CCM yaendelea kukataliwa na wananchi IGUNGA

Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura. Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?
Mkuu unaweza fafanua japo kwa mfano 1 tu ni chama kipi kilinua kura, na vipi?
Je kama wana Igunga walimchagua Dr. Kafumu inakuwaje leo wanamsusia!?
Ni kwa vigezo vp wewe unavitumia kutambua kuwa Dr. Kafumu ni mtendaji mzuri na makini?
Nilivosikia unapiga kelele kule Nzega kuhusu madini nilijua mzalendo kumbe walewale!! Vp mkuu mbona kimya au Mgodi ulishaufunga!!?
 
red; huundiyo ukweli
 
Umempa Konde kama la Evander dhidi ya Tison,safi sana.MIMI NAMPA YA MESI Kwamba Dr Kafumu ni tapeli mkubwa wa akili za watu.Anayetaka fact aangalie ahadi ya kujenga daraja la Mbutu ikoje?MIJITU MINGINE NI VIUMBE TU VYA MWENZI MUNGU,IOMBEWE!
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

Na wewe tutajie hivyo baadhi ya vyama vilivonunua kura... Kama nakumbuka vizuri chama chenu ndio kilitumia pesa mingi (Billions) ukilinganisha na vingine (Millions).

Nje Ya Topic: Vipi ile migodi ushafunga? Kama bado ni kwanini?
 
Si mlibwagwa vibaya sana kwenye uchaguzi Igunga? na Uzini? na sasa Arumeru. Jana nimesikia Lussu akisema si juisi na chai tu Ikulu hata msosi walipewa.
 
Hkigwangalah kweli ni ngumu kusema exactly %, lkn kwa kukisia waweza wagawa watu kwa jinsi wanavyoonekana, umakini wa dr umeanza kuonekana kwa kuita mikutano ya wali nyama uwanjani!
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

mh. kwanini unakuwa mweupe sana kwenye kujenga hoja?

Unatakiwa kuanisha, Dr Kafuma kafanya hili nalile, yanayoonesha utendaji wake mzuri wa kazi, ainisha chama fulani kilinunua kura,....sasa mwakilishi wa wananchi unakuwa mweupe hivyo.
 
Palalisote nisingeweza kuchukua picha,kwa kuhofia usalama wangu.Kumbuka Magamba wana hasira sana na vijana hapa Igunga,pia wanatutambua vyema kwa sura na itikadi zetu.Kwa upande wa pili kufika kwangu eneo lile ningeitwa msaliti,kwani vijana waliweka msimamo mapema wa kutokanyaga eneo hilo!
Vijana wa Igunga ni mfano wa hovyo kuigwa. Si ndo hao walikuwa wanauza shahada kwa yule Mzinzi Mwigulu kwa shilingi 2,000-10,000? €£¤*¥$§%>£:mad: zao!
 
Si mlibwagwa vibaya sana kwenye uchaguzi Igunga? na Uzini? na sasa Arumeru. Jana nimesikia Lussu akisema si juisi na chai tu Ikulu hata msosi walipewa.
Waislam bwana! Wakisikia ishu za kulakula wanakuwa na mshawashaaaa! Sasa hapo wivu umekushika Lissu kugonga Ubwabwa Ikulu!
 
Msimamo gani? kama si kuwarudisha nyuma zaidi. Ni muhimu wakishirikiana na Mbuge Dr. Kafumu ili waweza kupunguza kidogo makali yaliyopo wakati huu. Wakisusa kusaidiana naye ndiyo maendeleo yatakuja Igunga. Ushauri wako kwa Wana Igunga hauna maana kabisa. Mimi ninachokiona kwa ni kuwaongezea chuki, ambo ni mzizi mkuu wa dhambi, na dhambi unajua madhara yake. Great thinker kama wewe unapashwa uwe thinker mpatanishi, mdadisi wa kuleta mabadiliko katika jamii engalau ushawishi watu watoke kwenye tembe, au watoke kwenye imani za kishenzi, kuamini kuwa mtu anaweza kuzuia mvua isinyeshe.....Be patriotic please.
Hakuna upatanishi kwenye dhuluma wewe....Rudi darasani sio Madrassa utaelewa ninachosema
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?
Wewe gamba HKigwangalla hebu tuondolee huo ujinga wakisifia hiyo migamba yenzako kwanza hata wewe hufai na hivyo vihoja vyako
 
hahaha..sahv igunga tunawaongeza kwenye CWW(Chama Cha Wananchi Wasiotawalika)..ambamo tupo wananchi wa MBEYA,MWANZA,ARUSHA,SONGEA(tumewaongeza juz),IGUNGA..
Unasema wananchi wasiotawalika au Mikoa isiyotawalika?
Kama unamaanisha Wananchi wasiotawalika hata Wafuga Midevu na wavaa Vipedo aka wapenda Ubwabwa nao hawatawaliki. Ongeza kwenye idadi yako jamii hii hatari
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?
Wewe gamba HKigwangalla hebu tuondolee huo ujinga wakusifia hiyo migamba yenzako kwanza hata wewe hufai na hivyo vihoja vyako uchwara wewe mwenyewe uliiba kura toka hapa jf masaburi wewe
 
Dr. Dalali Peter Kafumu ni mtu makini na wanaomfahamu watathibitisha hili. Sina shaka na utendaji kazi wake. Na kwa wasifu huo ndiyo maana watu wa Igunga walimchagua kwenye uchaguzi ule mdogo mbali na jitihada za baadhi ya vyama kutumia pesa nyingi sana kununua kura.

