Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Akimnadi Lowassa, Rais Kikwete alisema, huyu ni mtu anayewapenda sana, anawahangaikia sana, haya yote (mafanikio) yanayosemwa sasa yametokana na juhudi zake
hakuna mwakilishi mzuri kushinda Edward Ngoyai Lowassa. Lowassa ni msafi na alisingiziwa.
Lowassa akasema Tulifurahi Pamoja, Tulihuzunika Pamoja na Tutasonga Mbele Pamoja na Tutashinda, (Source: blog ya mkulu)
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimenawa mikono kuhusu ombi la mgombea ubunge wa Urambo Mashariki, Samuel Sitta la kutaka mdahalo na mgombea urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kikisema hakihusiki na mgogoro baina ya wanasiasa hao.Hayo yametokea wakati mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete akizomewa na kikundi cha watu wanaosadikiwa ni wafuasi wa Chadema wakati akihutubia wilayani Mbulu.
Makamba naye anasema "Sitta na Dk Slaa wana mambo yao wenyewe. Dk Slaa alimrushia Sitta tope, yeye akajipangusa akamrudishia,". (Source: mwananchi)
My Take:
Mzee S.S soma alama za nyakati na endelea na kampeni zako jimboni kwako, hii league ni tofauti.