Chadema acheni kupiga mayowe jengeni chama

magamba yana lia lia sana wivu tu tatizo nini?? mbona CDM wako poa tu wanaendelea na M4C
 
Eti mmekataliwa vibaya!
Kwa nini huwa mnatorosha masanduku ya kura?
Bila kuiba amuwezi kushinda ndugu!

Anazungumzia vya majimbo sio special seats mzee,ni kweli mmeshinda mara 23 tu majimboni,vingi mmepata vya kina mama ndio vinawatia kiburi lakini majimboni mmekataliwa vibaya licha ya operesheni sangara ambayo sasa mnaiit m4c,wizi mtupu wa kichagga
 
Kama hakina uelekeo mbona mnatumia nguvu nyingi kuhakikisha hakifanyi shughuli zake?

Chadema ni genge lisilokuwa na uongozi madhubuti, chama kinachoongozwa na JAZBA pasipo uelekeo maalum
 
Nguvu ya umma hipo ndio maana wanaccm wanataka ife maana wanakosa raha

Huwezi kuwa na wabunge 23 halafu ukasema umeshinda urais, halafu hapo hapo unasema una nguvu ya umma.
 
huwezi kuwa na wabunge 23 halafu ukasema umeshinda urais, halafu hapo hapo unasema una nguvu ya umma.
kwa kutumia mabovu mmeiba kura ngapi? Na mlinunua shahada ngapi na vituo hewa vingapi semeni sana lakini 2015 iwe isiwe mkijaribu khujumu uchaguzi yatatokea ya kenya afadhari wafe wache iwe ni amani kwa nchi kuliko kuongozwa na wezi wa rasilimali za taifa you wait and you will see 2015
 
Back
Top Bottom