Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha

Haroo,haroo,haroo!
CCM wamechanganyikiwa kweli kweli. Lilikuwa gazeti gani hili maana mimi huwa sisomi magazeti ya Daily Noise,Habari Lao,Uhuru na haya ya Fisadi Rostam Aziz.
Hii inaonekana ni kazi ya Januari Makamba na Riz1 Kiwete. Hivi hawajui kuwa kuna watu wana akili kuliko wao. Hii inathibitisha tu kuwa CCM ni wataalamu wa KUCHAKACHUA kuanzia kwenye picha mpaka kwenye KURA.

Tuweni macho na haya Majambazi ya Chama Twawala.
 
Hongera Tekelinalokujia umeweza kutufunua kumbe hizi nyomi ni za kuchakachua.
 
Ikishafikia hapo ndiyo wameshaelewa wameondoka madarakani, Ee Mungu utuepushie hawa wachakachuaji wa kila kitu katika Mtanzania kupata haki yake.:yield:
 
Sasa hivi kila TV wameiweka picha hii kuwa tangazo lao. TBC, ITV, CHTEN, STAR, DTV, kama wamefikia hatua hii ya kuchakachua picha ni hatari sana.

Ama kweli CCM ni wapuuzi na hawana akili. Na hii ni idea ya Makamba ambaye ndo wanaamini ndo mwenye akili kuliko wote CCM

Kazi ipo mwaka huu. Wanataka ku-justify wizi wa kura kwa kuwahadaa watanzania
.
 
Ni kama vile walivyokuwa wanafanya Chadema hapa ,kama utaona siku zote Slaa akipigwa picha mgongoni jukwaa na kamba zilivyofungwa ni vilevile katika picha zao zote ,na hapo ndio hivyo hiyo picha imejalizishwa kwa kuiunganisha picha hiyo hiyo ili ionekanikewatuwengi.

Tuthibitishie...
 
Thank very much the JF IT experts. This is intersting.
Let us wait sunday results reveal the psychological campaign.
 
Back
Top Bottom