SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,325
- 1,950
Unalia lia nini hayo ni majibu kwa Chadema, CCM nadhani wanalipiza kisasi tabia ya kuchana kadi za vyama walianza Chadema...umeumia sana mkuu pole sana.
Kuchoma na kuchana kipi afadhali, mkuki kwa kitimoto........
Wakuu wangu siku zote MTENDA AKITENDEWA HUJIHISI KAONEWA!