CCM mnasema, 2025 Twendeni na mama, wananchi tunauliza, atupeleke wapi tusikokujua na asikokujua?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,943
4,132
2025 tukienda na mama, umeme si ndo utakuwa wa Ikulu peke yake

CCM mnataka 2025 twende na mama, atupeleke wapi kusikojulikana? Tangu amekuwepo hapo, tumepoteza vingapi na bado mnataka aongoze njia tena? Hamuogopi hata nyinyi kwamba kweli tunapotea tukiwa na mama?

Jana ilikuwa wamasaai kuhamishwa kwenye makazi yao, je kesho atakuwa nani?

Tangu nimezaliwa na mpaka nilipo naelekea uzee, mmasai jadi yake ni kutembea na kisu pamoja na rungu popote pale, wao ni walaji wa nyama, popote wakikutana na kitoweo, kitashughulikiwa, eti leo mnasema ni marufuku wamasai kuenzi utamaduni wao! Nani kati yetu amewahi kuacha simu yake nyumbani, alijisikiaje huko njiani? Haukulazimika kuirudia? Ndivyo itakavyokuwa kwa masai asipotembea na kile amezoea maisha yake yote!

Mmasai mmoja akikosoea na kuonekana kana kwamba ni jambazi, ashughurikiwe yeye huyo na sio wamasai wote, Jambazi ni jambazi tu, jambazi akiwa mmasai liwe kosa la kabila lote kiasi kwamba waambiwe ni maruguku kutembea na marungu yao?

Inamaana Mzaramo mmoja akienda rusha roho na kucheza akiwa uchi, mnataka kusema kwamba, sasa wazaramo wote wanapaswa kushughurikiwa kwa sababu utamaduni wao wa kucheza rusha roho umewashinda? Si atashughurikiwa anayecheza nusu uchi?

Mnataka twende na mama 2025 anayeacha wananchi wadhalirishwe kwa kupigwa pigwa ovyo kisa mmoja tu ndo aligeuka kuwa jambazi?

Utamaduni wa kabila lipi wanapokutanika halafu ikaonekana utamaduni wa mwingine unavunjwa?

Hawa wapemba ambao wanasifika kwa kuingilia watu kinyume cha maumbile, mbona huku bala hatuwatimui na utamaduni wao huo wa kishetani?

Inamaana tunataka tufike pahala mbala amtetetee mbala mwenzake na mzanzibar amtetee mzanzibari mwenzake, hiyo kauli ya kiongozi wa Zanzibar, inaleta utengano na sio umoja tena inahitajika itenguliwe, polis wanapaswa kudili na majambazi hata kama ni jambazi la kimaasai na siyo kukataza utamaduni wa watu!

Huko 2025 tukienda na mama, tutafikia kiwango gani hicho ikiwa dalili zote mbaya zimejidhihirisha mapema kabisa!

2025 wananchi hatuendi na mama ng'o,
 
Masai ndio walikuwa wanaonekana kama kabila lililobaki linalolinda mila na desturi zao, sasa leo wamenyan'ganywa fimbo na sime, sijui ndio tutawapiga picha upya bila rungu na sime wakawekwe makumbusho...

Watabaki na mashuka tu maskini, bora nao waanze kuvaa t-shirt na jeanz tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
2025 tukienda na mama, umeme si ndo utakuwa wa Ikulu peke yake

CCM mnataka 2025 twende na mama, atupeleke wapi kusikojulikana? Tangu amekuwepo hapo, tumepoteza vingapi na bado mnataka aongoze njia tena? Hamuogopi hata nyinyi kwamba kweli tunapotea tukiwa na mama?

Jana ilikuwa wamasaai kuhamishwa kwenye makazi yao, je kesho atakuwa nani?

Tangu nimezaliwa na mpaka nilipo naelekea uzee, mmasai jadi yake ni kutembea na kisu pamoja na rungu popote pale, wao ni walaji wa nyama, popote wakikutana na kitoweo, kitashughulikiwa, eti leo mnasema ni marufuku wamasai kuenzi utamaduni wao! Nani kati yetu amewahi kuacha simu yake nyumbani, alijisikiaje huko njiani? Haukulazimika kuirudia? Ndivyo itakavyokuwa kwa masai asipotembea na kile amezoea maisha yake yote!

Mmasai mmoja akikosoea na kuonekana kana kwamba ni jambazi, ashughurikiwe yeye huyo na sio wamasai wote, Jambazi ni jambazi tu, jambazi akiwa mmasai liwe kosa la kabila lote kiasi kwamba waambiwe ni maruguku kutembea na marungu yao?

