CCM Tageta ESCROW nani wa kumfunga paka kikengele?

keulankubha

Member
May 7, 2012
49
13
wanajanvi tujiuleze ccm nani wa kumfunga paka kikengele?

Ndugu watanzania najuu yakuwa kila kona upitapo swala ni escrow pia kila mtanzania na mataifa mengine macho yao yameelekezwa Tanzania ili kusikia litakalojitokeza, au atua gani zitachukuliwa kati ya watuhumiwa wa escrow.

Watanzania napenda kuwajulisha yakuwa matatizo katika taifa letu ni mengi sana na haya tunayoyaona ya escrow ni marudio tu. Pia najua kuwa kila mmoja wetu macho na masikio tumeyaelekeza kwa Rais wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete kutoa tamko la mwisho kuhusiana na watuhumiwa.

Watanzania mimi binafsi sipendi kumjibia Rais wala sintonyamaza kueleza jinsi nijuavyo katika mwenendo wake wa urais na matukio yaliyokuwa yakijitokeza katika taifa letu.

Najua kuna maswala mengi kila kona mwa nchi hii kila mmoja wetu akijiuliza kuhusu ukimya wa Rais Kikwete. Lakini ukimya wake unamaana sana katika Nyanja kuu mbili katika uongozi wake na miimili inayo mzunguka katika utawala wake.

Kwanza yeye mwenyewe jinsi alivyo pata urais. Pili maovu au kwalugha nyingine maujanja aliyokuwa hakiyafanya kabla ya hajawa Rais. Kama mnakumbuka kuwa mheshimiwa Edward L katika tuhuma za ufisadi na kwenye alakati za Nape Nauye za vua gamba. EL alisema kuwa yeye na Mh. Rais Kikwete urafiki wao sio wakukutana njiani, hii inamaana nyingi sana katika urafiki wao.

Pia katika msemo wake wa ukimwaga mboga nitamwaga ugali nikumanisha kuwa mtu uwezi kuishi kwa mboga tu bali unaweza kiishi kwa ugali bila mboga, akiwa anajifananisha na mboga lakini pia akituonesha picha kamili ya ugali kuwa ni Yule aliye juu yake Rais, maana akimwaga ugali ni wengi watakao athirika.

Sasa kwaufupi tu nani wa kumfunga paka kikengele katika escrow? Ndugu watanzania hakuna msafi ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) hata kama kunamtu unamwamini ndugu yangu utakuwa umepotea na umepoteza utu wako katika janga hili la kitaifa.

Pia angalia uchafu ulio fanyika katika ununuzi wa ubalozi wa Italy angalia maujanja yaliyotumika hapa na Mh. Mkapa.

Euro Milioni 3,098,741.40 balozi alikuwa Profesa Mahalu

Katika manunuzi hayo mimi kama rais wa nchi nilitaarifiwa kuwa muazi wa jengo hilo alitaka malipo yafanywe mara mbili tofauti katika akanti za muuzaji na serikali ilitoa baraka zake mimi niliharifiwa na sikuzuia na kwaniaba ya serikali yangu nikatoa idhini jengo linunuliwe kwa mtindo huo nilioutaja hapo juu"alidai Rais Mkapa.

Yafuatayo ni mahojiano kati ya Wakili Mgongolwa, Marando dhidi ya Rais Mkapa: Mawakili: Katibu Mkuu Kiingozi wa enzi za utawala wako, Martin Lumbanga ambaye ni shahidi wa kwanza upande wa Jamhuri alieleza mahakama kuwa hana taarifa kama serikali ya awamu ya tatu ilitoa kibari kwa mshtakiwa anunue jengo hilo? Mkapa:

Ninashangaa sana Lubanga kusema hilo. Ila mimi kama Rais nafahamu nilitoa idhini kwaniaba ya serikali ya unununuzi wa jengo hilo kwa utaratibu ambao nimeishautaja.

Mawakili: Kama wewe rais ulijua kuwa ulitoa idhini , inawezekana Lumbanga asiweze kujua kuwa wewe ulitoa idhini kwaniaba ya serikali?

Mkapa:
Tetee! Inawezekana Lumbanga asijue lakini inakuwa vigumu sana.Watu akaangua vicheko.

Mawakili:
Ebu soma kwa sauti hii kumbukumbu ya Bunge "Ansard ' ya mwaka 2004 iliyomnukuu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya awamu ya tatu, Jakaya Kikwete ili mahakama isikie?

Mkapa: "Naibu Spika wizara yangu ilinunua jengo la Ubalozi wa Italia , lengo likiwa kupunguza gharama za kupanga na kwamba taratibu za sheria ya manunuzi ya umma zilifuatwa na fedha hizo zilitumwa kwa awamu tatu ambapo mara ya mwisho kuzituma ilikuwa ni Agosti 26 mwaka 2002 ambapo jumla serikali ilituma Sh bilioni 2.9, baada ya hapo serikali ilifuata taratibu za manunuzi na baadae ilikuja kuzuka taarifa kuhusu ubadhilifu lakini ripoti ya CAG ,ilisema ubalozi wa Italia hakupata uchafu'.

