CCM yawakaanga Bashe, Kigwangalla

tatizo ya wanaccm kufunga bastola viunoni wanaona ni fashion kama kufunga blackberry kiunoni. USHAMBA MWINGINE BWANA!
 
Ccm inakufa majameni! Raha kubwaje kuiona ikijifia...ccm please die...
 
Kumbe Chama leo kinaweza kuamua kama kesi hii isiende mahakamani na hii iende,kweli tutaona mengi sana kuelekea 2015!maana nakumbuka chama hicho hicho na huko huko Nzega walisema Bashe si raia,kazi zoote wanaziweza kumbe si ajabu hata Nape akawa anatoa matamko yoote ya chama na serikali nzima ...yeye PM,yeye Pres,yeye katibu wa chama na waziri asiye wizara......kazi ipo mwaka huu!!
 
Sasa nani katishiwa maisha..BASHA au KINGWANGWALA...Maana naona kila mmoja anasema yeye ndo katishiwa...kwahiyo ilikuweka wazi lazima muhimili wa serekali utumike na sio jopo la wauza maneno wa sisim...kukaa na kupindisha sheria...
Kutishiwa maisha na kutisha maisha ni kosa la kisheria sio kichama...ndo mnaanza hivi hivi kidogo kidogo matokeo yake hata kesi kubwa mnaweza kusema mtazitatua kichama..Acheni mambo yasio leta tija nchini...WAPELEKWE MAHAKAMANI

Mkuu ni Jina lake ni "BASHE"
 
Wengine tumesema sana, mafisadi wote Tanzania, salama yao ni CCM.
Kama wewe ni mwizi ukitaka mambo yakunyookee, chukua kadi ya CCM.
Kama wewe ni tapeli, ukitaka kukwepa mkono wa sheria, kimbilia CCM.
Kama wewe ni muuaji, ukitaka vyombo vya dola visikukamate, jifiche CCM.
Kama wewe ni mhalifu, usihangaike wala usiwaogope polisi, vaa tu kijani.
Polisi, waendesha mashtaka, mahakimu si lolote si chochote, mboko lao CCM.
 
Mustapha Kapalata, Nzega na Frederick Katulanda, Mwanza | Mwananchi - Sept 01, 2012

SAKATA la makada wa CCM, Hussein Bashe na Dk Hamis Kigwangalla kutoleana bastola, limechukua sura mpya baada ya uongozi wa chama hicho Wilaya ya Nzega, kutaka suala hilo liondolewe polisi ili walishughulikie kimyakimya ndani ya chama kwa madai kuwa linakifedhehesha chama.
.
this is a shame, chama kinafanya jitihada kuvunja sheria

waache sheria ifate mkondo, kutishia kwa bastola ni kosa na hukumu yake pia iko wazi

wanasimamia vipi sheria kwa kuchagua wakati gani wazitumie?
 
kichwa cha habari hakiendani na stori yenyewe, CCM yawakaanga vipi wakati ndo inataka iwaokoe kutoka katika mkono wa sheria kama walivyozoea.
 
Hata likibaki mahakamani ilhali wameshaamua kulimaliza kishkaji litaisha kishkaji hata mikononi mwa pilato,hamumjui mwenye hatimiliki ya mahakama au?
 
Du ugomvi wa kitoto Bwana kila mtu anataka aonekane kidume, mara Ww sio chaguo la wanaNzega na huyu mara ww sio Raia wa Tanzania

ila hawa wote si watanzania,,,,,,kigwangala anatajwa kuwa ni mnyarwanda sijui mrundi,,,,akak palipehutu tabia zao hawa watu tunazijua na ndo tulowasuluhisha,naye bashe ni msomali aka al-shabab tabia za wasomali twazijua,,,,,,,,,
 
bado sana.2014 mtanikumbuka.ccm watatekana nyara wenyewe kwa wenyewe.babeli inaporomoka hawana Lugha moja tena-Narudia lazima risasi zitatoka tu.Nyumba imejaa kambare
 
bado sana.2014 mtanikumbuka.ccm watatekana nyara wenyewe kwa wenyewe.babeli inaporomoka hawana Lugha moja tena-Narudia lazima risasi zitatoka tu.Nyumba imejaa kambare
nimeipenda hii,,,,,,,,unamaanisha nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom