kitu tu" MAANA MUDA WOTE CAMERA HAITIKISIKI HATA KIDOGO.

2. Mtiririko wa maongez yao umejaa STORY zaid za matukio ya awali. Huku Mpiga picha akionesha hajui lolote yaan ni kama mtu mgen Tz na kwenye CDM, hasa pale anapohoji vitu vidogo vidogo kuhusu ZZK.

KWA UFUPI SIDANGANYIKI, Maana kama Yuda aliweza KUMSALITI YESU, Sembuse RWAKATALE. "CDM 4 LIBARATION"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom