CCM yaitaka Polisi imhoji Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa CHADEMA walioshiriki maandamano yasiyo halali

a00cc07fdbfd78922a506673ddf915aa.jpg

a0b51fdd6239ada9c4ae937da9f7831a.jpg

0dfa538ab9db3048d8fb4c7a90ddd308.jpg
Chakubanga chakubanga. Mungu anakuona. Dhulma zenu zitafikia tamati.
 
Kahumphrey Polepole kanafanana akili na kasura kake kailkodumaa. Kashenzi sana kanakofuata mkumbo wa uelekeo wa upepo. Kanaongoza wajinga kama kenyewe kalivyo kazezeta! Sijui kaliingiaje kwenye tume ya Warioba! Kashenzi sana!
 
Bwana polepole kesha sahau alikotoka

Keshamsahau Mungu

Keshasahau ahadi na kauli zake akiwa mjumbe wa katiba ya warioba

Sasa polepole kaota mapembe

Polepole amegeuga nakuwa si yule wa haki na utawala wa sheria

Hakika Mungu atamfunga jiwe shingoni polepole kwa maana yoyote ile ....Mungu hadhihakiwi

Kumbukumbu....

1. John komba.......lowasa atakufa, kafa komba

2. Samuel Sita... Lowasa atakufa, kafa Sita

3. Ramadhan ditopile ukiwaona mzuzuri....alimuwa deleva wa daladala mchana kweupe kwa bastola...ccm wakapindisha haki akaachiwa huru....Dito yupo wapi? Kafa

God will do needful to polepole very soon as God listens to innocence blood shade and deliver revenge timely .
 
Uneongea vitu vya kweli zao zimekwisha Na chakufanya ni kuwa makini kwani ni hatari wanataka ushindi kwa gharama yoyote ile. Na kama kuna Kazi ngumu kwa wakurugenzi Wa wilaya na manispaa ambao kisheria ndio wasimamizi wa uchaguzi, ni silu mbaya kwao na majukumu wanayopewa na ccm ili washinde, maana wanaambiwa mnapesa magari na police kwanini maishinde?
 
Kikatiba maandamano ni halali na haki. Nchi haiongozwi kwa ilani ya chama fulani katiba ndugu
 
Duuu kweli naomba Mungu anipe maisha marefu nione burudani hapa duniani. Hapa walichofanya ccm ni kama mtoto wa mama anapotoa malalamiko kwa mama yake dhidi ya nduguye ambaye ni mtoto wa kambo. Misuli nashuru kwamba uko hapa jukwaani. Yale yale niliyokuambia ni ngumu sana mwanamke mzee (ccm) kukubali hata akijipaka wanja na kuvaa sketi fupi. Ile propaganda mliyokuwa mnajilisha wanaccm kwamba mnakubalika na rais wengu nadhani matokeo mmeyaona. Huu ukatili unaotumika na kukiuka sheria toka kwenye vyombo vya mamlaka ili ccm ishinde uko wazi kabisa. Kibaya zaidi mnapa shida toka kwenye chama kisicho hata na ofisi ya kueleweka, huku ccm ikiwa na maofisi nchi nzima, inajinasibu na miradi kibao ya maendeleo, lakini inabidi kufanya hila za wazi ili iweze kushinda. Kama wewe ni mwanaccm inabidi usome upepo na kujua kwamba kwa sasa ccm iko kwenye siku zake za mwisho kabisa na cdm ndio itakayopelekea kifo chake.
hatari sana
 
Bwana polepole kesha sahau alikotoka

Keshamsahau Mungu

Keshasahau ahadi na kauli zake akiwa mjumbe wa katiba ya warioba

Sasa polepole kaota mapembe

Polepole amegeuga nakuwa si yule wa haki na utawala wa sheria

Hakika Mungu atamfunga jiwe shingoni polepole kwa maana yoyote ile ....Mungu hadhihakiwi

Kumbukumbu....

1. John komba.......lowasa atakufa, kafa komba

2. Samuel Sita... Lowasa atakufa, kafa Sita

3. Ramadhan ditopile ukiwaona mzuzuri....alimuwa deleva wa daladala mchana kweupe kwa bastola...ccm wakapindisha haki akaachiwa huru....Dito yupo wapi? Kafa

God will do needful to polepole very soon as God listens to innocence blood shade and deliver revenge timely .
Alshabaab wanaua kwa kumhusisha Mungu Boko haramu nao walikuwa wanamtaja Mungu huyo huyo na wenzao walikuwa wanachinja watu na kuwarekodi kwenye video wakimtaja Mungu huyohuyo na wengine hapa mnasababisha vifo vya watu wasio na hatia kwa tamaa zenu.
Mnaanzisha vurugu ili watu wafe ama waumie mpate umaarufu wa kisiasa
Watanzania wa Leo sio wa Jana wamewashtukia..
hata kule kilimanjaro mlikojifanya ni Ngome yenu wamewachoka.!
subirini Mbeya muone pia mlivyopotea.!

RIP Chadema.! 2020 hampati hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa.!
na ndio utakuwa mwisho rasmi wa chama chenu.!
matokeo ya uchaguzi huu ni kioo tosha cha yajayo mbele yenu.
 
hatari sana

Mkuu Misuli nimekuambia kwa mzahamzaha, lakini ccm inabidi ijitafakari sana, hao cdm hawana hata kisima cha maji walichochimba hapo kinondoni na bado wanaisumbua hivyo ccm. Na kwa bahati mbaya ccm inatumia mbinu za mabavu ambazo hata watu waliokuwa wameanza kurudisha imani yao wanaoni ccm ni ile ile tena ya sasa ni ya kimabavu zaidi. Wakati ukuta kaka, na ngumu sana kuvuta riziki kwa kamba.
 
Zwazwa wewe,na bado kata mbili tu SALUM MWALIM awe mbunge wa kinondoni..mkaseme tena polisi
 
Mwenye basi atalazimishwa aseme alikodiwa na vijana wa chadema...swiswiem ni zaidi ya kinyeo (shithole) kwa sauti ya Trump
 
Back
Top Bottom