Mawakili: Je maneno hayo ya Waziri Kikwete ambaye kwa sasa ndiye rais wa nchi katika Ansard hiyo ya bunge?

Mkapa:Maneno hayo ya Kikwete ni sahihi. Mwisho wa nukuu ya Mh. Mkapa na Mawakili.

Katika ili CCM hakuna msafi hata kidogo ukiangalia maongezi ya Mheshimiwa Mkapa. Pia pale ambapo amesema kuwa muhuzaji aliwambia kuwa malipo yatumwe kwenye account mbili tofauti. Ndio utagundua madudu ya serikali yetu njinsi ilivyo hoza wala hakuna wa kumfunga paka kikengele. Maana hakuna msafi katika utawala wao hata ndani ya chama chao. Pia huu ndio ukimia wa Rais Kikwete kushindwa kutoa mahamuzi kama yalivyo pendekezwa na bunge kuhusu sakata la swala la tegeta escrow.

Pia nikikumbuka taarifa ya mama Tibaijuka na waandishi wa habari pale aliposema kuwa hata Rais atashangaa sana kujihudhuru kwake. Pia nakumbuka vizuri kuna siku mama Tibaijuka alisema kama kweli atajihudhuru basi ndani ya serikali hakuna mtu atakaye baki ambaye ni msafi. Hapa kunautata mkubwa sana.

Je wewe mwananchi wa subiri nini katika chama cha mapinduzi (CCM) kama ndivyo ilivyo hivi. Kulingana na matukio ndani ya serikali ya CCM na maongezi ya viongozi wa CCM na maovu/uchafu huu. Kumbuka CCM inakuthamini kipindi cha kupiga kura tofauti na hapo unathamani yoyote katika serikali ya CCM. Jikumbushie swala la mgomo wa madakitari lilivyokuwa walioathirika ni wananchi viongozi wanakimbilia India, Tezi dume Marekani, je wewe unakimbilia wapi? Kama sio hapa hostitali za ndani ya nchi.

Remember "when you see the toed jumping during the day time, you know that the something it can happen it's life".
 
wanajanvi tujiuleze ccm nani wa kumfunga paka kikengele?

Ndugu watanzania najuu yakuwa kila kona upitapo swala ni escrow pia kila mtanzania na mataifa mengine macho yao yameelekezwa Tanzania ili kusikia litakalojitokeza, au atua gani zitachukuliwa kati ya watuhumiwa wa escrow.

Watanzania napenda kuwajulisha yakuwa matatizo katika taifa letu ni mengi sana na haya tunayoyaona ya escrow ni marudio tu. Pia najua kuwa kila mmoja wetu macho na masikio tumeyaelekeza kwa Rais wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete kutoa tamko la mwisho kuhusiana na watuhumiwa.

Watanzania mimi binafsi sipendi kumjibia Rais wala sintonyamaza kueleza jinsi nijuavyo katika mwenendo wake wa urais na matukio yaliyokuwa yakijitokeza katika taifa letu.

Najua kuna maswala mengi kila kona mwa nchi hii kila mmoja wetu akijiuliza kuhusu ukimya wa Rais Kikwete. Lakini ukimya wake unamaana sana katika Nyanja kuu mbili katika uongozi wake na miimili inayo mzunguka katika utawala wake.

Kwanza yeye mwenyewe jinsi alivyo pata urais. Pili maovu au kwalugha nyingine maujanja aliyokuwa hakiyafanya kabla ya hajawa Rais. Kama mnakumbuka kuwa mheshimiwa Edward L katika tuhuma za ufisadi na kwenye alakati za Nape Nauye za vua gamba. EL alisema kuwa yeye na Mh. Rais Kikwete urafiki wao sio wakukutana njiani, hii inamaana nyingi sana katika urafiki wao.

Pia katika msemo wake wa ukimwaga mboga nitamwaga ugali nikumanisha kuwa mtu uwezi kuishi kwa mboga tu bali unaweza kiishi kwa ugali bila mboga, akiwa anajifananisha na mboga lakini pia akituonesha picha kamili ya ugali kuwa ni Yule aliye juu yake Rais, maana akimwaga ugali ni wengi watakao athirika.

Sasa kwaufupi tu nani wa kumfunga paka kikengele katika escrow? Ndugu watanzania hakuna msafi ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) hata kama kunamtu unamwamini ndugu yangu utakuwa umepotea na umepoteza utu wako katika janga hili la kitaifa.

