Chadema hamuwatendei haki wana arusha

Mwaego susieni tu madiwani asiwadanganye huo mama.kwani vikao nini bana mshahara si mnapata tabu ya nini?badala ya kupoteza mda kukaa vikaoni bora kufuatilia miradi babangu.
Hapendwi mtu bwashee
 
Geniusbrain na wewe na ugenius wako wote unashabikia usilolijua
swala la umeya Arusha si la chadema peke yake,mara nyingi tumesisitiza kuwa tunachopigania ni kuheshimiwa kwa sheria,kanuni na taratibu
 
Nanyaro wewe ukiwa kama Diwani sema kama mnayofanya ni haki kwa SISI wapiga kura, kumbuka nyie interest yenu ni umeya ila wananchi tunaangalia overall if the move helps us or not.

Umeongea vizuri kaka! Chadema waliangalie hili! Lakini nijuavyo wataendelea na ukaidi huo hadi 2015! Imekula kwenu wana Arusha hata Mbunge wenu leo yuko Iringa,kesho UDOM,siku nyingine Tabora,wakati Mwingine UDSM akifundisha wanafunzi wa chuo kikuu wazomee CCM! Imekula kwenu Arusha! Safii sana na 2015 chagueni Chadema! Hahahahaha wajinga ndio waliwao!
 
Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia.

Hii ni mbaya zaidi kuliko hata kuhudhuria kwasababu maamuzi yanaendelea kufanywa na madiwani wa CCM ambao hatuna imani nao. Nafahamu kuna baadhi ya madiwani wa chadema pia wao wenyewe hawapendi mgomo huu ila inakuwa ngumu kwenda kinyume na wenzao. Hii naifananisha na ile ya Zitto na wengine kuto unga mkono wabunge wa chadema kususia hotuba ya Kikwete.

Pls - kaeni chini muone ni vipi mnaweza peleka hii move ya Umeya kisheria na sio kususia vikao muhimu kwani mnatunyima haki yetu ya maendeleo.

Tangu jana unahangaika kuilaumu kuhus suala moja au jingine.Je hadi sasa lawama hizo zimeingiza shilingi ngapi kwenye akaunti yake (kajma unayo)?

Get a life!
 
Umeongea vizuri kaka! Chadema waliangalie hili! Lakini nijuavyo wataendelea na ukaidi huo hadi 2015! Imekula kwenu wana Arusha hata Mbunge wenu leo yuko Iringa,kesho UDOM,siku nyingine Tabora,wakati Mwingine UDSM akifundisha wanafunzi wa chuo kikuu wazomee CCM! Imekula kwenu Arusha! Safii sana na 2015 chagueni Chadema! Hahahahaha wajinga ndio waliwao!

Kuna jitu jinga zaidi ya lile linalofisadiwa na CCM halafu lenyewe linaishia kukenua mimeno?
 
NOT ENOUGH! Wewe siku zote umeshazoea kwenye lile jukwaa la kikubwa ambalo huwa mnaandika upuuzi wenu sasa naona ujinga ule unataka kuuhamishia mpaka kwenye majukwaa ambayo watu huwa wanajadili mambo ya msingi, please maintain status yako hii platform ya siasa sio yako, kwanza mtu mwenyewe huwezi kujenga hoja kazi kupost pumba tu. NI USHAURI WA BURE->JUKWAA HILI SIO SAIZI YAKO
 
Nashauri madiwa wa chadema waendelee kususia vikao na waendelee kuto mtambua Meya! Mheshimiwa Lema usikae kabisa Arusha endelea kuzunguka mikoani kuijenga Chadema! Kwani maendeleo sio lazima ufanye Arusha tu kuibana serikali bungeni na kutoka nje ya bunge inafaida sana kwa Wana Arusha kwani wewe unafanya national politics! Endelea Lema....
 
Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia..

Usijali nadhani Francis Kiwanga (LHRC) anaingia kazini tena kuandika report ya kuwasifia soon.
 
Nanyaro wewe ukiwa kama Diwani sema kama mnayofanya ni haki kwa SISI wapiga kura, kumbuka nyie interest yenu ni umeya ila wananchi tunaangalia overall if the move helps us or not.
Sisi wananchi tunaangalia mbali zaidi kuliko mnavyotufikiria ninyi vibaraka wa mafisadi.
Business as usual era is long over.
NOT ENOUGH lazima ujue kuwa mabadiliko yanahitajika hivi sasa. Hata Chama Cha Magamba (CCM) kinazungumza kujivua hayo magamba. Suala ni je unaleta mabadiliko kwa kuwa na malengo ya muda mfupi au ya muda mrefu?
Ninaamini kuwa wewe NOT ENOUGH unajua kuwa kwa Katiba hii ya sasa, madiwani wawepo au wasiwepo, wahudhurie au wasihudhurie, kitakachofanyika ni kile kilichokwisha kupangwa na watendaji. Mabaraza ya Madiwani pamoja ya Wabunge hutumika kujionyesha mbele ya jamii za kimataifa kuwa Serikali ni ya watu wakati ukweli ni kwamba Serikali ina wenyewe!
Unajua vilevile kuwa taarifa ya Mkaguzi Mkuu, CAG, kila mwaka (sic!) inaeleza madudu yaliyofanyika. Je, ni kweli kuwa hayo madudu hayana dawa?
Kila aangaliaye masilahi ya muda mrefu wa nchi hii, naamini hata wewe ni mmojawapo, ni budi aiunge mkono CHADEMA ARUSHA
 
Kama umetumwa na Msekwa(ccm-chama cha magamba)mwambie wananchi wa Arusha polisi wenu walituua sbb ya kuingilia kazi za siasa na mkachanganya na jeshi mkatuulia wananchi zaidi ya watatu mliowadanganya nao watanzania wasio fahamu idadi kamili.Hatujasahau tunawatamani na safari hii tutawakalisha hamtaamini pamoja na jeshi lenu labda pasiwe na maandamano na ole wenu polisi mtupige mtafurahi
 
Mikwala ya Dog hiyo!
 
Back
Top Bottom