CCM Taifa Ikemee Vijana wake, Vinginevyo...

Mkuu MM umenena ila naamini lile tamko limeandaliwa na kikundi fulani ndani ya UVCCM kwa faida yao binafsi na kuwa DOWANS imetumiwa kama njia ya kupitishia matusi waliyokusudia kwa hao waliotukanwa.

100% ni strategy ya uvccm kuwachota watanzania akili kwamba wakitaja Dowans ionekane sasa wao wako kwenye maslahi ya Taifa zaidi . Ukweli hawa waogope kuliko ukoma. Ni mambo mengi sana yametokea nchini uvccm hawajafanya kitu. Mfano mdogo Mwape ni kijana wa uvccm na kidogo afukuzwe uanachama kwa sababu ameona wezi wakiiba akaacha kukaa kimya. Wafahamu hawajamtukana Dr Slaa peke yake bali wamewatukana zaidi ya watanzania milioni 2 waliompa Slaa kura za uraisi
 
Please don't insult your dignity like that again. Thax

Whom dou you mean is insulting his dignity,me or Slaa? He once caught in a guest house during Bunge session in Dodoma by his old wife who also was not his lega wife.Then now he is enjoying openly with someones wife.He has really insulted his dignity
 
Ukisoma tamko lile hasa kuhusu Matukio ya Arusha, utajiuliza kama kweli hawa ni UVCCM au ni genge la wahuni?

Kuna LUGHA tunazotegemea zitumiwe na wanasiasa, kweli MM kama ccm haitatoka hadharani na kujitenga na tamko hilo basi tujue tunalipeleka taifa letu kwenye hali isiyo ya kawaida!

Yetu macho na masikio!
 
Kama mtu siyo MKEO atakukamata vipi UGONI?

Na kibaya zaidi, JANAUME zima linakuja kuandika hapa.

Kuanza kushabikia UMBEYA na mwisho kuandika maneno yanayokinzana, huoni unaingilia kazi za watu?

Wee mtu mzima /ukitaka jiite wa makamo (kama ulienda jandoni) unakuja kuandika upupu na kuushangilia?

You can do better than this Umbeya. Unakaa sana na akina mama, wee mtu weee!!!!

Mwisho utaaanza tabia za kulegeza sauti na mikono. Be a MEN.
Whom dou you mean is insulting his dignity,me or Slaa? He once caught in a guest house during Bunge session in Dodoma by his old wife who also was not his lega wife.Then now he is enjoying openly with someones wife.He has really insulted his dignity
 
Kuna ile picha ya Zeutamu, yule kijana wa Lusinde inabidi kwenda kumuona atowe kopy.

Watu wanachemka, kuna tofauti ya matusi wakati wa kampeni na baada.

Watu wanachemka, kuna tofauti watu kutoa matusi kwenye mtandao (hawajulikani/watu wa kawaida) na watu wanaojulikana kuwakilisha Chama kikubwa nchini wanapotowa matusi. Ni vitu viwili tofauto kabisa.

Leo Umoja wa vijana Chadema wakitoka na ile picha ya Zeutamu, itabidi na wao TUWALAANI.

Ila kama mchezo ni huu, basi itabidi "mwaga mboga, na mie namwaga ugali." Shigongo atatajirika sana.

Hivi ni kweli Makamba ALIBAKA huko Kigoma (just asking.)
Ni kweli,ndio maana hajakanusha
 
kama mtu siyo mkeo atakukamata vipi ugoni?

Na kibaya zaidi, janaume zima linakuja kuandika hapa.

Kuanza kushabikia umbeya na mwisho kuandika maneno yanayokinzana, huoni unaingilia kazi za watu?

Wee mtu mzima /ukitaka jiite wa makamo (kama ulienda jandoni) unakuja kuandika upupu na kuushangilia?

You can do better than this umbeya. Unakaa sana na akina mama, wee mtu weee!!!!

Mwisho utaaanza tabia za kulegeza sauti na mikono. Be a men.

emen
 
Ni kweli,ndio maana hajakanusha

Usitutoe kwenye mada hapa hatumjadili Mkamba.Hata hivyo Makmaba hajatangaza kugombea Urais.Lakini mtu akigombea kwenda Ikulu anatakiwa asiwe na kashfa kama hizo.Hata maaskofu kwenye ilani yao walisema achaguliwe mcha Mungu japokuwa baadae walionekana kugeuza na kutaka achaguliwe Slaa eti tusiangalie mtu binafsi tuangalie sera.Tuliwashtukia. Heko Vijana sijui mlichelewa wapi.
 
