M Mchekechoni JF-Expert Member Apr 24, 2008 279 19 Jan 19, 2011 #1 Kila mwana JF ana mtazamo wake binafsi juu ya CCM na Serikali yake. Jipe credit kwa kuikubali au kuikataa CCM, na je tuipotezee kama KANU kule Kenya?
Kila mwana JF ana mtazamo wake binafsi juu ya CCM na Serikali yake. Jipe credit kwa kuikubali au kuikataa CCM, na je tuipotezee kama KANU kule Kenya?
Z ZenaTulivu Senior Member Jan 1, 2011 137 4 Jan 19, 2011 #3 Umetumwa kuja kupima uone kwamba maiti CCM bado anahema au la kwa watu wangapi eti???? kazi kweli kweli!!
Umetumwa kuja kupima uone kwamba maiti CCM bado anahema au la kwa watu wangapi eti???? kazi kweli kweli!!