Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Huku jangwani kukizidi kupendeza huko DC Msigwa, Nasari na Zitto wanatarajiwa kufunia kwenye mkutano unaotarajiwa kufanyiaka muda si mrefu kuanzia sasa utakao huduliwa na watanzania zaidi ya 2000. pamoja na mkutano huo makamanda hao watafungua tawi la Chadema kwa kushirikiana na jumuiya ya watanzania wanaoishi Marekani, nikiongea na Kamanda Nasari alisema "we want them to be involved in social economical and political affairs eg katiba mpya." wengi wanatarajiwa kuvua magamba na kuvalishwa magwanda huko huko.
Mungu ibariki Chadema izidi kusonga mbele.
Mungu ibariki Chadema izidi kusonga mbele.