CCM wajibu Mapigo Arumeru

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF kama mlivyoona baada ya CHADEMA kuleta wabunge wake makini Arumeru na kumwaga CHECHE katika ufunguzi,Leo wabunge wa CCM wamefurika mjini hapa kwa ajili ya Kujibu mapigo,Guest na Hoteli zote zimejaa Mji umechangamka Bia na nyama choma zinanyweka huku kukiwa na Mkesha wa Taarabu usiku kucha katika viwanja ambavyo CCM watafanyia Mkutano,Tyr Mzee mkapa kaingia na kupokelewa na Chiligati na Mwigulu,wabunge wa CCM wanazunguka kila kona ya mji wa USA na Leganga katika baa huku wakiwanunulia vijana Viroba na bia kama njia za Ushawishi kesho kuja Mkutanoni,Huku wasanii wa khanga Moko wakitegemewa kutoa burudani jukwaani
Wabunge wengine wamekwenda kulala Arusha Mjini baada ya Hotel zote kujaa na kubaki Guest House ambazo siyo hadhi yao,na ndizo walizopo Wabunge wa CHADEMA na baadhi ya waandishi wa Habari.
Kesho nitakuwa katika mikutano kadhaa ya wagombea na kuleta habari kamili
Nikiripoti kutoka Arumeru ni mimi mgeni wenu wa Jamii forums
 
Acha bwana!! Unataka kuniambia hao wabunge wa CCM wanaingia kila baa na kuanza kuwanunuliwa vinywaji wanaowakuta humo na kuwaambia "kunywa lakini kesho usituangushe" kwenye mkutano wetu? Hebu tupe jina moja tu la mbunge wa CCM aliyewanunulia bia na viroba vijana na ututajie na baa aliyokuwemo akitoa ofa hiyo.
 
Wana JF kama mlivyoona baada ya CHADEMA kuleta wabunge wake makini Arumeru na kumwaga CHECHE katika ufunguzi,Leo wabunge wa CCM wamefurika mjini hapa kwa ajili ya Kujibu mapigo,Guest na Hoteli zote zimejaa Mji umechangamka Bia na nyama choma zinanyweka huku kukiwa na Mkesha wa Taarabu usiku kucha katika viwanja ambavyo CCM watafanyia Mkutano,Tyr Mzee mkapa kaingia na kupokelewa na Chiligati na Mwigulu,wabunge wa CCM wanazunguka kila kona ya mji wa USA na Leganga katika baa huku wakiwanunulia vijana Viroba na bia kama njia za Ushawishi kesho kuja Mkutanoni
Wabunge wengine wamekwenda kulala Arusha Mjini baada ya Hotel zote kujaa na kubaki Guest House ambazo siyo hadhi yao,na ndizo walizopo Wabunge wa CHADEMA na baadhi ya waandishi wa Habari.
Kesho nitakuwa katika mikutano kadhaa ya wagombea na kuleta habari kamili
Nikiripoti kutoka Arumeru ni mimi mgeni wenu wa Jamii forums

Magamba propaganda at work! Yaani wewe umepitia Guest Houses zote (zisizo na hadhi) hapo USA na kuona ni wabunge wa CDM tu waliopanga? Mapenzi mengine bwana, taab kwel-kwel.
 
Mwigulu Transit inn
Acha bwana!! Unataka kuniambia hao wabunge wa CCM wanaingia kila baa na kuanza kuwanun uliwa vinywaji wanaowakuta humo nakuwaambia "kunywa lakini kesho usituangushe" kwenye mkutano wetu? Hebu tupe jina moja tu la mbunge wa CCM aliyewanunulia bia na viroba vijana na utatajie na baa aliyokuwemo akitoa ofa hiyo.
transit in Marry chatanda,Ice age Esther Bulaya,Zephana chiligati,na wengine wengi ukitaka nenda Kenny Garden prof maji marefu,
John Komba yupo Grossry kona ya CRDB,Vick kamata Sakina Bar
m
 
Kumbuka wabunge wa CCM full posho na fedha za kifisadi ila wabunge wazalendo wapo kwa wananchi wa kawaida
Magamba propaganda at work! Yaani wewe umepitia Guest Houses zote (zisizo na hadhi) hapo USA na kuona ni wabunge wa CDM tu waliopanga? Mapenzi mengine bwana, taab kwel-kwel.
 
Duuu!, wamejipanga ki ukweli... watu maarufu kama prof Majimarefu yumo pia!!!!, CDM wameanza na Mungu na watamaliza na Mungu... Na hawa bandugu wanaanza na nani? na kumaliza na nani? maana hizi idara za uprofesa wa maji marefu mmmh!, Mungu apishe mbali:A S 13:
 
Kipindi cha kampeni ni kipindi cha kumeki.
Leo huku jijini tumeshuhudia mafuso yaliyoigharimu cuf sh. milioni 150.
Kwa hiyo acha na huko nako wauza bar na nyama na mahoteli ya 400,000/- nao wavune. Halahala wasiajiri wakenya tu!
Halafu waambieni wamiliki wa mahoteli wawe makini sana na na hao wabunge wa viti maalum wa magamba, hawakawii kuiba hadi mashuka ya hoteli. Kila anayetoka lazima asachiwe.
 
Back
Top Bottom