Elections 2010 CCM waumbuka Bukoba

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Kiherehere chao kimewaponza.walikuwa wameweka bango kubwa kikwete akiwa na maaskofu wa kkkt,ALEX MALASUSA, na ELISA BUBERWA, wakaandika eti tunaheshimu uhuru wa kuabudu. Mnamuona kikwete? Maaskofu wasipokuwa makini,atawaingiza mkenge.nawapöngeza wale wa mbeya kugundua janja yake ya nyani.hilo bango baada ya karipio la Ndg Lwakatare,leo limeondolewa.CCM aibu kwenu bkb.
 
huyu malasusa mtu hatari sana amekuwa akitumiwa na lowassa kwa muda mrefu na anaipeleka KKKT mahali kusiko takiwa ni mtu hatari narudia tena., maaskofu wa dizaini ni kama methodius Kilaini aliyewahi kusema JK ni chaguo la Mungu , leo kapelekwa Bukoba akapumzike mdomo ulimponza akashindwa kujua RC ni makini.
 
Aaahhh....huyu kiwete bwana........waislamu walisema hawatampa kura kwa sababu ya kutotimiza matakwa km alivyowarubuni kuwa atawaanzishia mahakama ya kadhi akijua wazi kuwa ni kuvunja sheria za nchi....................baada ya kwaislamu usema hivyo kikwete akajifanya kufanya ukaribu na wakristo eti ionekane amewasahau waislamu na hajali chochote kinachosemwa nao........

Aalicho kifanaya aliwaita masheikh wote na kuwaomba wawatulize waislamu kwani ana mpango kabambe hata asipoweka kwenye ilani mambo ya oic na kadhi,,,,,,,,,ndiyo maana waislamu wamenyamaza kimya kwani kunba ahadi tamu na wameombwa wasubiri uchaguzi upite.

Wakristo niliishawatahadharisha mapema hapo kabla kujihadhari na kikwete kwani aliisha kula yamini kuwasaidia waislamu na km ujuavyo misimamo mikala ya kiislamu waliishamwambia sawa tunanyamaza kimya ila ukitudanganya tena albadri itakuwa juu yake na kikwete hana yesu kwa hiyo atakaposomewa albadri kwa kutotimiza matakwa ya waislamu itamuathili sana kwa hiyo atatimiza matakwa ya hao makafili kwa namna yoyote ile................
Hongera wana mbeya kwa kutokubali kudanganyika.........wachungaji na mapadre igeni mfano huu wa wale wa mbeya.
Najua cuf ni taasisi ta kiislamu ila nimeshangaa jana kwenye mwananchi wanajinadi kuwa viongozi wa cuf ni kama yesu sijui walimaaniosha nini ila lengo ni lilelile la kutaka kujisafisha kwa maneni wakatio vitendo ni uongo
 
Maaskofu ni wataalamu wa philosofia, yeye alitegemea atawatega kwa futari kumbe wakagundua mapema - ha ha ha tutasikia mengi mwaka huu. hizo hela za mabango wangesadia watoto yatima ningewasifu sana.

Sina uhakika kama wale wenzetu waliifakamia ile futari ya mtego pale ikulu ndogo - swali tu sina nia mbaya.
 
Aaahhh....huyu kiwete bwana........waislamu walisema hawatampa kura kwa sababu ya kutotimiza matakwa km alivyowarubuni kuwa atawaanzishia mahakama ya kadhi akijua wazi kuwa ni kuvunja sheria za nchi....................baada ya kwaislamu usema hivyo kikwete akajifanya kufanya ukaribu na wakristo eti ionekane amewasahau waislamu na hajali chochote kinachosemwa nao.........alicho kifanaya aliwaita masheikh wote na kuwaomba wawatulize waislamu kwani ana mpango kabambe hata asipoweka kwenye ilani mambo ya oic na kadhi,,,,,,,,,ndiyo maana waislamu wamenyamaza kimya kwani kunba ahadi tamu na wameombwa wasubiri uchaguzi upite............wakristo niliishawatahadharisha mapema hapo kabla kujihadhari na kikwete kwani aliisha kula yamini kuwasaidia waislamu na km ujuavyo misimamo mikala ya kiislamu waliishamwambia sawa tunanyamaza kimya ila ukitudanganya tena albadri itakuwa juu yake na kikwete hana yesu kwa hiyo atakaposomewa albadri kwa kutotimiza matakwa ya waislamu itamuathili sana kwa hiyo atatimiza matakwa ya hao makafili kwa namna yoyote ile................
Hongera wana mbeya kwa kutokubali kudanganyika.........wachungaji na mapadre igeni mfano huu wa wale wa mbeya.....
=-najua cuf ni taasisi ta kiislamu ila nimeshangaa jana kwenye mwananchi wanajinadi kuwa viongozi wa cuf ni kama yesu sijui walimaaniosha nini ila lengo ni lilelile la kutaka kujisafisha kwa maneni wakatio vitendo ni uongo

ndugu yangu hongera kwa damu ya yesu

ila nakuhurumia kwa kuwa mdini pahala pasipo kuwa ndipo. Tanzania inachagua Rais wa kuiongoza Tanzania yenye watu wanaoamini dini yako, dini ya wengine, na wasio na dini. sasa haya yako hayana nafasi cha muhimu tumpate mtu mwenye kuchukia udini, kama kikwete

sio mtu ambaye anataka kuicatoliki nchi au kuisilimisha nchi.

na ss tumeona motion ya chadema na tunawaambia hawatali maisha nchi hii kwa mtindo wao huo, mpaka wabadilike, watanzania tunaendelea vema
 
Nashindwa kuelewa hasa tofauti ya askofu Jery Ngwamba aliempisha Malyasusa, na Malasusa mwenyewe. Jery aliondolewa kwa sababu ya ufisadi na sasa kkt nasikia kuna ufisadi bado kwani kuna askofu kahongwa gari na ccm.
Jamani hawa maaskofu wanataka kutupeleka wapi?
 
Kusema Mapadri wanampigia kampeni chinichini Dr. Slaa ni kutoujua ukatoliki kabisa. Ukiwa Padri ukaacha hata kwa kuruhusiwa na Papa kwa Mapadri ni kama usaliti. Kwa wenye upana wa kungamua mambo ndio maana CCM walipoanza kusema Slaa katumwa na Kanisa, Maaskofu walikanusha mara moja isivyo kawaida.

Kwa wanaojua, Urais wa Dr. Slaa kamwe hauwezi kuwa neema kwa wakatoliki. In fact it may turn out to be the opposite. Ila kwa wenye kuangalia kwenye pua, Dr. Slaa katumwa na Kanisa!! Hivi inakuwaje hata watu wanaoonekana wana busara kwa kuwaangalia usoni wanakuwa wa ovyo ovyo linapokuja swala la udini. Sikutegemea viongozi wakuu CCM wabariki mambo ya ovyo kama haya!!
 
Would you like to be a politician..?
if u were a politician, what would be the most important to u; changing ur society for the better or representing the views of the people..?
most of the time people do have divergent interest based on personal virtues.,as a leader the most superimposed complex and eloquent challenge is that "dualism" lies in either to take up "peoples' egoistic options" or standing for "common good"

Tanzania is an exceptional case when it comes to the pattern of violence and instability that has prevailed in many parts of Sub Saharan Africa since independence. lakini hili limeonekana si jambo jema kwa mapadri wetu wanaoshinikiza yatokee ya kule mashariki ya kati, sudan, kashmir n.k. ni kwa mwanzo kama huu wa kutoa waraka,kushinikiza serikali katika kutoa maamuzi yanayokandamiza upande mmoja huku baadehi ya wajinga wakishangilia na kuamini kuwa huo ndio ushindi wa ardhi iliyoahaidiwa.
Ni wazi kuwa sababu zote zinazopelekea mapigano na mifarakano katika nchi za wenzetu hapa kwetu yapo mfano;
(1)Low GDP Per Capita
(ii) Chronic Foreign Aid – Dependency
(iii) Instability in the neighboring countries and
(iv) Heterogeneous population.

Na bado watanzania wamekuwa wavumilivu na wakiheshimu miiko yao ya amani na mshikamano,Isipokuwa hili linalopaliliwa makaa wakati huu.,hili la udini litaondoa uvumilivu huu tuliokuwa nao katika kuendesha mambo yetu kama watanzania.,kwa uislamu wake wa jina tu aliokuwa nao kikwete limekuwa tatizo kwa maaskofu na mapadri,ikafikia kummuandalia zengwe zito ili kumuangusha na kumsimika padre mwenzao huku wengine katika makaka wa kanisa na madada wakipigania udiwani na ubunge..,hili linanipa mashaka sana pale ambapo waislamu "kwa ninavyowajua mimi au kama nilivyojengwa kuwafahamu hivyo" waki-counteract hili basi hakuna tutakachokiona isipokuwa ubaya uliozidi maana ya ubaya…!

Ikiwa hii ni tafsiri ya upinzani basi wafahamu kuwa Conflict and violence may only render the opposition attention in the short run.,watanzania vurugu na ubaguzi sio asili yetu, and they are always ready to turn against any political parties that do not seem committed to preserving peace, persistence of religionalism in opposition politics it will only fall off the seeds of legitimacy ambayo watanzania walianza kupeleka katika upinzani.
All I can see is, JK is the victim of personal vendetta, so the Muslims….!
 
