CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

mkuu najua ni 2 2 lkn ndo natia timu shemeji yako alikuwa amening'ang'ania mpira ulikuwaja kwa ufupi!

Kwa ujumla zanzibar ni wazuri kuliko wakenya, japo hivi sasa wazenji wanaonekana kuchoka kuliko mwanzo.
 
Khamis kafunga dk ya 20, ya 30 nadir kajifunga sijui, ya 75 Aggrey Morris akatuinua, ya 80 Baraza wao akatukalisha, ndo ngoma ikabidi iongezewe muda. Kenya washalamba njano 2, Zanzibar 1
masikini Nadir!hivi si ndo alikosa penalty siku ile huyu!!anyway lets hope for good!!!
 
105' Zanzibar 2 - 2 Kenya
half-time:(1 - 1)
extra-time:(0 - 0)
match details :
20'Khamis Mcha Khamis

1 - 0
30' 1 - 1 (o.g.)Haroub Nadir

58'yellow card,Ahmed Adeyom

65'yellow card,Jockins Atudo

74'yellow card, Anthony Kimani

75'Aggrey Morris

2 - 1
80' 2 - 2 Mike Baraza
 
Kwa ujumla zanzibar ni wazuri kuliko wakenya, japo hivi sasa wazenji wanaonekana kuchoka kuliko mwanzo.
kaka lazima wachoke!!dakika zote hizo na chakula yao nasikia huwa ulojo watahimili kweli!!ila nawaombea!!
 
Hii ngoma twaweza shuhudia penalt.....tuwachunge sana hawa Kenya kwenye Set pices...
 
masikini Nadir!hivi si ndo alikosa penalty siku ile huyu!!anyway lets hope for good!!!

Jamaa anaweza akaizamisha timu. Kuna mchezaji wa zanzibar kaonyeshwa kadi ya pili ya njano na hivyo anatoka nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom