CEO wa NSSF

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
rd.jpg


A MAN OF THE PEOPLE


Habari zaidi soma hapa:
MICHUZI: kassim manara akutana na wenzie wa enzi ya yanga wa miaka 25 ilopita
 
kwani CEO wa TRA au PPF wanakuwa wapi wakati wa free time zao?

Hao ni binadamu kama binadamu wa kawaida sio malaika, wanaweza kua popote ilimradi hawavunji sheria hiyo picha ya Dr Dau nimeipenda inaonyesha kujichanganya na jamii na kujua kinachoendelea mitaani na vilevile inaonyesha kua ni mtoto wa mjini. Wabongo mnapenda kila kitu aanze Obama.
 
Kama walivyosema wengine katika hiyo thread ya Michuzi, hiyo picha haina ushirikiano. Imetengenezwa tu! acha hadaa
 
Kama walivyosema wengine katika hiyo thread ya Michuzi, hiyo picha haina ushirikiano. Imetengenezwa tu! acha hadaa
Unafikiri kila mtu anapenda kwani haiwezekani, yeye nani asiweze fanya hivyo. hao ni wenye roho mbaya ndiyo wanasema kuwa imetengenezwa.
 
Dr. Ramadhani Dau amejaa udini kulikp mtu yeyote hapa duniani. Kila aliyemteua ni dini yake.
 
kwani CEO wa TRA au PPF wanakuwa wapi wakati wa free time zao?
Yule mwingine aliyekuwa CEO wa PPF halafu akaja ATCL na baadaye kujikuta yupo Kisutu kwa mara ingine tena(ya kwanza alipokuwa PPF,ya pili akiwa ATCL hivi majuzi)utamukuta kila Jumapili never miss kuanzia saa 4 asubuhi Miller Bar Sinza akiwa na jamaa zake ambao wamemuganda kama kupe wa umasaini
 
Watu wengine hovyo.....wanaongea ujinga mtupu,anaweza kuwa na akili huyo anaemwaga udini humu
 
Dr. Ramadhani Dau amejaa udini kulikp mtu yeyote hapa duniani. Kila aliyemteua ni dini yake.

nakuunga mkono wana jumuiya yao ya udini haishi Magomeni ndiyo wanampangia safu ya uteuzi huko aliko hana ujanja.....
 
Kati ya viongozi anayejichanganya na wananchi huyu ni mmoja wapo mtafute kitlya kama utamwona
 
Back
Top Bottom