CCM wamebana wameachia KIGOMA..!

Tuambieni mbeya vipi maana naona mbeya kulikuwa na mgawanyiko wa madiwani wa ccm?

Kwa Mbeya, CCM, wana madiwani wengi kuliko CHADEMA kwa mbali, hivyo umeya mtu wao alishinda kwa kura 30 dhidi ya 18 za CHADEMA.
 
CCM wajanja kigoma hakuna malupulupu yoyote wao wame target maeneo nyeti "strategic centres" zenye mapato mengi kama mwanza na Arusha ambako watafanya kila wawezalo wahakikishe wanakamata halmashauri hizo. Hiyo ya kigoma ni danganya toto tu kutuonesha kwamba wao wako tayari kukubali kushindwa pale watakapo garagazwa. Hili halina ubishi maana hata huko kigoma wanafahamu mbunge wao hana msimamo na ni rahasi kumrubuni. YOU SHOULD THINK BIG!!!!!!!!!
 
''zito afukuzwe chadema!'' hutawaona wakichangai hapa! aibu ya kufunga mwaka 2010!

Hongereni CDM kigoma, najua mnajua naamanisha nini! niseme??

Mh! Is This Waberoya I know au Amechakachuliwa?
 
Why Should It be CHADEMA Vs ZITTO, huu ni UNAFIKI

Waache walete migawanyiko yao hapa. CCM wametulia kimya ninyi sijui hongera Zitto mara Kafulila n.k. ipongezeni NCCR_ Mageuzi basi
 
''zito afukuzwe chadema!'' hutawaona wakichangai hapa! aibu ya kufunga mwaka 2010!

Hongereni CDM kigoma, najua mnajua naamanisha nini! niseme??
Na wewe leo unaipongeza Chadema mbwa atawika usiku wa kuamukia leo.
 
Aliyegombea ubunge Kigoma mjini ni Ally Mley. Sasa ni mbunge wa kuteuliwa wa CDM, Kigoma Mjini.

Zitto siyo mbunge wa Kigoma miji na sanasana anasaidia tu kwani Mley si mzoefu wa mambo.

Kwa maana hii, kumpa hongera Zitto, inakuwa kichekesho.

Kwenye jimbo lake, Madiwani wa Chadema walishindwa.

Aliacha kujenga kwake na kwenda kujenga "UCHAGANI" na sasa inakula kwake.

Uchaguzi uliopita, jamaa wa CCM alikuwa anapumulia karibu sana na asipokaza kamba, kweli mwaka 2015, Kigoma inaweza kukosa mbunge wa Chadema na sanasana anaweza kubaki Ally Mley peke yake.

Mley, kazi nzuri sana hapo kijana, kaza buti kwanza na kesi yako ya Kuchakachuliwa na Serukamba. Ukishinda tu, mambo yanakuwa Kigoma kuna Chadema Wawili wa kuchaguliwa na uwe mfano mzuri ili mwaka 2015 basi ushinde bila kupingwa.
 
''zito afukuzwe chadema!'' hutawaona wakichangai hapa! aibu ya kufunga mwaka 2010!

Hongereni CDM kigoma, najua mnajua naamanisha nini! niseme??

wewe waberoya umetumwa? Mbona linapokuja swala la chadema unapenda kuongelea mgawanyiko na mambo ya kukufitini chama. Sasa hapa Zito hapa anakuhusu nini? Kwa nini usiwapongeze Chadema esp. Wa kigoma. "mchawi sio lazima aruke na ungo na kuvaa hirizi, hata huo uchuro mnaofanya wewe, malaria Sugu,Topical na wafuasini wenzenu ni uchawi kwa maendeleo ya nchi" badilikeni huu ni mwaka mpya. Hongereni Chadema Kigoma.
 
CCM wajanja kigoma hakuna malupulupu yoyote wao wame target maeneo nyeti "strategic centres" zenye mapato mengi kama mwanza na Arusha ambako watafanya kila wawezalo wahakikishe wanakamata halmashauri hizo. Hiyo ya kigoma ni danganya toto tu kutuonesha kwamba wao wako tayari kukubali kushindwa pale watakapo garagazwa. Hili halina ubishi maana hata huko kigoma wanafahamu mbunge wao hana msimamo na ni rahasi kumrubuni. YOU SHOULD THINK BIG!!!!!!!!!
Sizitaki mbichi hizi.
 
Aliyegombea ubunge Kigoma mjini ni Ally Mley. Sasa ni mbunge wa kuteuliwa wa CDM, Kigoma Mjini.

Zitto siyo mbunge wa Kigoma miji na sanasana anasaidia tu kwani Mley si mzoefu wa mambo.

Kwa maana hii, kumpa hongera Zitto, inakuwa kichekesho.

Kwenye jimbo lake, Madiwani wa Chadema walishindwa.

Aliacha kujenga kwake na kwenda kujenga "UCHAGANI" na sasa inakula kwake.

Uchaguzi uliopita, jamaa wa CCM alikuwa anapumulia karibu sana na asipokaza kamba, kweli mwaka 2015, Kigoma inaweza kukosa mbunge wa Chadema na sanasana anaweza kubaki Ally Mley peke yake.

