CCM Vunjeni makundi,mtandao na nchi iendeshwe kizalendo kama Obama

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Obama alivyokuwa kwenye kampeni, alikuwa na kundi lake, pia M/S Clintoni alikuwa na kundi. Democratic walivunja makundi na wakaungana kupambana na Republican.

Hata baada ya Obama kuchaguliwa kuwa Rais, Obama alishirikiana na Republican kujenga nchi. Waziri wa ulinzi na waziri wa fedha ni Republican

CCM isifikirie siasa za chuki zinajenga nchi. CCM ikae na wakosoaji na ijisahihishe.

CCM bila mafisadi inawezekana.

Tanzania bila mafisadi maendeleo tele.

CCM inashinda chaguzi kwa sababu ya ujinga wa asilimia kubwa ya wananchi wa vijijini.

Taasisi ya Mwalimu Nyerere itembee nchi nzima hasa vijijini kuwaamsha wananchi.
 
Back
Top Bottom