CCM wanunua nakala za Tanzania daima kwa wingi

Upo ukweli. tarehe 3/3/2011 nilishuhudia mmoja wa wabunge wa CCM toka mkoa wa Singida eneo la Hoteli iliyo karibu na Ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM Lumumba Dar, akiwa na bunda la magazeti la juu likisomeka Tanzania Daima sijui ya ndani pia yalikuwa yaleyale au yalikuwa tofauti.
 
Nini cha maana kilichoandikwa kwenye hilo gazeti? Afterall na lenyewe limeshaanza kuchakachulhwd. Lingekuwa mwanahalisi ningekubali.
 
PHP:
[B] [/B]

    Kuna tetesi kuwa kuna watu wanaodahaniwa ni CCM hununua nakala nyingi za Tanzania Daima kwa wasambasaji, ile gazeti hilo lisifike kwa wachuuzi wa reja reja, hence lisifike kwa wananchi. 
 
Nimekosa nakala yangu leo, ndio muuza magazeti akaniambia hivyo je kuna ukweli wowote?

does it change the equation on ground???????????????
 
Back
Top Bottom