CHADEMA: Dar mpaka DC funika mbaya

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Huku jangwani kukizidi kupendeza huko DC Msigwa, Nasari na Zitto wanatarajiwa kufunia kwenye mkutano unaotarajiwa kufanyiaka muda si mrefu kuanzia sasa utakao huduliwa na watanzania zaidi ya 2000. pamoja na mkutano huo makamanda hao watafungua tawi la Chadema kwa kushirikiana na jumuiya ya watanzania wanaoishi Marekani, nikiongea na Kamanda Nasari alisema "we want them to be involved in social economical and political affairs eg katiba mpya." wengi wanatarajiwa kuvua magamba na kuvalishwa magwanda huko huko.

Mungu ibariki Chadema izidi kusonga mbele.
NasarinaMsingwa wakiwa DC.jpg
 
No one can hinder M4C

Crashwise, pamoja sana mkuu!
 
Crash, camera yako itakuwepo Jangwani leo kwa faida ya wale wasiioona ITV?
 
Kuna makamanda pale jangwani naamini hawatatuangusha...juzi kwenye kesi ya John Mnyika wametutendea haki naamini na leo watatutendea haki....
 
Hata kwa watakaoona live ITV, bado picha zina umuhimu mkubwa...kumbukumbu.... details nk. Kama wako watu walioandaliwa kwa kazi hiyo ni vizuri.

Leo hatutaki tukose uhondo kabisa!!!
 
Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.
 
Haya makamanda yavueni magamba huko DC nasikia yamekuwa magumu kweli
 
Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.
Tunashukuru kwa wewe kuwa mmojawapo wa watu kupita hapo,unadhani watu wanafikaje?Ni kama ulivyofanya wewe!
Usidharau mikutano ya injili maana haijawahi kutokea kukawa na viti ishirini tu katika mkutano wowote wa injili
 
Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.

Hii coment yako + hilo jina lako + hiyo avatar yako = ...............

Kwa hiyo hatushangai unachosema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom