CHADEMA, CCM kupimana ubavu jimbo la Kawe

Kabwena

Senior Member
Jun 17, 2013
103
55
Kwa mara nyingine tena vyama hasimu CCM na CHADEMA vinataraji kutoana jasho katika chaguzi ndogo za serikali za mitaa mitano[5] zitakazofanyika ndani ya jimbo la Iron Lady Halima Mdee almaarufu kama sauti ya zege, mitaa hiyo mitano ambayo ni mivumoni, Bunju, Mbezi Beach, Jogoo, Makongo juu na Mikocheni hapo awali ilikuwa ikishikiliwa na CCM na sasa imebaki wazi kwasababu mbalimbali zikiwemo vifo na kura za kutokuwa na imani na mwenyekiti zlizopigwa katika mtaa wa jogoo na kumuondoa mwenyekiti aliyekuwepo.

kitu kinachovutia katika chaguzi hizi ni namna ambavyo vyama hv vimeshaanza kuchezeana rafu ambapo huko mivumoni CCM imelazimisha kupiga copy daftari la wapiga kura ili kuwajua waliojiandikisha na kisha kuwafuata na bakshishi kuwashawishi wawapigie kura na hata kuahidi fedha zaidi baada ya ushindi lakini pia huku Bunju CCM inatuhumiwa kutumia wajumbe wake wa nyumba kumi kuandikisha watu wasio wakazi wa eneo husika kupiga kura huku pale Mikocheni.

Wajumbe wa CCM wamekua wakikataa kuwatambua vijana wote ambao wanajulikana au kuhisiwa kuwa niwanachadema na hvyo kuwanyima fursa ya kuijandikisha katika daftari hilo la kupiga kura ya mtaa, kampeni zitaanza tar 20 july nitwapa updates zaidi katika mtanange huu ambao utatoa taswira halisi ya joto la kisiasa katika jimbo la Kawe lenye madiwani watatu wa CHADEMA huku CCM ikiwa na madiwani 7 kati ya kata 10.
Jamii Forums daima.
 
CCM bila tume ya uchaguzi,na polisi,hawawez kushinda hata uchaguz wao wandani wa chama,sembuse kawe.. ''TAHADHARI'' Hii statement Kwa goigoi ni puzzle,kwa werevu ni meaningful
 
Kwa mara nyingine tena vyama hasimu ccm na chadema vinataraji kutoana jasho katika chaguzi ndogo za serikali za mitaa mitano[5] zitakazofanyika ndani ya jimbo la iron lady halima mdee almaarufu kama sauti ya zege, mitaa hiyo mitano ambayo ni mivumoni,bunju,mbezi beach jogoo,makongo juu na mikocheni hapo awali ilikuwa ikishikiliwa na ccm na sasa imebaki wazi kwasababu mbalimbali zikiwemo vifo na kura za kutokuwa na imani na mwenyekiti zlizopigwa katika mtaa wa jogoo na kumuondoa mwenyekiti aliyekuwepo.
kitu kinachovutia katika chaguzi hizi ni namna ambavyo vyama hv vimeshaanza kuchezeana rafu ambapo huko mivumoni ccm imelazimisha kupiga copy daftari la wapiga kura ili kuwajua waliojiandikisha na kisha kuwafuata na bakshishi kuwashawishi wawapigie kura na hata kuahidi fedha zaidi baada ya ushindi lakini pia huku bunju ccm inatuhumiwa kutumia wajumbe wake wa nyumba kumi kuandikisha watu wasio wakazi wa eneo husika kupiga kura huku pale mikocheni wajumbe wa ccm wamekua wakikataa kuwatambua vijana wote ambao wanajulikana au kuhisiwa kuwa niwanachadema na hvyo kuwanyima fursa ya kuijandikisha katika daftari hilo la kupiga kura ya mtaa, kampeni zitaanza tr 20 july nitwapa updates zaidi katika mtanange huu ambao utatoa taswira halisi ya joto la kisiasa katika jimbo la kawe lenye madiwani watatu wa chadema huku ccm ikiwa na madiwani 7 kati ya kata 10.
jamii forums daima

ilikuwaje cdm pamoja na kuchukua jimbo iwe na madiwani watatu na walipata kura nyingi sana zaa ubunge au walisimamisha watu wasio na uwezo kwa upande wa madiwani??
 
Ccm bila tume ya uchaguzi,na policcm,hawawez kushinda hata uchaguz wao wandani wa chama,sembuse kawe.. ''TAHADHARI'' Hii statement Kwa goigoi ni puzzle,kwa werevu ni meaningful

umenikumbusha uchaguzi wao wa mwenyekiti wa taifa ilikuwa ni kichekesho walilazimisha wajumbe wamchague JK kwa style iliyotumika kupiga kura.
 
To vote for CCM is just like to renew the old rubbish while expecting to get new products!
 
Hii kanda iko kama imelaaniwa vile. Sintashangaa CHADEMA ikipoteza. Tundu Lisu alishasema Uongozi wa CHADEMA Dar ni Goigoi.
 
Kwa mara nyingine tena vyama hasimu CCM na CHADEMA vinataraji kutoana jasho katika chaguzi ndogo za serikali za mitaa mitano[5] zitakazofanyika ndani ya jimbo la Iron Lady Halima Mdee almaarufu kama sauti ya zege, mitaa hiyo mitano ambayo ni mivumoni, Bunju, Mbezi Beach, Jogoo, Makongo juu na Mikocheni hapo awali ilikuwa ikishikiliwa na CCM na sasa imebaki wazi kwasababu mbalimbali zikiwemo vifo na kura za kutokuwa na imani na mwenyekiti zlizopigwa katika mtaa wa jogoo na kumuondoa mwenyekiti aliyekuwepo.

kitu kinachovutia katika chaguzi hizi ni namna ambavyo vyama hv vimeshaanza kuchezeana rafu ambapo huko mivumoni CCM imelazimisha kupiga copy daftari la wapiga kura ili kuwajua waliojiandikisha na kisha kuwafuata na bakshishi kuwashawishi wawapigie kura na hata kuahidi fedha zaidi baada ya ushindi lakini pia huku Bunju CCM inatuhumiwa kutumia wajumbe wake wa nyumba kumi kuandikisha watu wasio wakazi wa eneo husika kupiga kura huku pale Mikocheni.

Wajumbe wa CCM wamekua wakikataa kuwatambua vijana wote ambao wanajulikana au kuhisiwa kuwa niwanachadema na hvyo kuwanyima fursa ya kuijandikisha katika daftari hilo la kupiga kura ya mtaa, kampeni zitaanza tar 20 july nitwapa updates zaidi katika mtanange huu ambao utatoa taswira halisi ya joto la kisiasa katika jimbo la Kawe lenye madiwani watatu wa CHADEMA huku CCM ikiwa na madiwani 7 kati ya kata 10.
Jamii Forums daima.

Sauti ya zege au sauti ya bangee?
 
Back
Top Bottom