Pia angalia uchafu ulio fanyika katika ununuzi wa ubalozi wa Italy angalia maujanja yaliyotumika hapa na Mh. Mkapa.

Euro Milioni 3,098,741.40 balozi alikuwa Profesa Mahalu

Katika manunuzi hayo mimi kama rais wa nchi nilitaarifiwa kuwa muazi wa jengo hilo alitaka malipo yafanywe mara mbili tofauti katika akanti za muuzaji na serikali ilitoa baraka zake mimi niliharifiwa na sikuzuia na kwaniaba ya serikali yangu nikatoa idhini jengo linunuliwe kwa mtindo huo nilioutaja hapo juu”alidai Rais Mkapa.

Yafuatayo ni mahojiano kati ya Wakili Mgongolwa, Marando dhidi ya Rais Mkapa: Mawakili: Katibu Mkuu Kiingozi wa enzi za utawala wako, Martin Lumbanga ambaye ni shahidi wa kwanza upande wa Jamhuri alieleza mahakama kuwa hana taarifa kama serikali ya awamu ya tatu ilitoa kibari kwa mshtakiwa anunue jengo hilo? Mkapa:

Ninashangaa sana Lubanga kusema hilo. Ila mimi kama Rais nafahamu nilitoa idhini kwaniaba ya serikali ya unununuzi wa jengo hilo kwa utaratibu ambao nimeishautaja.

Mawakili: Kama wewe rais ulijua kuwa ulitoa idhini , inawezekana Lumbanga asiweze kujua kuwa wewe ulitoa idhini kwaniaba ya serikali?

Mkapa:
Tetee! Inawezekana Lumbanga asijue lakini inakuwa vigumu sana.Watu akaangua vicheko.

Mawakili:
Ebu soma kwa sauti hii kumbukumbu ya Bunge “Ansard ‘ ya mwaka 2004 iliyomnukuu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya awamu ya tatu, Jakaya Kikwete ili mahakama isikie?

Mkapa: “Naibu Spika wizara yangu ilinunua jengo la Ubalozi wa Italia , lengo likiwa kupunguza gharama za kupanga na kwamba taratibu za sheria ya manunuzi ya umma zilifuatwa na fedha hizo zilitumwa kwa awamu tatu ambapo mara ya mwisho kuzituma ilikuwa ni Agosti 26 mwaka 2002 ambapo jumla serikali ilituma Sh bilioni 2.9, baada ya hapo serikali ilifuata taratibu za manunuzi na baadae ilikuja kuzuka taarifa kuhusu ubadhilifu lakini ripoti ya CAG ,ilisema ubalozi wa Italia hakupata uchafu’.

Mawakili: Je maneno hayo ya Waziri Kikwete ambaye kwa sasa ndiye rais wa nchi katika Ansard hiyo ya bunge?

Mkapa:Maneno hayo ya Kikwete ni sahihi. Mwisho wa nukuu ya Mh. Mkapa na Mawakili.

Katika ili CCM hakuna msafi hata kidogo ukiangalia maongezi ya Mheshimiwa Mkapa. Pia pale ambapo amesema kuwa muhuzaji aliwambia kuwa malipo yatumwe kwenye account mbili tofauti. Ndio utagundua madudu ya serikali yetu njinsi ilivyo hoza wala hakuna wa kumfunga paka kikengele. Maana hakuna msafi katika utawala wao hata ndani ya chama chao. Pia huu ndio ukimia wa Rais Kikwete kushindwa kutoa mahamuzi kama yalivyo pendekezwa na bunge kuhusu sakata la swala la tegeta escrow.

Pia nikikumbuka taarifa ya mama Tibaijuka na waandishi wa habari pale aliposema kuwa hata Rais atashangaa sana kujihudhuru kwake. Pia nakumbuka vizuri kuna siku mama Tibaijuka alisema kama kweli atajihudhuru basi ndani ya serikali hakuna mtu atakaye baki ambaye ni msafi. Hapa kunautata mkubwa sana.

Je wewe mwananchi wa subiri nini katika chama cha mapinduzi (CCM) kama ndivyo ilivyo hivi. Kulingana na matukio ndani ya serikali ya CCM na maongezi ya viongozi wa CCM na maovu/uchafu huu. Kumbuka CCM inakuthamini kipindi cha kupiga kura tofauti na hapo unathamani yoyote katika serikali ya CCM. Jikumbushie swala la mgomo wa madakitari lilivyokuwa walioathirika ni wananchi viongozi wanakimbilia India, Tezi dume Marekani, je wewe unakimbilia wapi? Kama sio hapa hostitali za ndani ya nchi.

Remember “when you see the toed jumping during the day time, you know that the something it can happen it’s life”.
:cheer2:
 
Hata mbowe na matia hakwepi mmoja kajengewa nyumba na mwingine kapewa 1.5 bilioni sijui watatokaje.
 
Back
Top Bottom