CCM wagomea kadi zilizorudishwa na wananchi huko Loliondo

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,644
3,288
hapa nimishndwa kuelewa,wananchi wameonyesha kuchoshwa na siasa za ccm ambazo hazitatui matatizo yao kwa kurudisha kadi lakini wamegomea kuzipokea na kuendelea kuwahadaa wananchi

M4C inahitajika loliondo wananchi wameonyesha kucho na serekali ya ccm
 
Tahadhari: M4C isiwe kama fisi sasa inanyemelea mkono wa...uanguke waule. Itabidi kuwa makini ati sio lazima kina anapoharibu mpinzani wenu nanyi ndio mnaelekea kutafuna mifupa..wajitahidi M4C kupata Fresh and Blood sio mabakiii...However pia ikibidi wayatumie kufikia malengo i praise them by the way..
 
Haki ya nani aibu mpaka bac ccm wakati wenu ukwisha wananchi hawawataki tena chukueni tu hizo kadi zenu mnazikataa kwanini.
 
Mwigulu nchemba kagoma kupokea kadi wananchi wakaanza kutawanyika ole sendeka kaokoa jahazi pale ccm,imemeza ndoano lazima waje nchi kavu.
 
Tahadhari: M4C isiwe kama fisi sasa inanyemelea mkono wa...uanguke waule. Itabidi kuwa makini ati sio lazima kina anapoharibu mpinzani wenu nanyi ndio mnaelekea kutafuna mifupa..wajitahidi M4C kupata Fresh and Blood sio mabakiii...However pia ikibidi wayatumie kufikia malengo i praise them by the way..

swala co ufisi,ile ni advantage mkuu
 
Hii kali, wananchi kuchoshwa na kuamua kurudisha kazi za chama mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama kitaifa, hii ni aibu kubwa ambayo hata aliyemteua inabidi ajiulize igezo gani alivitumia kumweka katika nafasi hiyo.


292874_351411231615133_232471255_n.jpg

Makongoro Wassira, mtoto wa Steven Wassira akichukua kadi ya chama changu tawi la Houston
 
Soon CCM itakufa kibudu.
Ukiona hadi mmasai haitaki tena CCM basi ujue hali ya CCM ni mbaya sana.
 
nasikia kule alikofanya mkutano soit kamanda lisu kadi zilinunuliwa balaa!
 
Loliondo iko ktk jimbo la Ole Sendeka? Amesaidiaje watu wake au ni makeke yake ya kuuma na kupuliza. Magamba waajabu sana.
 
Nji hii kwisa kabisa..yaani muarabu wa Ortello amekula toka ensi ya mwinyi sasa tena bado wanataka kumuongesea mkataba? Basi wachukue masai yote ya loliondo ikakae arabuni wamuachie yeye na mafisadi wasio na haya wawinde hapo...sham!!
 
Back
Top Bottom