Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,217
- 3,029
Hi,
Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.
Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.
Kinana & Nape
Bashiru & Polepole
Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.
CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.