Ccm:Yapanga uongozi wa vijana, minoti inamwagika

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Kama mnavyojua uchaguzi ndani ya Ccm unaendelea, vijana wanapewa madaraka na wanawezeshwa kwenda kuvuna wanachama. Ni maslahi mapana au uchumia tumboni, ngoja tusubiri tuone. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom