Wadau hv ni kwnn humu JF mmekomalia tuuu ishu za CCM na Chadema?Je ni mradi,mnalipwa,mmetumwa,au ni kuishiwa na fikra maana mpo kama zama za ujima!
Hata wewe ku- expose hivi vyama kwa thrd yako UNALIPWA NA NANI?
hahahaha nimecheka sana kwa hiyo mkuu ULITAKA UMLUSINDE MASABULI YAKE????Kujibishana na watoto waliomaliza shule za kata nako ni tatizo. Unashindwa kuelewa jambo dogo kabisa kama hilo. Ngoja uchaguzi uishe uone Chit Chat itavyokuwa juu.
Naogopa kuwa Lusinde lakini huna hoja kabisa.
Wadau hv ni kwnn humu JF mmekomalia tuuu ishu za CCM na Chadema?Je ni mradi,mnalipwa,mmetumwa,au ni kuishiwa na fikra maana mpo kama zama za ujima!