Elections 2010 Ccm wazidi kumchanganya sitta

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
681
168
Akimnadi Lowassa, Rais Kikwete alisema, “huyu ni mtu anayewapenda sana, anawahangaikia sana, haya yote (mafanikio) yanayosemwa sasa yametokana na juhudi zake…hakuna mwakilishi mzuri kushinda Edward Ngoyai Lowassa. Lowassa ni msafi na alisingiziwa.

Lowassa akasema ‘Tulifurahi Pamoja, Tulihuzunika Pamoja na Tutasonga Mbele Pamoja na Tutashinda,’ (Source: blog ya mkulu)

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimenawa mikono kuhusu ombi la mgombea ubunge wa Urambo Mashariki, Samuel Sitta la kutaka mdahalo na mgombea urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kikisema hakihusiki na mgogoro baina ya wanasiasa hao.Hayo yametokea wakati mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete akizomewa na kikundi cha watu wanaosadikiwa ni wafuasi wa Chadema wakati akihutubia wilayani Mbulu.

Makamba naye anasema "Sitta na Dk Slaa wana mambo yao wenyewe. Dk Slaa alimrushia Sitta tope, yeye akajipangusa akamrudishia,". (Source: mwananchi)

My Take:
Mzee S.S soma alama za nyakati na endelea na kampeni zako jimboni kwako, hii league ni tofauti.
 
Huyu mzee 6 vipi?ccm wenyewe hawampendi anajipendekeza 2,uspika atausoma namba mwaka huu
 
Kikwete anajua fika kuwa Lowasa hawezi kuongoza Watanzania. Anampoza tu (si unajua tena JK kwa masihara hajambo?). Eti mchapakazi? Sijawahi kuona mchapa kazi akaachia ngazi kwa kashfa ya kuhujumu uchumi.

Alishakatazwa na Nyerere. Ni mlafi na hana huruma na umasikini wa Watanzania.

Nionavyo mimi ni kuwa Lowasa anaweza kuongoza Wamasai tu.
 
Hivi tarehe 14-10-2010 atasubutu kusema CCM inamuenzi Mwalimu Nyerere...kama leo hii inawanadi wa watu kama Mramba na Lowasa ambayo ni wahujumu uchumi wataifa hili ambao mwalimu aliwapigia kelele..
 
Kikwete anajua fika kuwa Lowasa hawezi kuongoza Watanzania. Anampoza tu (si unajua tena JK kwa masihara hajambo?). Eti mchapakazi? Sijawahi kuona mchapa kazi akaachia ngazi kwa kashfa ya kuhujumu uchumi.

Alishakatazwa na Nyerere. Ni mlafi na hana huruma na umasikini wa Watanzania.

Nionavyo mimi ni kuwa Lowasa anaweza kuongoza Wamasai tu.

Uko sahihi kabisa mkuu. Jamaa ni mlafi na hana uchungu na umasikini wa Watanzania. Kazi yake ni kuzini na wake za watu tu akitumia mapesa mengi ya wizi aliyojilimbikizia.
 
i find this thread trying to link things which cannot be linked

Sioni link ya sita kuchanganyikiwa na issue ya JK kumkampeinia lowassa... mlitaka aseme lowassa ni fisadi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom