Tareq20
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 280
- 861
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea.
Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi mpaka tunasikia wengine wananua ma apartment Dubai ,Amerika daaah
Hili swala la umeme litoshe kumrudisha huyo bibi kizee kwao akalee wajukuu tu sasa hivi imekuwa ni kawaida kukatiwa umeme siku nzima kila siku bila taarifa yoyote na hajali chochote yeye anawaza kwenda kuzurura nje
Tunaomba mfanye maamuzi magumu kama mliyoyafanya 2015 kateni huyu bibi tuleteeni mtu yeyote lakini sio huyu bibi.
Tumechoka tafadhali naamini kuna watu wachache bado wanajielewa CCM na wamechoshwa na haya yanayoendelea tengenezeni vita kweli kweli huyu bibi aishie hapa hakika mkifanya hivyo mtakua mashujaa na tutawakumbuka daima leteni dude lolote tulijaribu kuliko kuona huyu bibi kizee anarudi hawez kujisimamia Hana uchungu na wananchi, hana kauli, hatumkubali yupo tu anazurura
Leo nimejikuta napandwa na hasira sana unaamka saa kumi unasema kazi ambazo sijazifanya juzi na Jana kwa sababu ya umeme nitajitahidi nizimalizie zote leo unawasha taa kumbe wamekata umeme saa nane sijui daaah.