CCM Sinza yasambaratika!

Walishafukuzwa uanachama siku nyingi baada ya kuwa mandumilakuwili kuhudumia mabwana wawili bora waende ni mzigo ktk chama tayari nafac zao zinamanaibu,
 
Ushauri wa bure kwa wanamagamba, rudisheni mara moja Lema Bungeni ili mueze kupata nafasi walau ya miaka mitatu iliyobaki. Yule Jaji bado yuko hai na hajabadili namba ya simu. Nape fanya kazi hii ili upumue!
 
Pole yako sijataja Zomba!

Sema ulikosea spelling lakini ulitja Zomba, ushahidi ni kuwa ume edit post yako muda huu:

ilikuwa hivi:

quote_icon.png
By Don Alaba

Huku utata kibao kuna uchaguzi kila siku unapangwa kurudiwa ila vurugu zinatokea za uenyekiti sinza c (selungwi vs Zomba)
 
Sijagombea Sinza, huo ni uzushi, nitoke Kariakoo nikagombee Sinza? ntajuwaje kuongoza na kuwatatulia matatizo yao wananchi wa Sinza na siishi nao huko? Wacha kuzuwa.
Mmh hujatukanaa!? basi umeanza kukomaa kisiasa! hongera
 
Sijagombea Sinza, huo ni uzushi, nitoke Kariakoo nikagombee Sinza? ntajuwaje kuongoza na kuwatatulia matatizo yao wananchi wa Sinza na siishi nao huko?

Wacha kuzuwa.

Mkuu,kwani hili jina upo ww tu?
 
Aiseeee baba yangu mnakumbuka mikutano aliyo kuwa anafanya lema sinza hayo ndio matokeo ya kazi yake nzuri shukrani za dhati kwa lema


nitam2mia lema mbege kwenye dumu la lita 10
 
Huku utata kibao kuna uchaguzi kila siku unapangwa kurudiwa ila vurugu zinatokea za uenyekiti sinza c (selungwi vs Zumba)

aisee hata mimi naonaga wanarudia rudia hasa hiyo nafasi ya mwenyekiti ila sijajua tatizo nini
 
Sijagombea Sinza, huo ni uzushi, nitoke Kariakoo nikagombee Sinza? ntajuwaje kuongoza na kuwatatulia matatizo yao wananchi wa Sinza na siishi nao huko?

Wacha kuzuwa.

Hivi mention quarter nayo ni kariakoo?
 
Back
Top Bottom