CCM tuachane na Chongolo na Sophia Mjema

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,010
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.
 
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Sema Wazi kwenye suala la Bandari Chama chako kimechagua "goli lisilolala njaa". Kila mnaposhambuliwa mnajifunga wenyewe.
 
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Ajili zetu ndio zimelinganishwa na Mjema ndio maana tumepewa yeye
 
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Unamlaumu Chongololo na Mjema, kwani Team captain Unamuonaje?
 
Hi,

Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.

Angalia hizi combination afu linganisha na hii combination ya Chongolo.

Kinana & Nape

Bashiru & Polepole

Hizi combination zilikuwa hatari, zilikuwa zinajua kujenga hoja kwelikweli, na zilikuwa na mvuto na ushawishi.

CCM tuondoleeni Chongolo na Mjema hawatufai.
Bashiru na Polepole? We siyo mwana-CCM. Wale walikuwa matapeli wa siasa na mafisadi. Chongolo yuko vizuri sana, we una lako jambo. CCM iko makini ndugu
 
Back
Top Bottom