CCM: Tutaendelea kuhimiza amani, ndiyo mtaji wetu

bullet proof

Member
Sep 19, 2012
57
35
Wakati ambapo ni dhahiri CHADEMA kimedhamiria kuharibu amani na utulivu, ambavyotumekuwa tukijivunia tangu historia ya nchi hii na kupigiwa mfano kwa nchi jirani, chama cha mapinduzi (CCM) kimesema daima kitahubiri amani na mshikamano wa watanzania.

"Kulazimisha kuingia madarakani kwa gharama za damu na maisha ya watanzania ni uchu wa madaraka ambao lazima watanzania waukatae", alisema kiongozi mmoja wa CCM kata ya Bangwe, Kigoma.

Wakati huo huo baadhi ya vijana, waliojitambulisha kama wanachadema, wameongeza kuwa licha ya kuwa maendeleo yanakuja taratibu sana nchini lazima amani ilindwe kwani ndio msingi wa maendeleo.

Vijana hao wamewataka wanasiasa kujifunza siasa za kiungwana na kumtaja mh ZITTO (chadema) kama mfano wa wanasiasa waungwan.
 
Dahhhhhhhh kama ulikosa cha kuleta humu jf kwa leo afadhali ungeenda kusaini buku 7 yako tu kimya kimya
kwasababu humu hatudanganyiki chukua time kama vipi
 
Kutaka kubaki madarakani kwa nguvu kupitia Green Guards pia ni uroho wa madaraka.Kwenye uchaguzi mdogo kata ya Kirumba wabunge wa CHADEMA ambao ni Mhe.Highness Kiwia na Machemli walivamiwa na kukatwa mapanga na Green Guards wa CCM, hiyo ndiyo amani yenu?
 
chadema wamemuua nyrere,wakamuaa kolimba,wakamuua mwangosi,wamelipua ubalozi wa marekani,wamelipua olasiti,wamelipua mikutano yao,wamemmwagia tindikali musa,wamemuua kada wake igunga,wamemuua mwenyekiti wao usa river,wameenda china na kurudi na mabom na sare za jeshi la china,wanahonga watu udiwani arusha na wameahidi kama mgombea wa chama pinzani elerai hatahamia kwao watahakikisha udiwani haufanyiki,jana walifanya vikao haramu sg hotel sakina na leo wamefanya mkutano arusha technical na kuwaomba wazee wa kiarusha wasichague chama cha watu wakuja na kuwaomba wasiwauzie viwanja wa kuja.kweli CHADEMA wanaharibu amani yetu.
 
Amani??!!
images

images

images

images

aden_rage.jpg

Page%2B1.jpg

kp-Monday%2BSept%2B26.jpg

Wakati ambapo ni dhahiri CHADEMA kimedhamiria kuharibu amani na utulivu, ambavyotumekuwa tukijivunia tangu historia ya nchi hii na kupigiwa mfano kwa nchi jirani, chama cha mapinduzi (CCM) kimesema daima kitahubiri amani na mshikamano wa watanzania.

"Kulazimisha kuingia madarakani kwa gharama za damu na maisha ya watanzania ni uchu wa madaraka ambao lazima watanzania waukatae", alisema kiongozi mmoja wa CCM kata ya Bangwe, Kigoma.

Wakati huo huo baadhi ya vijana, waliojitambulisha kama wanachadema, wameongeza kuwa licha ya kuwa maendeleo yanakuja taratibu sana nchini lazima amani ilindwe kwani ndio msingi wa maendeleo.

Vijana hao wamewataka wanasiasa kujifunza siasa za kiungwana na kumtaja mh ZITTO (chadema) kama mfano wa wanasiasa waungwan.

"Amani hujengeka na huwepo popote pale duniani kama "Haki hutolewa na sikuidai, amani hayi hubiriwi midomoni tu pia itendeke na ionekane.
 
Wakati ambapo ni dhahiri CHADEMA kimedhamiria kuharibu amani na utulivu, ambavyotumekuwa tukijivunia tangu historia ya nchi hii na kupigiwa mfano kwa nchi jirani, chama cha mapinduzi (CCM) kimesema daima kitahubiri amani na mshikamano wa watanzania.

"Kulazimisha kuingia madarakani kwa gharama za damu na maisha ya watanzania ni uchu wa madaraka ambao lazima watanzania waukatae", alisema kiongozi mmoja wa CCM kata ya Bangwe, Kigoma.

Wakati huo huo baadhi ya vijana, waliojitambulisha kama wanachadema, wameongeza kuwa licha ya kuwa maendeleo yanakuja taratibu sana nchini lazima amani ilindwe kwani ndio msingi wa maendeleo.

Vijana hao wamewataka wanasiasa kujifunza siasa za kiungwana na kumtaja mh ZITTO (chadema) kama mfano wa wanasiasa waungwan.

Kuhubiri is one thing na kutekeleza unachohubiri is something else. Matendo ndo muhimu na siyo maneno matupu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Chadema hata wawalete red brigade orijino, nchii hii hatuwapi ng'oo. Hilo wasahau.
 
Ccm wote wamelaaniwa!! Haya mamtu cjui yana akili za maiti,MUNGU WANGU USIKIAYE KILIO CHA WANAO EBU TUEPUSHIE VIONGOZI HAWA MAFISADI,WAUAJI,WALA RUSHWA
 
mtoa mada aujajua maana ya amani na inaonekana nyie ndio hadi leo mnajua kua mapinduzi ya zanzibar yaliletwa na karume senior na kumsahau mganda tito okelo
 
Ni kweli picha huongea lakini video ni kiboko!

Amani, amani, amani...wakati nyumbani kwako neno amani ni geni kabisaa!
 
Last edited by a moderator:
Jk unapenda kushitakiwa The Hague?au pesa ulizonazo zinakutia ukiziwi?hivi huwezi kuona hatari inayokuja kwa kufumbia macho uonezi wa polisi wako dhidi ya raia na demokrasi?mtu yeyote mwenye busara angeweza kuongoza nchi kwa hekima kukushinda,unawashwa na safari za nje tu huku mambo yanaenda kombo,je huko mnakoenda kila siku hamjifunzi kitu kwa ajili ya nchi yetu?nchi unaiharibu wewe!tumekupa raslimali zote umeshindwa kuendesha nchi,labda sasa baada ya Barack kuondoka unaweza kukaa urekebishe mambo au bado una tamaa ya kusafiri umalize dunia yote?kivi magogoni hakuna washauri wanaoona mbali?nadhani ulikosea kuchagua mzee wa gombe na wengine waliokuzunguka.ushauri wa bure fanya utafiti kidogo ujue kwanini bendera za chama fulani zinazidi kuongezeka kila kukicha barabarani mkoa hadi mkoa wilaya hadi wilaya.
 
Katika Watu Wanafiki kisiasa basi CCM ni Wanafiki nambari 1 maana wanajitia kuhubiri Amani nchini Kumbe wao ndio Wauwaji, wabakaji, watesaji, waibaji nambari moja lakini WaTanzania tumeshawagundua mwisho wao 2015 na hawapenyi hata wafanye miujiza gani
 
Habari hii inanikumbusha kisa cha mtumishi wa Mungu anayehubiri usizini halafu mwenyewe ana nyumba ndogo mtaa wa pili tu toka hekaruni.

Ndo yale ya fuateni ninayowahubiria sio ninayoyatenda!!???
 
Back
Top Bottom