Unaposema watu walikuwa katika proportions ulizozisema hivi unakuwa umepimaje?

Rafiki yangu Said Bagaile Ukitaka heshima kwa nguvu, utanunua dharau kwa bei rahisi
 
kigwangala acha unafiki, nilikuwepo igunga kwenye kampeni timu yetu ya CCM,ulikimbia kampeni sasa unamsifia nani ambaye ulitaka ashindwe.SIKU hizi una rangi mbili wewe.tokea polisi walipokupa kibano akili zimeruka
 
Hizo asilimia hazisemi kitu mpaka utuambie jumla ya watu waliokuwepo kwenye sherehe hiyo.
Hakika CCM bado kinazidi kupoteza mvuto&kukataliwa na wananchi,mijini na hata vijijini.Leo trh 26.Feb.2012,kulikuwa na mkutano&sherehe ya CCM,mjini Igunga kwa madhumuni ya:-

1.Kumpongeza D.P.Kafumu(mbunge wa Igunga kupitia tiketi ya CCM)kwa ushindi alioupata(ambao ni wa kuchakachua)
na
2.Kuwashukuru wananchi kwa kuichagua CCM na Kafumu katika uchaguzi mdogo uliofanyika 2011 Igunga.
Mkutano&sherehe ilifanyikia katika uwanja wa,Sokoine jirani&jengo la ofisi za CCM.Muda ulikuwa ni kuanzia saa4 asubuhi hadi saa10 jioni.
Mahudhurio;Watoto 80%(wengi wao nadhani walifika kwa dhamira ya kutaka kushiriki kuumega mkate ulioandaliwa na CCM),Wazee15%&Vijana 5%(Hawa ni wanachama,watu walio kodiwa&kusombwa na malori kutoka vijijini).Idadi kubwa ya wazee walikuwa hawajiwezi hata kutembea vyema(umri mkubwa&uchovu).
Kwa ujumla hali ya Magamba ni mbaya sana Igunga,huku mbunge{Kafumu} akizidi kupata upinzani mkali kutoka kwa wananchi walio wengi.
NAWASILISHA
 
Hivi ule mkutano waliouandaa CDM pale kimara ulihudhuriwa na wananchi wangapi?
 
kwa mtazamo wangu naona ni vizuri au itakuwa ni busara sana kushirikiana na Mbunge huyu aliyekwisha apishwa tayari. Sioni ubaya wowote kwa Dr. Kafumu kuwa mbunge wa Igunga. Dr Kafumu kwa taaluma yake ni vizuri kumback up kwa kumpatia maoni mbalimbali yanayohusu maendeleo ya jimbo la Igunga na taifa kwa ujumla. Tabora ni mkoa wenye madini mengi sana. je tukimwomba awakilishe bungeni hoja ambayo itakuwa na tija kwa wachimbaji wadogo wadogo wa madini kwa kufanya demonstrated examples hapo mkoani Tabora. Au kwa kumshwishi engalau basi hapo Igunga pawe na hata kiwanda kikubwa cha serikali cha kuprocess concerntrates za copper, gold,lead, iron, zinc, manganese, madini hayo yote yapatikana Tabora. au kumwomba awakilishe serikalini hoja ya kutengeneza maabara ya serikali ya kupima madini iwe hapo Igunga...Naandika haya nikijua kabisa Dr. Kafumu amesomea haya mambo. Naomba ndugu zangu tushirikiane naye ili tuweze kupata kazi za kufanya , watu wengi wako idle, hawajui wakiamka waende wapi, wafanye nini. Lakini kukiwa na vitu kama hivyo nilivyotaja , maabara za madini, kiwanda cha kutengeneza concentrates, ajira zitaongezeka. Au hata kumtuma awakilishe taifani ya kwamba wawekezaji wa adini wafanye kuprocess tu, wachimbaji wawe wazawa na godown ziwe za serikali.......n.k... fikiria faida itakayopatikana Igunga kwa njia ninayojaribu kuwaeleza tushirikiane na Mbunge wetu, ukilinganisha na kumsusia mikutano yake.

Umetumwa na FF kwa kuwa amepigwa ban! Au FF ndo umekuja kwa style hii? Kafumu hana lolote na wala hana chake Igunga!
 
Back
Top Bottom