Inamaana Mzaramo mmoja akienda rusha roho na kucheza akiwa uchi, mnataka kusema kwamba, sasa wazaramo wote wanapaswa kushughurikiwa kwa sababu utamaduni wao wa kucheza rusha roho umewashinda? Si atashughurikiwa anayecheza nusu uchi?

Mnataka twende na mama 2025 anayeacha wananchi wadhalirishwe kwa kupigwa pigwa ovyo kisa mmoja tu ndo aligeuka kuwa jambazi?

Utamaduni wa kabila lipi wanapokutanika halafu ikaonekana utamaduni wa mwingine unavunjwa?

Hawa wapemba ambao wanasifika kwa kuingilia watu kinyume cha maumbile, mbona huku bala hatuwatimui na utamaduni wao huo wa kishetani?

Inamaana tunataka tufike pahala mbala amtetetee mbala mwenzake na mzanzibar amtetee mzanzibari mwenzake, hiyo kauli ya kiongozi wa Zanzibar, inaleta utengano na sio umoja tena inahitajika itenguliwe, polis wanapaswa kudili na majambazi hata kama ni jambazi la kimaasai na siyo kukataza utamaduni wa watu!

Huko 2025 tukienda na mama, tutafikia kiwango gani hicho ikiwa dalili zote mbaya zimejidhihirisha mapema kabisa!

2025 wananchi hatuendi na mama ng'o,
ungekua una hoja ungeonyesha njia....

lakini kwasabab haya ni malalamiko tu bado kila mtu anayo..

na actually ni muhemko tu ambao hauna impact yoyote, baadae utapoa na hakuna chochote kitatokea popote..
 
Huku mbeleni watakuja kuambiwa wavae mavazi ya kawaida kama wengine na marufuku kuvaa mashuka hadharani.
 
2025 tukienda na mama, umeme si ndo utakuwa wa Ikulu peke yake

CCM mnataka 2025 twende na mama, atupeleke wapi kusikojulikana? Tangu amekuwepo hapo, tumepoteza vingapi na bado mnataka aongoze njia tena? Hamuogopi hata nyinyi kwamba kweli tunapotea tukiwa na mama?

Jana ilikuwa wamasaai kuhamishwa kwenye makazi yao, je kesho atakuwa nani?

Tangu nimezaliwa na mpaka nilipo naelekea uzee, mmasai jadi yake ni kutembea na kisu pamoja na rungu popote pale, wao ni walaji wa nyama, popote wakikutana na kitoweo, kitashughulikiwa, eti leo mnasema ni marufuku wamasai kuenzi utamaduni wao! Nani kati yetu amewahi kuacha simu yake nyumbani, alijisikiaje huko njiani? Haukulazimika kuirudia? Ndivyo itakavyokuwa kwa masai asipotembea na kile amezoea maisha yake yote!

Mmasai mmoja akikosoea na kuonekana kana kwamba ni jambazi, ashughurikiwe yeye huyo na sio wamasai wote, Jambazi ni jambazi tu, jambazi akiwa mmasai liwe kosa la kabila lote kiasi kwamba waambiwe ni maruguku kutembea na marungu yao?

Inamaana Mzaramo mmoja akienda rusha roho na kucheza akiwa uchi, mnataka kusema kwamba, sasa wazaramo wote wanapaswa kushughurikiwa kwa sababu utamaduni wao wa kucheza rusha roho umewashinda? Si atashughurikiwa anayecheza nusu uchi?

Mnataka twende na mama 2025 anayeacha wananchi wadhalirishwe kwa kupigwa pigwa ovyo kisa mmoja tu ndo aligeuka kuwa jambazi?

Utamaduni wa kabila lipi wanapokutanika halafu ikaonekana utamaduni wa mwingine unavunjwa?

Hawa wapemba ambao wanasifika kwa kuingilia watu kinyume cha maumbile, mbona huku bala hatuwatimui na utamaduni wao huo wa kishetani?

Inamaana tunataka tufike pahala mbala amtetetee mbala mwenzake na mzanzibar amtetee mzanzibari mwenzake, hiyo kauli ya kiongozi wa Zanzibar, inaleta utengano na sio umoja tena inahitajika itenguliwe, polis wanapaswa kudili na majambazi hata kama ni jambazi la kimaasai na siyo kukataza utamaduni wa watu!

Huko 2025 tukienda na mama, tutafikia kiwango gani hicho ikiwa dalili zote mbaya zimejidhihirisha mapema kabisa!

2025 wananchi hatuendi na mama ng'o,
UPO SAHIHI MAMA MWENYEWE KABEBWA ANAKOPELEKWA HAJUI BALI WANAJUA WALIOMBEBA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
.
photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
 
Back
Top Bottom