CCM Yapandikiza Mamluki ndani ya CHADEMA

Kwani CDM ni hao tuuu? Wakitoka itakufa ama itaendelea?
Niliwahi kumnukuu Stephen M. Wassira akisema kuwa chadema ni cha msimu na kitakufa kabla ya 2015. Nilimwona huyu mzee amechanganyikiwa na anatapatapa kama mfamaji. Sasa naweza sema nakubaliana na Wassira na pengine kwa kauli yake hiyo alijua kinachofanyika kati ya CCM na baadhi ya wasaliti ndani ya chadema. Tangu leo tujue kuwa msaliti ndani ya cdm si zitto na shibuda tu bali kuna orodha ndefu ambayo kila kukicha inaongezeka. Inaandaliwa na ccm kwa umakini mkubwa na baadhi yao wameanza kuonesha utii kwa ccm kwa kutoa siri za chadema kwa ccm. Hivi juzi, niwaibie siri(kama si kweli Slaa aikanushe.) Slaa alihojiwa incamera na wazee wa system baada ya kupatikana kwa traces zinazomwonesha Slaa akiwa Italy mwezi Agost 2012 akizungumza na Italy Mafia Mob (ITAMM) ili iwafundishie snipers na sharpshooters kwaajili ya uchaguzi mkuu 2015. Mwanzoni alikataa japo alikuja kukubali baada ya kuoneshwa mkanda wa video Dr Slaa akiwa airport Dar, akiwa mapokezi uwanja wa ndege Rome na akiwa Foret de Mafia Italiano akizungumza na master wa Mafia d'Italiano. Slaa anadaiwa kuikataa sauti na kudai kuwa video ni fabricated. Hata hivyo Slaa anadaiwa kumlaumu askofu mmoja mwanza kuwa ndiye aliyevjisha siri hiyo kupitia kwa Halima mdee ambaye anadaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kigogo mmoja wa system. Inadaiwa askofu huyo haelewani na Slaa tangu akiwa katibu wa TEC hivyo amefanya hivyo kumkomoa Slaa baada ya Slaa kumtuhumu kuwa alihamishiwa hapo
ili kuisaidia ccm. Katika Mazingira hayo ni wazi kuwa Wassira anajua jinsi watakavyoimaliza chadema, ana uhakika asilimia 100. Zaidi ya Zitto ambaye ndiye anaonekana msaliti, yeye ni kiongozi tu lakini nyuma yake kuna shibuda, shushushu mabere marando, halima mdee, sugu, wenje, mbunge ester, kasulumbai, selasini na vicent nyerere. Mkubali msikubali ukweli ndo huo ingawa ni mchungu.
 
Mkuu mleta uzi,una uhakika na unachokinena?hapa ni jukwaa la watu wenye akili zao na wanajua mambo mengi sasa unapokuja na kitu kama hii wapaswa uwe umejiridhisha pasipo shaka kuwa unachokisema ni kweli tupu
 
ITAMM ndio nini ? Hujui hata. Unachosema...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kuhisi sio kubaya lakini ukianza kuhisi kila jirani anayekuzunguka ni mchawi kuna ulazima wa kumtafuta daktari. Mi nnavyofahamu watu wana tabia zao wapo wengine wanasaliti hata familia zao ili mradi tu kuna maslahi kwenye hilo. Kama hatuwezi kuthibitisha jambo ni bora kukaa kimya
 
kwakeli nimeamin kuna wa2 vilaza, kwa dmcrasia ya tz ya sasa hvo v2 au upuuzi ulosema umeshapitwa na wakati na wala haikuwa lengo la safari?( umeji2ngia) pili ume2mia sylojism kufika kwenye mwisho wa fikra zako hasa kwa kukubaliana na kapsoz aka rang 2, njia ambayo haiwezi kuleta hitimisho sahii. mfano, wamasai wanavaa lubega, john amevaa lubega basi john ni mmasai.! au wanawake wanazaa, asha ni mwanamke, basi eti asha nae anazaa. vp kuwa tasa ushafikria? hii ni manufactured fact n tz rebbaterble abinitial. kingne weaknes ya maelezo yako na uongo wako ni kushndwa kuonesha RES GESTAE.. .. the cause ov da same transaction. we angalia kama mpanglio wa mat2kio ulosema kama unaweza kukiua chama b4 2015! . anagalia ujinga wako@ slaa itali ,anajifunza jnc ya kuwin uchaguz ujao, af wa2 wa cctm wakamrekod, af et sir zikatolewa na askofu 7bu ni adui yake, na mdee ametoa sir 7bu anatembea na kigogo wa cctm, zitto na wengne wanaisart cdma! . poor reasoning. kwa hyo mdee akitembea na kigogo chadma inakufa? jiondoe jr.
 
umesomeka nyepesinyepesi,CHADEMA ni chama cha watu,pamoja na juhudi za kibinadamu kukilinda pia kinalindwa na MUNGU.
 
Mbona wengi tu, wa kwanza Mbowe, au hamjaona alivyo fanya muafaka na Pinda halafu wanawageuzia kibao madiwani, nashaka hata Slaa ni mtu wetu, maana naona anachosema haeleweki. Kaongelea ya madiwani ya Mwenyekiti na Pinda kabana.

CCM mneleww sana ila huwa mnjitoa ufahamu.sasa wewe mtu mzima kabisa unaongea uongo na uchafu kama huu?shame on you.
 
Back
Top Bottom