Celeb mpya wa Kibongo

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702

Unapoifungua hii video,shikilia moyo wako uku ukisali na kukemea mapepo toooka! kwa wakina mama shikeni tumbo na kuomba mtoe kizazi kilicho chema
 
Last edited by a moderator:
Hivi tunasheria za kuwalinda watoto na unyanyasaji wa kimitandao?
 
Uliposema unyanyasaji wa kimtandao ulikuwa na maana gani?

Picha kama hii kuwekwa kwenye mtandao ina mnyanyasa mtoto hasa hizo sexual movement zinazokuwa potrayed, hii ni kama dirty dancin, huoni kama tukimpa miaka mingingine kumi na tano hawezi kukubali picha hizi ziwe public?
 
Nani wa kulaumiwa? mzazi wake alieweka video yake youtube au wewe na mimi tunaoiangalia?
 
Hii inaonekana ni Disco Toto, maana sauti na wanaonekana hapo wote ni watoto. Wandaaji wa Disco Toto kuweni macho na yanayotendeka kwenye hizo disco.
 
Hakika hii ni hatari sana kwa watoto wetu!
Ni binti wa nani huyo ameharibika kiasi hicho, na inaonekana huyo mvulana amechoka taaban kabisa lakini amekomaliwa vibaya na hicho kitoto cha kike!...Nikute ndio mwanangu anafanya ivi nazikwa the next day!...huh!
 
Nani wa kulaumiwa? mzazi wake alieweka video yake youtube au wewe na mimi tunaoiangalia?

Wala sioni kama kuna haja ya kuanza kutafuta mchawi, issue ni kuangalia structures zinazoweza kuwakinga watoto wetu na haya maendeleo hapo baadaye. Nchi za wenzetu zimeweka sheria kali sana kuwalinda watoto na unyanyasaji huu, lakini sijui kama Tanzania imejipanga kwenye hili.
 
Hii inaonekana ni Disco Toto, maana sauti na wanaonekana hapo wote ni watoto. Wandaaji wa Disco Toto kuweni macho na yanayotendeka kwenye hizo disco.

hayo ni matokea ya malezi ya walezi wao.. unachokiona hapo ni ZAO to mbegu zilishapandwa kwenye malezi.. so na wewe uliyelalamika kuwa ananyanyasika kwa kuwekewa picah hizo mtandaoni walioanza kumnyanyasa ni hao waliomrecod na zaid ya yote na haow wazazi wake waliomlea.. sisi ni DUNIA to ambayo tunapaswa kumfunza vinginevyo au umesahau kuwa asiyefunzwa na mamaye hufunnzwa na ulimwengu... ulimwengu nani kama sio mimi na ww ambao kwa kiswahili klichoonyooka ni nafsi ya tatu wingi.. nafsi ya kwanza ni yeye na ya pili walezi wake.
 
Nimetoa machozi kweli alafu mtu mzima hapo pembeni anashangilia bila uoga, binadamusisi ni viumbe wabaya sana, hivi kesho akimkuta huyo binti kwenye madanguro atamlaumu nani huyo Mama.
 
Nimetoa machozi kweli alafu mtu mzima hapo pembeni anashangilia bila uoga, binadamu sisi ni viumbe wabaya sana, hivi kesho akimkuta huyo binti kwenye madanguro atamlaumu nani huyo Mama.
 
Nimetoa machozi alafu mtu mzima hapo pembeni anashangilia bila uoga, binadamu sisi ni viumbe wabaya sana, hivi kesho akimkuta huyo binti kwenye madanguro atamlaumu nani huyo Mama.
 
Hamna mtanzania hata mmoja hapo, hayo mambo ni Latin au South America. Tusitake kuingizana kingi hapa.
 
Hamna mtanzania hata mmoja hapo, hayo mambo ni Latin au South America. Tusitake kuingizana kingi hapa.
 
Wala sioni kama kuna haja ya kuanza kutafuta mchawi, issue ni kuangalia structures zinazoweza kuwakinga watoto wetu na haya maendeleo hapo baadaye. Nchi za wenzetu zimeweka sheria kali sana kuwalinda watoto na unyanyasaji huu, lakini sijui kama Tanzania imejipanga kwenye hili.

Inasikitisha sana kuona watoto wadogo namna hii wakipotea. Mkuu Tanzania tunayo sheria nzuri sana kuwalinda watoto. Sheria hii imesigniwa mwaka 2009..kwa hiyo tuangalie vizuri hizi sheria za kuwalinda watoto wetu. Kama kijiji chenu kikiwa na watoto kama hawa 5 then your doomed..
 
Back
Top Bottom