Mley, kazi nzuri sana hapo kijana, kaza buti kwanza na kesi yako ya Kuchakachuliwa na Serukamba. Ukishinda tu, mambo yanakuwa Kigoma kuna Chadema Wawili wa kuchaguliwa na uwe mfano mzuri ili mwaka 2015 basi ushinde bila kupingwa.

Hutaki Zitto apewe hongera kwa 'sanasana kusaidia', kama vile alichofanya si chochote si lolote!
 
wewe waberoya umetumwa? Mbona linapokuja swala la chadema unapenda kuongelea mgawanyiko na mambo ya kukufitini chama. Sasa hapa Zito hapa anakuhusu nini? Kwa nini usiwapongeze Chadema esp. Wa kigoma. "mchawi sio lazima aruke na ungo na kuvaa hirizi, hata huo uchuro mnaofanya wewe, malaria Sugu,Topical na wafuasini wenzenu ni uchawi kwa maendeleo ya nchi" badilikeni huu ni mwaka mpya. Hongereni Chadema Kigoma.
Huyo Waberoya anatoa hongera ya kinafiki huku moyoni akiugulia kwanini CDM wamepata halmashauri, anatoa kicheko cha kinafiki na umbea mtupu, hao ndio wachawi wenyewe wanakuchekea mchana usiku wanakuroga.
 
naumia sana bwn Quinine, hawa ndio kule china enzi za Mao hukumu zao zilikuw nzito,wanapenda kushabikia uharibifu tu. Napenda mwaka ukianza wabadilike
 
Zitto siyo mbunge wa Kigoma miji na sanasana anasaidia tu kwani Mley si mzoefu wa mambo.

Kwa maana hii, kumpa hongera Zitto, inakuwa kichekesho.

Mley, kazi nzuri sana hapo kijana.

Huu mkanganyiko balaa, unapinga na wakati huohuo unadhibitisha ukweli wa kilekile unachokipinga!!
 
Mh! Is This Waberoya I know au Amechakachuliwa?
Mkuu Albedo, Waberoya undergoes a metamorphosis whenever the name Zitto is mentioned. Hebu shuhudia aliyowahi kuyasema humu ndani ya JF !
Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zitto, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya DARUSO mwaka 2002/2003 wakisaidiana na Ridhwan Kikwete na Omar Ilyas. Kipindi hicho nikiwa mmoja wa mawaziri wa serikali, ambayo ilipona kupinduliwa. Na tumekuwa wote ndani ya bunge la UDSM-USRC.

Tie, cord, umoja, Urafiki wa Zitto, Ridhwan, Omar Ilyas ni mkubwa sana kuliko maelezo, hili group lililotaka kuipindua serikali ya Kayombo-DARUSO, ili wao wapate madaraka si tu ni la hatari bali la kuangaliwa sana. Ridhwan amekuwa akijitetea sana yeye anataka ku-practise sheria hili hali kutaka uongozi amekuwa akitamani tangu siku nyingi sana.

Ukiwa rafiki na Ridhwan umekuwa rafiki wa Kikwete!!! Huwezi kuwa adui wa JK ukawa rafiki wa Ridhwan, JK si tu anampenda Ridhwan kama motto, bali kama mwanaCCM mwenzie aliye tayari kulinda interest zao.

Si ajabu Zitto kuwa alikuwa mmoja wa wanakamati ya bunge ya kuchunguza madini, maana JK anampenda Zitto, ambaye ni rafiki wa Ridhwan!

Alichotamka Juzi ni mwendelezo wa kumuonyesha JK kuwa yuko ‘NAYE’ na yuko mbali na chadema na kuwa yeye hakuwa na mawazo kama wanachadema wengine!!!. Hakuishia hapo tu bali alisema JK amefanya mengi Kigoma! Hivyo hakuona sababu ya kutoka nje ya bunge, kwa hiyo hakwenda kabisa, Huu ujumbe haukuwa kwa wananchi, ulikuwa unaenda kwa JK rafiki yake! Hata kama JK kafanya mambo mengi huko jimboni kwake Kigoma ni wajibu wake kama rais na haikuwa zawadi.
Huyo ndiye Waberoya anayeamini Chadema yuko mwanamme mmoja tu, Zitto !
Huyu ni Zitto!! na huu ni UANAUME,
Goodluck
Katika watetezi wakubwa wa Zitto Waberoya yumo, katika wanaobeza jitihada za Chadema Waberoya yumo, karika wanaomshambulia sana wa Mwenyekiti wa Chadema (Mh. Mbowe) Waberoya yumo, Katika wanaomdhihaki Katibu Mkuu wa Chadema (Dr. Slaa) Waberoya yumo na katika wanaotumiwa bila kujua kutetea ufisadi nchini, Waberoya yumo. Kwa nini nasema hivyo ? Jaribuni kuangalia listi ya wanaokubaliana na Waberoya humu ndani, mtashangaa kwani inatisha. Ninachojiuliza ni kitu gani kimemfanya huyu aliyekuwa moja wa wapiganaji dhidi ya uovu wa Kikwete kubadilika ?
 
Back
Top Bottom