CCM ni chama cha MUNGU

Magufuli naye ni mungu. Mtu anajua mpaka idadi ya samaki ziwani!
 
Hii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au mwingine. Kama kawaida CCM waliomba mwongozo kisha ZITTO alitolea ufafanuzi.

MY ideas:-NDUGU zangu musikidharu hiki chama kimetumwa na Mungu kuondoa kero za WTZ kwa miaka zaidi ya 31 sasa vingine laana inawafuata, kama huuamini ona vile hawaoni, hawasikii, hawaambiliki, hawashauriki,hii ni kwa sababu CCM ni chama cha Mungu na haya wanayo ya yafanya ni agizo la Mungu eg ufisadi maana hauwezi kufanya lile ambalo wenye chama hataki na akakuacha salama" take care" !!!

CCM NI CHAMA CHA MUNGU ooooh !!

Hata shetani hujiita mungu, sasa hawa jamaa hujazana kule mlingotini, nafikiri huko ndio kwa mungu wa ccm
 
Back
Top Bottom