Sulk
 
Kwa hiyo Mkapa pamoja na KUUWA WAPEMBA huko Zenji, alikuwa mcha Mungu siyo?

Kikwete na kuuwa watu Arusha, Mbeya, na wengine na pia kuwabeba wauza unga, unamuona mcha Mungu siyo?

Hii Mikataba ya Madini alisaini yeye, ona madhara waliyoyapata watu kwa SAHIHI yake.

Tundu Lisu alipofuatilia, akawekwa ndani na kuteswa saaaana. Mcha Mungu my ***.

madhara-tarime3
madhara-tarime2

Hata Sikinde waliimba HURUMA KWA WAGONJWA.

Jifunze kujua Wacha Mungu. Huyu aliyeruhusu hayo juu unamuona Mcha Mungu kweli?

Kweli Mungu ni Kapu la TAKA. Kila kitu ni YEYE...........................
Usitutoe kwenye mada hapa hatumjadili Mkamba.Hata hivyo Makmaba hajatangaza kugombea Urais.Lakini mtu akigombea kwenda Ikulu anatakiwa asiwe na kashfa kama hizo.Hata maaskofu kwenye ilani yao walisema achaguliwe mcha Mungu japokuwa baadae walionekana kugeuza na kutaka achaguliwe Slaa eti tusiangalie mtu binafsi tuangalie sera.Tuliwashtukia. Heko Vijana sijui mlichelewa wapi.

Ahhh, angelikuwa kabakwa Mama yako miaka hiyo na Makamba, ungelifurahi siyo?

Kweli Mzigo wa mwenzio na kanda la usufi. Makamba ni KIBAKA.

HERI YA MZINZI KULIKO KIBAKA. Hiyo Nundu sijui alipigwa na Mwiko wa kusongea ugali?

"weee, niache mie bado kigoli....." Mwiko usoni Pwaaaaa!!!!!!!!
 
Eti CCM inaweza ikafanya nini? Wana-ubavu. Makamba pekee amewashinda itakuwa RA na EL.

Waambie hao... wanataka kutufumba macho. CCM ni kulindana hakuna wa kumfanya chochote mwenzake espl hao wanojiita wajumbe wa neki!!!!!!!!!!!! Loh
 
Whom dou you mean is insulting his dignity,me or Slaa? He once caught in a guest house during Bunge session in Dodoma by his old wife who also was not his lega wife.Then now he is enjoying openly with someones wife.He has really insulted his dignity
wait a minute,
this is not english

sister why dont you go back to school instead of wasting your time and posting nonsense scum. just an advice
 
Kama Ambavyo Aliwaamuru polisi wake wawapige Na Kuwaua Waaandamnaji wa Amani Arusha, Siwezi Kushangaa kama Hata hawa Wametumwa

Polisi wasipoa tamko na Kuwakama hawa Wachochezi nitawaona maf....
 
Hapana.. kama CCM Taifa hawatachukua hatua yoyote dhidi ya viongozi hawa wa vijana ambao naamini wamevunja maadili ya uongozi wa CCM (I know I know) na vile vile nadhani wamevunja miiko ya uongozi basi ni wazi kuwa tamko lao limepata baraka toka juu. Kama hili ni kweli basi siku zinazokuja zitakuwa ni za aibu sana kwa uongozi wa taifa letu.
MM tulianzishe tu dawa ya moto ni moto si ndio wanavyotaka. Waache wataaibika mpaka washindwe kutembea barabarani. Wewe sema suuuuuuuuu waone kilichomtoa kanga manyoya alaa pu**^&^%%&%zao
 
Mimi nahisi kuna kigogo yuko nyuma yao anawatumia UVCCM kuwatukana Sitta na Mwakyembe, vijana wanaongea maneno bila adabu, eti WANAKITAKA chama cha mapinduzi kutoilipa dowans, wanakitaka chama cha mapinduzi kuipundua bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu......

haswa ni magovinda bado wapuuzi like their leaders, no difference
 
Back
Top Bottom