Elections 2010 CCM yapanga kuwarudishia vijana imani kwake?

msnajo

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
3,067
1,136
CCM wanajipanga kuwanasa vijana na kuwarudishia iman iliyopotea. Wanajisafisha na kuendelea kujipanga. SWALI, "VIJANA GANI WANAKAMATWA"? Ambao wana haja ya kuendelea kufanywa watoto?. Days are numbered, hata wafanye nini, hakuna imani tena. Ukifa umekufa, huwezi kufa mara mbili. RIP CCM.
 
..Mkuu wapo vijana waliopigwa ngazi kwenye bongo zao,soon utawaona wanaanza kuvaa vinguo vya rangi za kijani...wanafanana na akina Shigella............................
 
Vijana gani? Pinda alisema vijana wa vyuoni wasijihusishe na maswala ya siasa, eti waachwe wasome! Hajui kuwa vijana vyuoni ndio chem chem ya mabadiliko?
 
Namfahamu kijana mmoja alikuwa na nyodo na mapenzi sana ktk CCM - mara kaongoza ufunguzi wa kijiwe (shina la wakereketwa), mara kaacha shule ili asimamie mambo ya CCM (uwakala wa chama ktk uchaguzi) etc. Cha moto alikiona matokeo ya kidato cha nne yalipotoka (div 0). Baada ya tukio hilo akawa mdogo kama kidonge cha usingizi.

Vijana wengi wanaounga mkono CCM hawajitambui, wanahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Mimi kijana, nawashangaa sana CCM. Watakaodanywa na CCM watakuwa wana ukilema wa akili.
 
CCM wanajipanga kuwanasa vijana na kuwarudishia iman iliyopotea. Wanajisafisha na kuendelea kujipanga. SWALI, "VIJANA GANI WANAKAMATWA"? Ambao wana haja ya kuendelea kufanywa watoto?. Days are numbered, hata wafanye nini, hakuna imani tena. Ukifa umekufa, huwezi kufa mara mbili. RIP CCM.

Hao wazee wakomunisti wapuuzi sana, imani gani wanayoongelea? wakifanya home work yao imani itarudi yenyewe wala haiitaji kupiga propaganda.

Wazee wapuuzi sana, wameshika serikali bado wanalalmika imani, wapuuzi sana na wakiwa wapinzani watasema nini? wapuuzi sana hawa wazee
 
labda wanawaongelea vijana wao wanao walea huko majumbani kwao,sio sisi tuliojaa sumu hatutaki kusikia ujinga wa chama cha matapeli,shame on dem.
 
Namfahamu kijana mmoja alikuwa na nyodo na mapenzi sana ktk CCM - mara kaongoza ufunguzi wa kijiwe (shina la wakereketwa), mara kaacha shule ili asimamie mambo ya CCM (uwakala wa chama ktk uchaguzi) etc. Cha moto alikiona matokeo ya kidato cha nne yalipotoka (div 0). Baada ya tukio hilo akawa mdogo kama kidonge cha usingizi.

Vijana wengi wanaounga mkono CCM hawajitambui, wanahitaji ukombozi wa kifikra.

Sure Mwanajamii, kuna mifano mingi sana we cheki hata UVCCM wamejaa watu wa namna gani?? Asilimia kubwa ni vilaza waliojaa ndoto za kupewa u-DC na maslahi kwenye makundi ya wazee... Pia jingine, kijana imara mwenye kujenga hoja na utashi wa kisiasa za kiharakati katika kulikomboa taifa huwezi ukashabikia chama (ccm) ambayo IMESHINDWA kujenga taifa imara, pamoja na utajiri wote wa nchi hii na so called amani kwa miaka 50 sasa.
 
CCM wanajipanga kuwanasa vijana na kuwarudishia iman iliyopotea. Wanajisafisha na kuendelea kujipanga. SWALI, "VIJANA GANI WANAKAMATWA"? Ambao wana haja ya kuendelea kufanywa watoto?. Days are numbered, hata wafanye nini, hakuna imani tena. Ukifa umekufa, huwezi kufa mara mbili. RIP CCM.

Chama cha magamba watahaha sana..kijana wa kitanzania wa leo anaekua anaona maisha yalivyo magumu na nchi iko mikononi mwa chama cha magamba si rahic kumconvise ajiunge nacho..mchaw wa ccm ni hali ngumu ya maisha ya watanzania waliyonayo...huduma za afya ni duni...ukosefu wa ajira huku nchi ina fursa kibao kama madini, mito, maziwa, ardhi yenye rutuba na mengineyo mengi..wao wananeemeka na ufisadi huku wengi wakiumia..nimekua nikiiona hiyo hali kama kijana..mtaji walionao ccm ni ukosefu wa maarifa walionao watanzania wengi hasa wa vijijin wanaonunulika kwa vipande vya khanga na kofia...Ipo siku hiki chama kitakufa na ndiko kinakoelekea...nakiombea kife kifo chema kwa sababu ndio obstacle kwa maendeleo ya watanzania...RIP chama cha magamba.
 
Tatizo si ukilema wa akili! Hawa wana akili timamu ila tatizo ni umasikini uliopita kipimo! Si mnajua masikini hufuata kila analopanga tajiri yake?
Kuwakomboa hawa ni kuondoa gap kat ya watoto wa watajiri 'fisadi' na wale wa walala hoi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom