CCM watatoana Roho kwa Sababu kiongozi anaruhusu upigaji.

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,408
9,692
Kwa kawaida mtu akiona mwenzake anapiga pesa bila buguza kila mtu hutamani kupiga. Na akipita nafasi huwa hataki kuiachia na aliyeko nje huwa anataka aingia kwa nguvu.

Kwa sasa CCM kuna motooooo.. yaani wanapelekeana motoo hatariiii.

Kabla ya 2025 tutaona kila aina ya rangi.
 
Back
Top Bottom