CCM yazidi kubomka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
CCM yazidi kubomoka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA
Katika hali inayoonesha kuendelea kufa taratibu kwa chama cha mapinduzi, Jumapili wiki iliyopita (10/6/2012) kulifanyika mikutano mikubwa miwili katika kata za Rulenge na Benako zote za wilayani Ngara, mkoa wa kagera. Mkutano wa Rulenge ulikuwa maalum kumpokea shujaa Philemon Charles maarufu kwa jina la Muha aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Rulenge. Kwa wale wasiojua, hapo Rulenge ndiko nyumbani kwa mwenyekiti wa wilaya hiyo mwalimu Helena Adrian.

Akihutubia mamia ya wananchi, Muha aliwaambia wananchi kuwa amejitoa CCM kwa sababu ameona CCM imeishakufa bali baadhi ya viongozi wanadhani bado iko hai. Alisema anasubili kikao cha wananchi wote wa kijiji cha Rulenge ili awahoji viongozi wa kijiji hicho matumizi ya shilingi milioni 11 walizodai kutumia kukarabati chumba kimoja cha machinjio fedha ambayo ni nyingi kwa ukarabati wa chumba kimoja na kazi iliyofanyika haifahamiki.

Katika mkutano huo wa Rulenge, wana CCM waliorudisha kadi walikuwa 50 zaidi ya wanachama wapya waliojiunga na Chadema walikuwa 57.
CHADEMA Vema
 
Attachments

  • Muha in Chadema.pdf
    282.2 KB · Views: 383
Hii hasira iendelee kwa kasi hii hii!

Mungu Ibariki CHADEMA
Mungu Ibariki Tanganyika
Mungu Ibariki Tanzania
 
CCM yazidi kubomoka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA
Katika hali inayoonesha kuendelea kufa taratibu kwa chama cha mapinduzi, Jumapili wiki iliyopita (10/6/2012) kulifanyika mikutano mikubwa miwili katika kata za Rulenge na Benako zote za wilayani Ngara, mkoa wa kagera. Mkutano wa Rulenge ulikuwa maalum kumpokea shujaa Philemon Charles maarufu kwa jina la Muha aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Rulenge. Kwa wale wasiojua, hapo Rulenge ndiko nyumbani kwa mwenyekiti wa wilaya hiyo mwalimu Helena Adrian.

Akihutubia mamia ya wananchi, Muha aliwaambia wananchi kuwa amejitoa CCM kwa sababu ameona CCM imeishakufa bali baadhi ya viongozi wanadhani bado iko hai. Alisema anasubili kikao cha wananchi wote wa kijiji cha Rulenge ili awahoji viongozi wa kijiji hicho matumizi ya shilingi milioni 11 walizodai kutumia kukarabati chumba kimoja cha machinjio fedha ambayo ni nyingi kwa ukarabati wa chumba kimoja na kazi iliyofanyika haifahamiki.

Katika mkutano huo wa Rulenge, wana CCM waliorudisha kadi walikuwa 50 zaidi ya wanachama wapya waliojiunga na Chadema walikuwa 57.
CHADEMA Vema

Mkuu huu ndiyo mpango mzima life cycle ya ccm ilishafika kwenye decline .they ve 2 options
1. Phase out
2. Natural death
 
Nadhani hoja ya Mkama na Nepi inazidi kwisha....! sasa ni zaidi za mashariki magharibi kusin na kaskazini
 
Nimesikia pia kwenye Taarifa ya habari clouds Fm Asubuhi kuwa mwenyekiti wa CCM Shinyanga amejiuzulu Ikitoa sababu ya kutodhirika na Jinsi makundi yanavyoibuko Ndani ya CCM.

Can someone correct me?
 
Sasa hivi wanazi wa CCM wanatafuta tittle za Thread zao kama
1. Slaa na Mbowe waonyeshana chuki kwenye msiba wa Bob Makani
2. CDM ya pata Pigo baada Kikwete kuongea kwenye msiba wa Bob makani
3. CDM ni Wanahubiri Ukanda ndio maana walimtelekeza Bob Makani
4. Wazee wa Mtwara na Lindi Waapa hawataki kuiona tena CDM
5. Mbowe Asema lazima kieleweke
 
CCM yazidi kubomoka Ngara; jembe jingine lahamia CHADEMA
Katika hali inayoonesha kuendelea kufa taratibu kwa chama cha mapinduzi, Jumapili wiki iliyopita (10/6/2012) kulifanyika mikutano mikubwa miwili katika kata za Rulenge na Benako zote za wilayani Ngara, mkoa wa kagera. Mkutano wa Rulenge ulikuwa maalum kumpokea shujaa Philemon Charles maarufu kwa jina la Muha aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Rulenge. Kwa wale wasiojua, hapo Rulenge ndiko nyumbani kwa mwenyekiti wa wilaya hiyo mwalimu Helena Adrian.

Akihutubia mamia ya wananchi, Muha aliwaambia wananchi kuwa amejitoa CCM kwa sababu ameona CCM imeishakufa bali baadhi ya viongozi wanadhani bado iko hai. Alisema anasubili kikao cha wananchi wote wa kijiji cha Rulenge ili awahoji viongozi wa kijiji hicho matumizi ya shilingi milioni 11 walizodai kutumia kukarabati chumba kimoja cha machinjio fedha ambayo ni nyingi kwa ukarabati wa chumba kimoja na kazi iliyofanyika haifahamiki.

Katika mkutano huo wa Rulenge, wana CCM waliorudisha kadi walikuwa 50 zaidi ya wanachama wapya waliojiunga na Chadema walikuwa 57.
CHADEMA Vema

Then Nape anaongea ujinga huku kuhusu Chadema.

Songa Chama kubwa songa!
 
Nimesikia pia kwenye Taarifa ya habari clouds Fm Asubuhi kuwa mwenyekiti wa CCM Shinyanga amejiuzulu Ikitoa sababu ya kutodhirika na Jinsi makundi yanavyoibuko Ndani ya CCM.

Can someone correct me?

Naona taarifa hii, hawajaipata wengi. hakuna anayeandika kuihusu.
 
Back
Top Bottom