Watu wengine akili zao mbovu sana Eti tunamchukia kikwete kwa sababu ni muislamu lakini hawasemi kuwa tunamkubali Hamad Rashid Mohammed kwa sababu ni mwislamu au Tunamchukia Lowasa kwa sababu ni Mkristo? Tunayachukia mafisadi kama Andrew Chenge, Nazir Karamagi, Edo Lowasa, Jakaya kikwete, Bazil Mramba, salum Londa, Sasa Mizengwe Pinda, Amaan Karume na Mafisadi wote popote waliko regardless of their religion, Color or Tribe

Natamani Afrika mashariki Ingeungana na kuwa nchi moja na Paul Kagame awe Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Mashariki... Huyu ndiye kiboko cha mafisadi na hajawaki kutokeo afrika....long live Kagame
 
STOP issue za dini hapa kazi ni moja tu kuiondoa CCM na MAKAMBA NA UDINI WAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
kama umependa kuwa raia wa rwanda omba uraia uende rwanda kwa kagame! tuachie bongo yetu! nashauri kwanza uende rwanda ukaulize kagame ni nani kwa wanyarwanda halafu ndio utatambua kama utamshobokea! mi nashauri ni bora kagame awe baba yako tu!
 
Nani alimpakazia LIPUMBA NA CUF kuhusu uislamu wao...CCM is the source of every evil
 
ccm inaondokaje???????????????????????? au kwa maneno haya ya kanga tunayofanya????????????????????? hakuna mipango ya kuiondoaa sisiemu!!!!!!!!!!!!!!!! inaingia akilini kweli kwa mfano chadema hiyo mnayo iona inaweza kuiondoa sisiemu haija simamisha wagombea majimbo zaidi ya 150!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! jamani mipango mipango hakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Wewe unasema kwa takwimu au kwa kupayuka tu.
 
ccm inaondokaje???????????????????????? au kwa maneno haya ya kanga tunayofanya????????????????????? hakuna mipango ya kuiondoaa sisiemu!!!!!!!!!!!!!!!! inaingia akilini kweli kwa mfano chadema hiyo mnayo iona inaweza kuiondoa sisiemu haija simamisha wagombea majimbo zaidi ya 150!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! jamani mipango mipango hakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

Huna data, prove me wrong!
 
u guyz cant be seriouz...,u r real kiddin..,yaani mnataka kuniambia kuwa kwa mbio hizi za padri na waliowake zinawezav kuzaa chochote katika jamii ya watanzania...,the quest for excellence,need the perfect approach....!
padri amechemka katika hili na ndio maana alitaka kuhakikishiwa mshahara wa 12 kila mwezi kwa kipindi ambacho atakuwa yuko bench kwani aliitakidi tangu mwanzo kuwa hatoshinda kamwe..,uchaguzi sio kelele,uchaguzi ni kura. chadema wangejiuliza wanafanya vipi kupata kura za watanzania kwa ujumla na sio kijikita kutafuta kura za makanisa....!
 
Aaahhh....huyu kiwete bwana........waislamu walisema hawatampa kura kwa sababu ya kutotimiza matakwa km alivyowarubuni kuwa atawaanzishia mahakama ya kadhi akijua wazi kuwa ni kuvunja sheria za nchi....................baada ya kwaislamu usema hivyo kikwete akajifanya kufanya ukaribu na wakristo eti ionekane amewasahau waislamu na hajali chochote kinachosemwa nao........

Aalicho kifanaya aliwaita masheikh wote na kuwaomba wawatulize waislamu kwani ana mpango kabambe hata asipoweka kwenye ilani mambo ya oic na kadhi,,,,,,,,,ndiyo maana waislamu wamenyamaza kimya kwani kunba ahadi tamu na wameombwa wasubiri uchaguzi upite.

Wakristo niliishawatahadharisha mapema hapo kabla kujihadhari na kikwete kwani aliisha kula yamini kuwasaidia waislamu na km ujuavyo misimamo mikala ya kiislamu waliishamwambia sawa tunanyamaza kimya ila ukitudanganya tena albadri itakuwa juu yake na kikwete hana yesu kwa hiyo atakaposomewa albadri kwa kutotimiza matakwa ya waislamu itamuathili sana kwa hiyo atatimiza matakwa ya hao makafili kwa namna yoyote ile................
Hongera wana mbeya kwa kutokubali kudanganyika.........wachungaji na mapadre igeni mfano huu wa wale wa mbeya.
Najua cuf ni taasisi ta kiislamu ila nimeshangaa jana kwenye mwananchi wanajinadi kuwa viongozi wa cuf ni kama yesu sijui walimaaniosha nini ila lengo ni lilelile la kutaka kujisafisha kwa maneni wakatio vitendo ni uongo

Hivi huku si ndio kupiga kampeni kwa kutumia sumu za udini na ubaguzi?
 
huyu malasusa mtu hatari sana amekuwa akitumiwa na lowassa kwa muda mrefu na anaipeleka KKKT mahali kusiko takiwa ni mtu hatari narudia tena., maaskofu wa dizaini ni kama methodius Kilaini aliyewahi kusema JK ni chaguo la Mungu , leo kapelekwa Bukoba akapumzike mdomo ulimponza akashindwa kujua RC ni makini.

PhD nilidhani akina Lowassa na RA walitaka Malasusa abwagwe kule Bagamoyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom