Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
Chadema wamechukua manispaa uchaguzi umefanyika leo na ni shangwe tupu
huyu kaka namshauri agombe uraisi 2015, kwani anaweza ni mtu anaejuwa anacho kifanya. amefanikisha bila hata kupigwa mtu kirungu sio yale ya Arusha, dhahabu ni dhahabu tu! hata uipake tope.Hongereni sana Kabwe, Kafulila na wenzenu wote.
kwanini zito ndio apewe pongezi wakati kazi hiyo imefanywa na wana kgm wote wapenda mapinduzi. Tuache ushabiki wa kinnafiki. Minasema hongereni wana chadema wote wa kgm, na sio zitto zuberi kabwe.