CDU ya Ujerumani yakanusha kuwa mfadhili wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Manyi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
3,253
604
Katika pitia pitia ya leo ya gazeti la Mwananchi, Tarehe 14 September 2012, nimekutana na habari hii ukurasa wa 8.

Habari yenyewe kwa kifupi ni kam hivi, " Chama Cha CDU kimeelezea kushangazwa na na madai ya kukifadhili CDM kwa kukipatia fedha na kwamba madai hayo si ya kweli. Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo juzi, Mwakilishi wa CDU, Hedrich Klaus-Juirgen alisema ushirikiano wake na CDM si wa kukipatia fedha bali ni wa ushirikiano wa kawaida katika kukijengea uwezo. Alisema CDU imekuwa na ushirikiano na vyama vyote vya siasa vilivyoko katika umoja wa vyama vya siasa vya kidemokrasia ambao CDM ni mwanachama na ndio maana vinaushirikiano katika kukijengea uwezo na si vinginevyo. Alisema hata CCM imekuwa na ushiorikiano na vyama mbali mbali duniani na kwamba kutokana na ushirikiano huo vyama hivyo pia vimekuwa vikipata misaada kama hiyo ya kukijengea uwezo."

Source: Gazeti la Mwanachi, terehe 14 September, 2012!
 
Hapa naona CDU inatoa ufafanuzi jinsi inavyofadhili sio kukanusha. Nawasilisha
 
Hapa naona CDU inatoa ufafanuzi jinsi inavyofadhili sio kukanusha. Nawasilisha

wapi pameandikwa kuwa kufadhiliwa ni dhambi au wapi katiba imevunjwa?

Naomba unisaidie asilimia ngapi ya bajeti ni ya wafadhili?
Pia vipi kuhusu matrekta ya kilimo kwanza mbona yanatoka japan na china?
Vipi kuhusu ujenzi wa barabara zetu unajua kwamba tunafadhiliwa?

Think big we juha.
 
Inawezekana Chadema ikawa ilipata vijisenti ktoka nje, je nimamilioni au mabilioni kama alivyotamka Nape?
 
heading yako na massage havitally,.

Mkuu, siyo heading Yangu, ni kama ilivyoandikwa katika Gazeti la Mwananchi! Na ukisoma context ya habari, utaona kuwa, wao wanatoa ufadhili wa kuongeza uwezo, na siyo Kutoa Mabilioni ya Kampeni au M4C, hili ndilo la kuzingatia!
 
Mwenye Masikio na asikie, mwenye kusoma na asome, mwenye kukosoa na akosoe, mwenye kuleta ukweli zaidi na alete, mwenye kukubali na akubali, mwenye kukataa na akatae!!!!!
 
Naona mtoa hoja amesema KWAKIFUPI, kwahiyo ameandika alivyo elewa yeye. Ukweli utabakipalepale KWA KIREFU. Ukisoma kwa makini jamaa anaonekana yupo biased katika kuitoa hiyo maada, Mimi simuamini mtoa hoja, nivizuri angeeleza jinsi palivyo andikwa kwa kirefu. Tatizo amesoma mistari michache halafu akatoa kwa ufupi.
 
Katika pitia pitia ya leo ya
gazeti la Mwananchi, Tarehe 14 September 2012, nimekutana na habari hii
ukurasa wa 8.

Habari yenyewe kwa kifupi ni kam hivi, " Chama Cha CDU kimeelezea
kushangazwa na na madai ya kukifadhili CDM kwa kukipatia fedha na kwamba
madai hayo si ya kweli. Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo
juzi, Mwakilishi wa CDU, Hedrich Klaus-Juirgen alisema ushirikiano wake
na CDM si wa kukipatia fedha bali ni wa ushirikiano wa kawaida katika
kukijengea uwezo. Alisema CDU imekuwa na ushirikiano na vyama vyote vya
siasa vilivyoko katika umoja wa vyama vya siasa vya kidemokrasia ambao
CDM ni mwanachama na ndio maana vinaushirikiano katika kukijengea uwezo
na si vinginevyo. Alisema hata CCM imekuwa na ushiorikiano na vyama
mbali mbali duniani na kwamba kutokana na ushirikiano huo vyama hivyo
pia vimekuwa vikipata misaada kama hiyo ya kukijengea uwezo."

Source: Gazeti la Mwanachi, terehe 14 September, 2012!

Mi kila siku nasema Chadema na chama cha wakristo mnatokwa povu! kama hao CDU wana ushirikiano wa kweli na vyama vingine vya siasa mbona hawashirikiani na CUF!?
 
Naona mtoa hoja amesema KWAKIFUPI, kwahiyo ameandika alivyo elewa yeye. Ukweli utabakipalepale KWA KIREFU. Ukisoma kwa makini jamaa anaonekana yupo biased katika kuitoa hiyo maada, Mimi simuamini mtoa hoja, nivizuri angeeleza jinsi palivyo andikwa kwa kirefu. Tatizo amesoma mistari michache halafu akatoa kwa ufupi.

Mkuu, angalia funga na fungua semi. Nimenukuu kama ilivyo kwa Gazeti, na pia habari ina paragraph zingine ambazo zinaelezea mauaji ya Mwangosi, mambo ya demokrasia, etc etc, ndo maan nimeweka na kurasa ya habari yenyewe. Kwa hiyo sijachakachua muu!
 
Mi kila siku nasema Chadema na chama cha wakristo mnatokwa povu! kama hao CDU wana ushirikiano wa kweli na vyama vingine vya siasa mbona hawashirikiani na CUF!?

mkuu wewe ndo mgumu kuelewa kabisaa. Vinavyoongelewa hapa kupata misaada ya capacity building ni vyama vya kidemokrasia kama ilivyo kwa cdm. Tangu lini cuf kikawa chama cha demokrasia?
Zungumzeni na al-shabaab na boko-haram ninyi wachechnia na tolabora ili baghdad watoe hiyo misaada. Si ndio rafiki zenu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom